Kwa ivyo siasa zao sisi zinatuhusu nini kukubali wananchi wa Tanzania waumie, wakitaka ata kulipuana bara zima la ulaya na wachina hayo sio matatizo yetu wachague na mbinu za kuuwana kama kunyongana, kuchomana moto, kukamatana kutundikana kwenye posts na kupigana risasi hayo sio matatizo yetu.
Wao wafanye yao katika power struggle sisi waafrica atufungamani na upande wowote ila lazima tuelewane maamuzi yao isiwe sababu ya kuumiza uchumi wetu.
Wafanye yao sisi watuache tupate nishati kwa bei nafuu kutokana na uwezo wetu; kwanini bara la Africa liumie kwa siasa na struggle za kupigania world dominance ambazo hazituhusu.
Ni ujinga ku support western dominant ideologies ambazo azijali changamoto zetu; wapigane ata nuclear wakiamua lakini waafrica tusilazimishwe kuumia katika dispute zao ambazo hazituhusu.
Watuache tukanunue mafuta yalipo rahisi awataki basi walipie subsiding costs za serikali zetu hawa jamaa wanatuvurugia maendeleo yetu kwa siasa ambazo hazituhusu halafu wanatulazimisha kwa gharama zetu.
Wachina, wazungu, waarabu, warusi na wengineo yao hayatuhusu ni muda wetu na sisi wa kusema African interest fist katika hiyo mizozo yao sio kuingizwa kwenye kila upuuzi ambao autuhusu and paying the heavy price of their decision.