secret file
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 5,843
- 8,637
Warusi waisha yote wanaishi. Wazungu wa magharibi hawajazoea shida mingi wao ndio wataathirika sanaUlaya na American kukiwa na maisha magumu, Warusi watakuwa na maisha magumu Mara mia zaidi,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Warusi waisha yote wanaishi. Wazungu wa magharibi hawajazoea shida mingi wao ndio wataathirika sanaUlaya na American kukiwa na maisha magumu, Warusi watakuwa na maisha magumu Mara mia zaidi,
Wewe akili ndogo shabikia siasa uchwara za aina ya jiwe tu nchini kwako, hizo za Ulaya na Marekani zinahitaji akili kubwa kuzielewa.
Unavyoongea utafikiri ulaya na marekani zinalishwa na Urusi. Upuuzi mtupuWamarekani na wazungu wengi hawajui kile serikali zao zinachokifanya kwenye mataifa mengine lakini safari hii ni tofauti sana, wameamza kuufahamu upuuzi wa wanasiasa wao. Na hii ni baada ya maisha Yao kuguswa na kupanda kwa gharama za maisha kunakotokana na uhaba wa ngano, mafuta ya kupikia, gesi ya kupikia, petrol, umeme na wakimbizi wengi ambao ni wazungu wenzao kwenye mitaa Yao.
Wazungu wengi wengi ndio kwanza wanagundua kuwa kumbe nchi zao zinakopa ili kusaidia kutoa misaada kwa nchi nyingine. Wanagundua kuwa kumbe Kodi zao hazitumiki vizuri.
Vita hii inaweza kuusambaratisha umoja wa Ulaya EU kama hawatakiwa makini, vita hii inaweza kumuondoa madarakani Joe Biden, Boris Johnson na wengine kama yule chancellor wa ujerumami.
Vikwazo vyote dhidi ya Urusi vinarudi kwenye nchi zao na watu wao, hii haijawahi kutokea kwao huko nyuma wakati wanaziwekea vikwazo nchi nyingine kama Iran, somalia, Ethiopia, north Korea, au Venezuela.
Wazungu lazima watalazimika kuachana na vita hii maana baadhi ya washirika wa NATO wamegundua kuwa vita hii inanufaisha makampuni ya silaha ya kimarekani .
Unaamini huu UJINGA?Warusi waisha yote wanaishi. Wazungu wa magharibi hawajazoea shida mingi wao ndio wataathirika sana
Kama hailishwi na Russia mbona mabakara yao yamekaukiwa na vyakula baada ya kuiwekea Russia vikwazo?! Usijojua ni kwamba Ili wewe upate chakula si lazima ununue sehemu fulani. Kwa mfano , Kenya inasafirisha bidhaa ulaya , siku ikizuiwa kusafirisha bidhaa hiyo ulaya kunakuwa na upungufu wa hiyo bidhaa kwa hiyo wanaitafuta sehemu nyingine ambako nako kuna wateja wake hivyo kusababisha ushindani unaopelekea bidhaa kuwa adimu na bei kupanda.Unavyoongea utafikiri ulaya na marekani zinalishwa na Urusi. Upuuzi mtupu
Jilishe upepo na ubatiliKama hailishwi na Russia mbona mabakara yao yamekaukiwa na vyakula baada ya kuiwekea Russia vikwazo?! Usijojua ni kwamba Ili wewe upate chakula si lazima ununue sehemu fulani. Kwa mfano , Kenya inasafirisha bidhaa ulaya , siku ikizuiwa kusafirisha bidhaa hiyo ulaya kunakuwa na upungufu wa hiyo bidhaa kwa hiyo wanaitafuta sehemu nyingine ambako nako kuna wateja wake hivyo kusababisha ushindani unaopelekea bidhaa kuwa adimu na bei kupanda.
Watafanikiwa sana, sasa hivi UD Dollar inapata tabu sana na Euro, Marekani ikizuia bidhaa kutoka nchi ya Ulaya na EU inazuia bidhaa za Marekani kuja ulaya. EU ikivunjika UK na Marekani wanapata ahueni kubwa sana.wakifanikiwa hilo watanufaika na nini ?
Kuwapatia mapanga watu wanaopigana ni upumbavu uliokithiri, wewe na wenzio NATO ndicho mnachokifanya, hebu Ona watu wenye akili nyingi wanavyofikiriLmkuu tupo current tunalenga kupunguza huu ujinga in future , kuunga mkono , uvamiz ni kukubali uvamiz uendele , hakuna kosa halijawai kufanywa ila hatuez tokomeza kwa kuunga mkono kosa kila wapo waliokosea pia
UbarikiweJilishe upepo na ubatili
Lakini unajua kwamba haiwezi kufanyika, hata yeye Macron anajua hivyo.Macron ndiye anayepigia chapuo nchi za EU ziachane na manunuzi ya gesi na mafuta ya Russia. Hilo lingefanyika hiyo vita ingeisha kesho saa nne asubuhi.
Mahaba ni ujingaUSA wana mafuta yao tena kama ulikuwa hujuia USA ndiyo nchi ya kwanza dunian kuzalisha mafuta na gesi kwa wingi, Saudi Arabia ni ya pili, na Urusi ni ya tatu. Tatizo ni kuwa USA ni heavily industrialized hivyo wanatumia sana mafuta kuliko taifa jinjgine lolote duniani, ndiyo maana wanalazimika kuagiza mafuta mengine nje japokuw wao wanazalisha mafuta kwa wingi sana.
Marekani wanalima chakula chao; hawategemei kuagiza chakula kutoka nje. Kati ya mambo waliyofanikiwa sana marekani ni kuwa hakuna ardhi ya marekani yenye uwezo wa kuzalisha mali ambayo haitumiki. Tatizo la uhamiaji haramu linaloisumbua Marekani miaka yote ni kwa sababu ya watu wanaotaka kuja kufanya kazi mashambani.
Bei kupanda marekani ni kutokana na usafirishaji wa bidhaa kutoka sehemu moja ndani ya nchi kuzipeleka sehemu nyingine kwa vile madereva wa maroli ya mizigo wamepungua sana baada ya covid.
Chuki ni ujinga zaidi.Mahaba ni ujinga
Kwani Ukraine ni koloni la nchi gani.Ukraine iache kuwa NATO kwanza.
Amina. Ubarikiwe piaUbarikiwe
Usiwasemee wamarekani, sikia wenyewe wanavyosema na wanavyotaka. Endelea kunywa mtori wako.USA wana mafuta yao tena kama ulikuwa hujuia USA ndiyo nchi ya kwanza dunian kuzalisha mafuta na gesi kwa wingi, Saudi Arabia ni ya pili, na Urusi ni ya tatu. Tatizo ni kuwa USA ni heavily industrialized hivyo wanatumia sana mafuta kuliko taifa jinjgine lolote duniani, ndiyo maana wanalazimika kuagiza mafuta mengine nje japokuw wao wanazalisha mafuta kwa wingi sana.
Marekani wanalima chakula chao; hawategemei kuagiza chakula kutoka nje. Kati ya mambo waliyofanikiwa sana marekani ni kuwa hakuna ardhi ya marekani yenye uwezo wa kuzalisha mali ambayo haitumiki. Tatizo la uhamiaji haramu linaloisumbua Marekani miaka yote ni kwa sababu ya watu wanaotaka kuja kufanya kazi mashambani.
Bei kupanda marekani ni kutokana na usafirishaji wa bidhaa kutoka sehemu moja ndani ya nchi kuzipeleka sehemu nyingine kwa vile madereva wa maroli ya mizigo wamepungua sana baada ya covid.