Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Usiwasemee wamarekani, sikia wenyewe wanavyosema na wanavyotaka. Endelea kunywa mtori wako.
Marekani ni taifa kubwa lenye demokrasia iliyokomaa inayotoa uhuru wa mtu yeyote kuzungumza jambo lolote (freedom of speech). Kuna vyombo vingi sana vya habari, vingine vikirpoti habari, na vingine visambaza conspiracy theories zao wenyewe. Huyo unayemsikiliza Tulsi Gabbard alikuwa mbunge wa Hawaii, na ni mwanamke mmoja wa kuamini conspiracy theories za Foxnews sana ndiyo maana hata Urusi inatumia maneo yake kwa propaganda. Foxnews siyo chombo cha habari bali ni cha kusambza conspiracy theories nyingi sana hasa za kibaguzi, ikiwemo ile inayoitwa "Replacement Theory" kama unaijua na ile ya "Birtherism" kama unaijua.