Vita ya Ukraine - Urusi ina hadhi ya kuziangusha serikali za Ulaya na Marekani

Duu sera za ushoga zimekuingia akilini kweli kweli. Kosa la Zelensky ni kuwatumia raia kama askari kwa kuwapa silaha kupambana. Hivyo ni vigumu kumtenganisha askari na raia. Wewe unadhani kwanini Marekani na Cuba haziivi? Wewe unadhani Marekani angefanya nn kwa jirani yake Mexico kama Urusi angekuwa rafiki mkubwa wa Mexico? Acha umbumbumbu kaka
 
West si Urusi , Urusi hawana uhuru wa maoni , ukikosoa kifo kinakuita
Aliyekwambia kuwa Marekani Kuna uhuru wa maoni kakudanganya. Kuna wamarekani wanakufa na kusakwa kwa kufichua ukweli
 
Day dream 😂😂😂
 
Point, hii vita inaenda kuwangusha Biden, Boris na chancellor wa ujerumani ktk box la kura, hili anguko lipo wazi
 
Amka kumekucha mkuu usijejiharibu Bure.
 
Pumba tupu!
Watanzania wana shida ya lugha, wanashindwa kusema kile wanachotaka kusema na wanachotaka kukijua. Hii inasababisha waamini kuwa Ulaya na marekani mambo ni safii tu. Hebu msikilize mtoto wa Trump anavyosema kuhusu uhuru wa habari Marekani na matatizo yaliyoko Marekani sasa.

 
UN yenyewe ipokwa ajiri ya masilahi ya wakubwa, Haina maana yoyote kwa sisi waafrika. Ifikie pahali tutishie kujitoa Labda akili itawarudi UN.
 
Kwanza anatakiwa aelewe kwamba vyanzo vyote vya habari zinazohusu vita vya Ukraine vimedhibitiwa na nchi za MAGHARIBI (NATO) kwahiyo habari nyingi eti za kushindwa Russia ni propaganda za NATO !! Naye alishawaambia na anarudia Mara kwa Mara kwamba atakayejiingiza kwenye hiyo vita atapiga nyumbani kwao within half an hour atavuruga Nchi yao kiasi ambacho hawajapata kuona katika maisha yao !!
Tumwagie analysis yako yenye afya hapa. Vinginevyo wewe ndiye kanjanja uliyetunukiwa cheti bandia
 
Post hiyo haikusema Marekani hawaagizi vitu kutoka nje, bali imejibu madai ya kutegemea mafuta na chakula kutoka nje. Kuna bidhaa nyingi ambazo ni labor intensive ambazo wanategemea kutoka nje, hata hivyo nyingi za biadhaa hizo zinatoka kwenye makampuni ya marekani yanayozizalisha kutoka nje. Kwa mfano mashamba mengi ya matunda katika nchi za Amerika ya kati na Carribean ni ya makampuni kimarekani, viwanda vingi vya kushona nguo huko Asia, Amerika ya kusini, na katika baadhi ya nchi za Afrika iwemo Kenya na Tanzania ni ya kimarekani. Kenya kuna kampuni ya kushona nguo za Lee ambayo ni ya Kimarekani, Tanzania pia kuna kampuni ya kushona nguo za Levi's ambayo ni ya kimarekani.
 
Tena hao GERMAN wanateseka kwel kweli asee
Kila siku Olaf visimu simu kwa PUT IN acha iendelee kunyesha tuone wapi panavuja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maamuzi ya bunge sio miungu ni watu nao wanakosea au sometimes ni bendera fuata upepo.
ndio maana misaada yao inaidhinishwa bungeni sio km urusi mtu mmoja anaamua kila kitu sio kwa ushirikiano na vyombo vya dola

NB : Bunge linawakilisha wananchi wa kila kona ya nchi
 
Anachokifanya RUSSIA sikama nachokifanya US nashost zake kule LIBYA !!?
Mbna hampigi keleleeee !!!??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tena hao GERMAN wanateseka kwel kweli asee
Kila siku Olaf visimu simu kwa PUT IN acha iendelee kunyesha tuone wapi panavuja

Sent using Jamii Forums mobile app
Ujerumami haipendi kushiriki kwenye vita hii kwa njia yoyote lakini inalazimishwa na Marekani na uingereza ili ishushe uzalishaji hatimae ishushe kiuchumi ndani ya EU. Baada ya kuondoka kwa UK kwenye EU kushindwa kuusambaratisha umoja wa Ulaya Sasa wamekuja na mbinu hii ya Ukraine. EU isipokuwa makini itasambaratika kabisa.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…