Vita ya Ukraine - Urusi ina hadhi ya kuziangusha serikali za Ulaya na Marekani

Vita ya Ukraine - Urusi ina hadhi ya kuziangusha serikali za Ulaya na Marekani

kumbuka hata sisi wanatupa misaada mbona hatukatai?
Misaada gani hiyo kwa mfano! There is no free lunch in the western world! Mabenberu hutoa kamsaada kaduchu kasikokuwa na tija kama chambo ya kuingia kwenye mikopo ya "masharti nafuu" halafu hayo yanayodaiwa kuwa masharti nafuu hata wabunge ambao ni wawakilishi wetu hawawezi kuyajua!! Hakuna mkopo wenye masharti nafuu, ni maumivu kwa kwenda mbele. Ukitaka kujua ni maumivu uliza kila mwaka tunatenga sh ngapi za kulipia madeni!!
 
Hata huko marekani wananchi wao wamekataa kukubali uongo wa Biden kuwa kupanda kwa vyakula na mafuta kunatokana na vita ya ukraine bali kunatokana na vikwazo walivyoiwekea urusi na vime-backfire!! Hata Democratic wengi wameamua kutokumpa tean nafasi Biden ya kugombea urais kwa tiketi yao.
 
Tena Russia wamesema wanasubiri kura ya maoni ya lile jimbo la Mashariki (wakikubali kujitenga na Ukraine, watakuwa wamefanikiwa lengo lao, wataacha kupigana), lakini ukweli Urusi mambo yapo shingoni, anatafuta mlango wa kutokea bila aibu.

Ni vigumu sana Russia yenye uchumi dhaifu kiulinganifu, kuwashinda wenzake wengi wenye uchumi mzuri, walioungana.

Ndege za Urusi zilizotunguliwa, zimeonekana kutumia GPS za kawaida za kusafiria kutokana na kutokuwa na uwezo wa kifedha kuhudumia ndege zake za kivita. Kwa sasa ndege zake kila zikiruka zinadunguliwa. Wamebakia tu kurusha makombora, lakini siyo kuruka angani kama mwanzo.
Ee bwana. Kwa hiyo zile sehemu ambazo Urusi imeziteka majimbo kadhaa na majeshi ya Ukraine kukimbia ni uongo sio

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
I am pro Putin; but the resignation of Johnson's 2 senior ministers has nothing to do with the ongoing war in Ukraine.
UKRAINE imechangia pakubwa
Maana kuna waziri mmoja kajiuzulu sababu pia ikiwemo ya serikali kushindwa kudhibiti mfumko wa bei
Mfumko wabei huko EU wanalalama sababu ya nishati ya RUSSIA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I am pro Putin; but the resignation of Johnson's 2 senior ministers has nothing to do with the ongoing war in Ukraine.
Yametimia, Boris Johnson is more!! Anaefuata ni Biden na kufuatiwa na Scholz, labda wabadilike. Kaka hizo nyingine ni sababu TU, lakini kilichomg'oa kikubwa ni vita ya Ukraine. Maisha ni magumu kwa wananchi, wameahindwa kuamini kuwa wanalazimika kuishi maisha magumu hivyo kwasababu ya waukraine. Walidhani Boris anawadanganya, Sasa wakichanganya na uongo wake mwingine kuhusu COVID-19 na uteuzi wa Chris kuwa Waziri na chupli kwenye Brixit issues basi hawana hamu nae.
 
Ramzan Kadyrov: "Johnson leaves with a lot of money earned in Ukraine. He managed to get the most out of what was sent to help Ukraine and provided a pension not only for himself, but also for his children. Cutting the money of British taxpayers passes through Ukraine - https://t.co/nU4EaR9mCn
 
Vikwazo walivyomwekea Russia vimegeuka silaha ya maangamizi dhidi ya walioviweka. 😆😆

George Galloway alisema Putin ni smart mara 10 zaidi ya Biden na hao vibaraka wake wengine.
Miaka yote na mara zote raia wa chi za Magharibi walikuwa hawajui sera zao za mambo ya nje kwakuwa kila siku siagi Yao haipungui kwenye mafriji. Mara hii watawala wao wamekosea na kusababisha wananchi wagundue uhovyo wa sera zao za mambo ya nje. Hawaamini kama shida ya Ukraine ni hao pia na inawahusu.
 
Back
Top Bottom