Vita ya Urusi na Ukraine: Putin aonya “Yeyote atakayeingilia atapata pigo la kihistoria”

Kauli ya kuseme sisi Waislamu, umeitolea wapi, umeipata kwa nani? Usilete udini katika hili, hakuna tamko la waislam, hapa kila mmoja yupo upande aoona ni sahihi kwa mtazamo wake, hakuna hata mmoja anaepigana kwa ajili ya uislam baina ya hao.

Haya kule yemen wanagombana na saudi arabia mbona majority wanaunga mkono vikosi vya yemen na sio saudia ilipo makkah kabisa!?
 
Sema hii ngoma sijui inapeleka wapi dunia ....
 
Ina maana uonevu wa Marekani huko Libya ndio una halalisha uonevu wa Urusi kwa Ukraine?

Putin ni mgonjwa wa akili, ila vikwazo vikali vya kiuchumi vitamnyoosha yeye na genge lake la wahuni
Sijasema ni halali, ila wasianze kujidai kumsema mrusi wakati wao walishafanya karibia mara 20 zaidi ya anachokifanya mrusi..

Toa boriti jichoni kwako ndio uhamie kwa mwenzio.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1258][emoji635] US intelligence agencies offer Biden options for a "large-scale cyber attack" against Russia - NBC
 
Ohooo! Kama sisi huku tumekataa kutawaliwa na CCM kwa muda mrefu na bado tunatawaliwa sembuse Putin?
 
Putin ni kichaa aliyekabidhiwa rungu, anahitaji kutulizwa na Warusi timamu.
 
Tulia mkuuView attachment 2130129View attachment 2130130
 
Uko sahihi katika hilo,ila marekani amekuwa akitumia njia hiyo hiyo ya kishambilia Kwa kisingizio Cha tishio Kwa nchi yake.....mbona huwa hatuoni hizi kelele? Unafiki wa international community ndiyo imetufikisha hapa
 
War -update

Mji wa Hostomel umeangukia kwenye mikono ya Warusi.upo umbali wa km 36 kutoka mji mkuu wa ukraine
Huyu Rais wa Ukraine andelee kubembeleza meza ya mazungumzo na Putin la sivyo ataibika vibaya sana!

Aombe wazungumze ailinde heshima ya nchi yake na heshima yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…