Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji119][emoji119][emoji23]Nasikia majeshi ya Urusi yametokea pande zote za Ukraine kama mafisi wenye njaa waliyo changanyikana na Mbwa mwitu!
jamaa wahuni sana aisee walisema wana peleka wana jeshi kulinda amani kwenye majimbo ma 2 tu kumbe walikuwa wana jiandaa kuzunguka nchi nzima[emoji119][emoji119][emoji23]
Sijasema ni halali, ila wasianze kujidai kumsema mrusi wakati wao walishafanya karibia mara 20 zaidi ya anachokifanya mrusi..Ina maana uonevu wa Marekani huko Libya ndio una halalisha uonevu wa Urusi kwa Ukraine?
Putin ni mgonjwa wa akili, ila vikwazo vikali vya kiuchumi vitamnyoosha yeye na genge lake la wahuni
Ohooo! Kama sisi huku tumekataa kutawaliwa na CCM kwa muda mrefu na bado tunatawaliwa sembuse Putin?Putin amerukwa na akili....
Ni wakati muafaka kwa raia wa kawaida wa Urusi kukataa kutawaliwa na mgonjwa wa akili..
Huyu jamaa ataiharibu zaidi nchi yake kiuchumi, kijamii huku akiipaka matope nchi yake mbele ya ulimwengu.
Ni lazima dunia iungane kuzuia Vita ya kibabe huko Ukraine.
Tulia mkuuView attachment 2130129View attachment 2130130Kuna watu waridhani Putin anaiogopa NATO na waliomba avamie sasa kavamia, sijui mtapitaje hapa.
Kwa kifupi media zilizo Africa, Ulaya na america taarifa mnazipata moja kwa moja kwa kingereza au kifaransa muda mwingine hata kwa kiswahili.
Ila nauhakika kuna watu hawajui kama china alishatangaza yupo na urus, pamoja na north korea wapo pamoja kwa shida na raha.
Na moja kubwa kuna makampuni ya marekani yamewekewa vikwazo china ni siku tatu nne nyuma ila watu hawajui kama wanachaguliwa taarifa za kusikia.
"Mwisho russia sababu anazo, nguvu anayo na uwezo anao ".
Mpaka putin kaamua ndio mjue marekani wamevunja mikataba kupitiliza zaidi ya miaka kumi russia kavumilia na marekani anajifanya superpower kwa superpower mwenzake wakati ile ni ardhi ya mrusi subir muone hlf bado madude ya kiduku.
Kwa asiyejua na anaesikiliza media za magharibi lazima amchukie Putin na amuone dictator ila ukimfatilia unajua dunia bila yeye dunia itafika mwisho haraka sana.
Long live Vladimir Putin Chuma.
madhara yake mpaka wewe lazima yakufikie we kenua tu apo
Nina nyumba ya urithi apo magomeni, nitawapangisha kwa £400 kwa Mwezi
Uko sahihi katika hilo,ila marekani amekuwa akitumia njia hiyo hiyo ya kishambilia Kwa kisingizio Cha tishio Kwa nchi yake.....mbona huwa hatuoni hizi kelele? Unafiki wa international community ndiyo imetufikisha hapaPutin amerukwa na akili....
Ni wakati muafaka kwa raia wa kawaida wa Urusi kukataa kutawaliwa na mgonjwa wa akili..
Huyu jamaa ataiharibu zaidi nchi yake kiuchumi, kijamii huku akiipaka matope nchi yake mbele ya ulimwengu.
Ni lazima dunia iungane kuzuia Vita ya kibabe huko Ukraine.
😂😂😂Biden amekimbia maswali ya wanahabariBush ndio anaweza vita
Huyu Rais wa Ukraine andelee kubembeleza meza ya mazungumzo na Putin la sivyo ataibika vibaya sana!War -update
Mji wa Hostomel umeangukia kwenye mikono ya Warusi.upo umbali wa km 36 kutoka mji mkuu wa ukraine