Vita ya Urusi na Ukraine: Putin aonya “Yeyote atakayeingilia atapata pigo la kihistoria”

Bora tupate mademu wakali wa ki Ukraine tugonge,, hawa wabantu wenzetu wamezidi kuwa chuma ulete[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Umeongea ukweli mtupu,then umeongea uhalisia uliokwepo
 
Ila kumbuka askari wa Marekani hawana morali, raia wa Marekani hawana matumaini, raisi wa Marekani hajui nini afanye.
Vita ya miaka ishirini nchini Afghanistan imewanyong'onyesha na Urusi alitumia kanuni hiyo hiyo kuwanyoosha Wamarekani kwa kuwapa strategic and tactical means and weapons pamoja na fedha kwa wataleban ili kumdhuru Mmarekani kwa miaka ishirini.

Wenzetu wapo juu kwenye intelejensia kuliko tunavyodhani
 
Zelensky: “Today I asked the 27 leaders of Europe whether Ukraine will be in NATO, I asked directly. Everyone is afraid, does not answer. And we are not afraid, we are not afraid of anything.”
 
Hapa je ulikua huombi amani?? Nyinyi Libya ilipovamiwa na US si mlikua mnashamgilia na kuosifu hapa, Israel inapopiga mabomu Gaza na kuuwa watu si mnasifu, Vp kuhusu Iraki ilipovamiwa bila ya sababu huku mkiuwa maelfu ya watu?? Tulia dawa ikuingie
 
Ukrainian official says Friday will be "the worst day" of Russian attack, expects airstrikes, landings, penetrations, and encircling - BNO
 
Ujerumani kuna kitu anakiogopa hatujui ni nini [emoji23][emoji23]

The German Chancellor said that cutting off #Russia from the #SWIFT global interbank payment system should not be part of the second #EU sanctions package against Russia.

#Ukraine
#NATO https://t.co/Z45YfPi9Ju
 
Gaddafi ni muafrika ama muarabu
 
Huyo dikteta bora alifurushwa! Kwanza alimsaidia nduli iddi amini kuipiga Tz kipindi cha vita vya Kagera
 
Huyu Rais wa Ukraine andelee kubembeleza meza ya mazungumzo na Putin la sivyo ataibika vibaya sana!

Aombe wazungumze ailinde heshima ya nchi yake na heshima yake.
Mazungumzo kivip wakati alipiga simu kremlin haikupokelewa! Hapo Hana jinsi ni kupambana mpaka dakika ya mwisho.
Option iliyobaki ni kuwapa raia silaha wapigane vita ya mtaa kwa mtaa kwa mtindo wa kuvizia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…