Vita ya Urusi na Ukraine: Putin aonya “Yeyote atakayeingilia atapata pigo la kihistoria”

TEAM USA
 
Thread: Vladimir Putin Responds To Kenya Over UN Remarks. #UkraineRussiaCrisis

•Russian President Putin has rubbished the remarks by Kenya’s Permanent Representative to the UN as that of a young boy trying to shake a baobab tree but only ends up shaking his own buttocks.•
 
Usiseme waafrika, sema wakenya! Wengine unatuonea bure. Hao wakenya hata jeshi watapeleka huko kama wakiombwa. Wanakiherehere sana

Sent from my SM-A500F using JamiiForums mobile app
 
Kwani kuna tofauti na anavyofanya israel?au kwakuwa Israel ndio mnaliita taifa teule kwahiyo lifanye tu ni sawa.
 
Kweli kabisa,tena ni kiongozi alikuwa na msaada makubwa sana kwetu na muAfrika mwenzetu lkn mijitu ilinyamaza kimyaa..sasa katokea mbabe wa kubalance dunia eti inalalamika..Very stupid
 
Wangapi wamepigwa kibabe? Marekani alienda kumkanda mlibya kule, america kawakanda wangapi kwa uonevu? Hapa Urusi anafanya uonevu, lakini hao pro America wakae kimya, wakiligalambua dunia haitokalika
Ina maana uonevu wa Marekani huko Libya ndio una halalisha uonevu wa Urusi kwa Ukraine?

Putin ni mgonjwa wa akili, ila vikwazo vikali vya kiuchumi vitamnyoosha yeye na genge lake la wahuni
 
Mahaba haya.
 
Jamaa amejimilikisha nchi hakutosheka....

Mwaka 2008 aliishambulia Georgia na kuyachukua majimbo yake mawilu kibabe, akaimega Crimea tena na Sasa ameamua kuivamia Ukraine kabisa.

Wengi wanaomshabikia humu wana chuki binafsi tu na nchi za magharibi, hawajui kama uovu ni uovu tu haijalishi umefanywa na nani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…