Vita ya Urusi na Ukraine: Putin aonya “Yeyote atakayeingilia atapata pigo la kihistoria”

Kama alivyorukwa Bush
 
Kamuulize sadam Husain na gadaf waliishia wapi baada ya propaganda zao !
Mmoja kala kitanzi mpaka kashusha mzigo , mwingine aliishia kwenye mtaro wa maji taka[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
ulishawahi kusema haya kuhusu uvamizi wa marekani na washirika wake syria, iraq, afghanstan, libya, nk?
 
ninaamini Putin ana sababu kama alizokuwa nazo Kruschev wakati cuban missile crisis, marekani ni mkorofi tu wakati alijaribu kumpindua CASTRO wa cuba kwa ku launch Bay of pigs war lakini akapigwa vibaya. walifikia makubaliano kwa Soviet kuondoa missiles cuba na marekani akahakikisha hataivamia tena cuba na akaondoa missiles uturuki. Na hata sasa Putin alikuwa anataka tu Ukraine asijiunge NATO ili asitumike na Marekani kusimika makombora ya kivita kule ambayo ni hatari kubwa kwa urusi. Kwa sababu ya ubabe wa marekani acha watwangane tu. Sisi tuandae tu mashamba na bora mama ameshatoka huko wakampa kampunga acha wazichape tu. ila kama mama hawakumpa hundi duuh hapo tumeliwa hawatatupa maana vita hii itaende muda mrefu
 
hiyo mbuzi ya Urusi haiwezi mfanya kitu marekani, tatizo inaongea sana wakati wenzie wanamuangalia tu aingie anga zao

ukiona mtu anaongea sana jua hamna kitu, sasa hii mbuzi kila siku iko kwenye TV kupiga mikwara
Kwani pale Syria ilikuwaje? Mmarekani akafanyeje? Assad akafanyweje na USA?
Kila mbabe ana mbabe wake.....
Russia wako vizuri tactically, na wanasibiri kwa hamu kubwa the giant ajiigize kichwakichwa, wam- Goliath
 
Ina maana uonevu wa Marekani huko Libya ndio una halalisha uonevu wa Urusi kwa Ukraine?

Putin ni mgonjwa wa akili, ila vikwazo vikali vya kiuchumi vitamnyoosha yeye na genge lake la wahuni
Iran yupo kwenye vikwazo zaidi ya miaka 40 na maisha yanaendelea,vikwazo vingine huamsha zaidi akili kwa aliyewekewa hivyo vikwazo,pia kumbuka vikwazo huumiza pande zote mbili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…