Vita ya Urusi na Ukraine: Putin aonya “Yeyote atakayeingilia atapata pigo la kihistoria”

Vita ya Urusi na Ukraine: Putin aonya “Yeyote atakayeingilia atapata pigo la kihistoria”

Hiv kwanini sisi waislamu huwa tunawaunga mkono warusi na waarabu?

sisi WAISLAMU tumewahi kusaidiwa nini na WAARABU au Warusi?
angalia vita zote marekani ndio wanatoa msaada, hivi tunajielwa kweli?>
Kawaulize wasyria nani aliwasaidia kuikomboa nchi yao kutokea kwa ISS ambao ni waislamu wenzao.

Kawaulize Watanganyika nani aliwasaidia katika vita yao na nduli idd amini
 
Putin ni tishio kwa dunia,

Ndio maana wakati wote hataki kuondoka madarakani, Ila wa Russia wote ni ndezi tu, mtu mmoja anakuwaje na nguvu namna hiyo? Yaani hata alipompa madaraka ya urais Medvedev ulikuwa ni uhuni tu, bado yeye ndio alikuwa mtawala.
Mbona Jiwe aliweza kutufanya atakavyo na hakuna aliyeinua kichwa chake. Shukuru Mungu kwa kuingilia kwake kati kwani bila hivyo mtu mmoja tu alitaka kuigeuza nchi kama mali yake.
 
Raisi wa urusi leo ameamuru vikosi vyake kuishambulia ukraine tayari watu sita katika shumbulio hilo wamepoteza maisha

Aidha kutokana na vita hiyo kuanza tuanaomba ubalozi wetu utupe taarifa ya raia wetu waliopo nchini ukraine ni hatua zipi wamefanya kuhakikisha usalaama wao na penginepo kurudi nchini.

Hiki ndicho kinachoendelea hivi sasa nchini ukraine.

View attachment 2129617
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unadhani Tz iko serious kiasi hicho?
 
Bado wana safari ndefu sana, maana sio raisi Marekani aingie kwenye mtwgo wao, kama marekani angkua anataka hiyo vita angeshatinga kwenye ground ila kwa sababu anajua its a trap, ataikwepa kwa namna zote
Marekani ataishia kuwaonea Afghanistan, Iran, Iraq, Libya ambao wapo nyuma kwenye maswala ya kisayansi ila nchi zenye maendeleo makubwa ya kisayansi, marekani ataishia kuweka vikwazo kuzigusa hawezi kwani hapendi vita ipiganiwe kwenye ardhi yaķe,ww mtu ana nuklea ana mi-ICBM na misilaha mengine kibao unamgusa vipi?

Halafu siku hizi vikwazo washavizoea hawaviogopi tena, Korea kusini pamoja na vikwazo vyote, lķn kapiga hatua kubwa sana kimaendeleo ktk nyanja ya science na technology na ndio maana Trump aliomba waongee ila muwafaka haukupatikana.

Huyo China kawekewa vikwazo kìbao na USA lķn kila siku uchumi wake unakuwa kwa speed ya ajabu.
 

Rais wa Urusi, Vladimir Putin mara baada ya kutangaza mashambulizi dhidi ya Ukraine, ametoa onyo kwa mataifa ya Magharibi kuwa yeyote ambaye atajaribu kuingilia kinachoendelea baina ya mataifa hayo mawili atakutana na kitu ambacho hajawahi kukutana nacho.

Milipuko ilisikika Mji Mkuu wa Ukraine, Kiev ambapo Putin akanukuliwa akisema: “Kwa yeyote atakayeingilia kutoka nje, atakutana na matokeo ambayo hajakutana nayo katika historia.

Baraza la Usala la Umoja wa Mataifa liliitisha kikao cha dharura Jumatano Februari 23, 2022 mara baada ya Urusi kuanza mashambulizi.

======

After Russian President Vladimir Putin announced he had ordered military action in Ukraine early Thursday, he threatened "those who may be tempted to intervene" on Ukraine's behalf. "Now a few important, very important words for those who may be tempted to intervene in ongoing events from the outside," Putin said.

"Whoever tries to interfere with us, and even more so to create threats to our country, to our people, should know that Russia's response will be immediate and will lead you to such consequences as you have never experienced in your history. We are ready for any development of events. All necessary decisions in this regard have been made. I hope that I will be heard."

The President of the European Council and the President of the European Commission issued a joint statement Thursday condemning Russian military action in Ukraine "in the strongest possible terms."

"Russia is grossly violating international law and undermining European and global security and stability," European Council President Charles Michel and European Commission President Ursula von der Leyen said in the statement.

Source: CNN
THIS IS WHY RUSSIA WANT UKRAINE:
URUSI WANATAKA KUPORA MALI ZA UKRAINE

Ukraine ranks:

1st in Europe in proven recoverable reserves of uranium ores;
2nd in Europe and 10th in the world in titanium ore reserves;
2nd in the world in explored reserves of manganese ores (2.3 billion tons, or 12% of the world’s reserves);
2nd largest iron ore reserves in the world (30 billion tons);
2nd in Europe in mercury ore reserves;
3rd in Europe (13th place in the world) in shale gas reserves (22 trillion cubic meters)
4th in the world by the total value of natural resources;
7th in the world in coal reserves (33.9 billion tons)

Ukraine is an agricultural country:
1st in Europe in arable land area;
3rd in the world by the area of black soil (25% of world’s volume);
1st in the world in exports of sunflower and sunflower oil;
2nd in the world in barley production and 4th in barley exports;
3rd largest producer and 4th largest exporter of corn in the world;
4th largest producer of potatoes in the world;
5th largest rye producer in the world;
5th in the world in bee production (75,000 tons);
8th in the world in wheat exports;
9th in the world in the production of chicken eggs;
16th in the world in cheese exports.

Ukraine can meet the food needs of 600 million people.

Ukraine is an industrialized country:
1st in Europe in ammonia production;
2nd in Europe’s and 4th largest natural gas pipeline system in the world (142.5 bln cubic meters of gas throughput capacity in the EU);
3rd largest in Europe and 8th largest in the world in installed capacity of nuclear power plants;
3rd in Europe and 11th in the world in rail network length (21,700 km);
3rd in the world (after the U.S. and France) in production of locators and locating equipment;
3rd largest iron exporter in the world
4th largest exporter of turbines for nuclear power plants in the world;
4th world’s largest manufacturer of rocket launchers;
4th in the world in clay exports
4th in the world in titanium exports
8th in the world in exports of ores and concentrates;
9th in the world in exports of defence industry products;
10th largest steel producer in the world (32.4 million tons).
 
Ina maana uovu wa hasimu wako ndio kunakupa haki na wewe kutenda uovu...?
Narejea tena kusema, kuwa tusiwe wanafiki ni mbaya sana, uliwahi kuilaumu marekani kufanya unyama wake tena nchi tofauti??
20220224_110506.jpg
 
Back
Top Bottom