Vita ya Urusi na Ukraine: Putin aonya “Yeyote atakayeingilia atapata pigo la kihistoria”

Vita ya Urusi na Ukraine: Putin aonya “Yeyote atakayeingilia atapata pigo la kihistoria”

Kuhusu uanaume wangu na mapumbu yangu muulize mama yako mzazi kwani ilikuwa starehe yake na kuhusu kubale muulize mama yako ninaye msuguaga kis*mi. Wee ni jibu kwa hoja sio matusi ila kwa kuwa unajifanya chizi mimi mwendawazimu.
Yusuph, akili yako imeishia hapo, ndio mnapshadadia ukraine na Russia wapigane, low class na maskini wa kujitakia.
 
Muarabu Gadaffi na Uafrika wapi na wapi? Gadafi alivyofurumushwa nilifurahi sana.
We hujui Ghadafi jinsi alivyojitoa kwa ajili ya bara hili la Africa. Hata AU alikuwa anaifadhili yeye. Kama tatizo ni uarabu wake basi we hujielewi...wako weusi Africa wagapi wametumika kama vibaraka wa kuamisha mali za Afrika kama Mobutu. LIBYA iko Africa hivyo wakazi wake ni waAfrika bila kujali rangi zao. Kama walivyo wamarekani weusi..wao ni wamarekani tu siku zote watatetea maslah ya Amerika na si vinginevyo.
 
Putin amerukwa na akili....

Ni wakati muafaka kwa raia wa kawaida wa Urusi kukataa kutawaliwa na mgonjwa wa akili..

Huyu jamaa ataiharibu zaidi nchi yake kiuchumi, kijamii huku akiipaka matope nchi yake mbele ya ulimwengu.

Ni lazima dunia iungane kuzuia Vita ya kibabe huko Ukraine.
Tulieni, si mlosema hawezi. Mara oooh mbele ya Nato atachakaa, mwanaume anafanya kweli huko.
 
Sasa Hapo Bado wanapambana na Tiny Ukraine Bado washirika hawajaingia!
Marekani na washirika wake wamepigana miaka mi 3 zidi ya islamic state na bado wakawashindwa.mtu kaingiza jeshi tu siku moja mikoa zaidi za 10 kashachukua.je wiki moja ujajiuliza itakuwaje
 
War -update

Mji wa Hostomel umeangukia kwenye mikono ya Warusi.upo umbali wa km 36 kutoka mji mkuu wa ukraine
 
Sisi waafrika n wajinga Sana

Marekan alikuja hapa Africa akamuua muhamad gadafi lakini hakuna aliyepiga kelele

Leo wazungu wanataka kuuana wenyewe kwa wenyewe eti tunakuwa na huruma na kupiga kelele Kama jibwa kinalohtaji bwana

Kama tungekuwa tunapendana nadhan tungeungana kumpigania gadafi

WAAFRIKA AKILI ZETU TIMESHIKIWA NA WAZUNGU

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji817][emoji817][emoji817]
 
Back
Top Bottom