Vita ya Urusi na Ukraine vyaendelea kuwa vikali baada Putin kubadili kamanda

hebu tueleze ni kwanini Putin hataki Ukraine ajiunge NATO ?
Kwa lugha rahisi utakayoielewa:

Ukraine kujiunga NATO na kumsogeza USA sebuleni ni sawa na mshkaji aliyekuwa amamgonga mkeo kabla hujamuoa kuhamia nyumba opposite kabisa na hapo kwenu huku wewe ukiwa mfanyabiashara unayesafiri sana.

Umenisoma au nifafanue zaidi?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sasa kama ni hivyo kwanini usimpige mwizi wa mkeo πŸ‡ΊπŸ‡ΈπŸ‡ΊπŸ‡ΈπŸ‡ΊπŸ‡Έ +NATO badala yake unaishia kumpiga mkeo πŸ‡ΊπŸ‡¦πŸ‡ΊπŸ‡¦πŸ‡ΊπŸ‡¦.
 
hebu tueleze ni kwanini Putin hataki Ukraine ajiunge NATO ?
Kihistoria NATO ina uhasama na Urusi.Kutafuta mataifa jirani na Urusi yajiunge NATO ni kufanikisha malengo ya muda mrefu kuishinda Urusi. Hatua ya mwanzo ya Marekani kumtumia kibaraka Gobachev kulifanikiwa nusu kwa nusu hatimae Urusi ikashtuka na kusimama tena.Safari wameamua kumtumia Yahudi aliye jirani na Urusi kurudia njama zao.
Ukiangalia upande wa pili ni akili gani za raisi wa nchi kukubali kuwa kama kuwadi wa nchi za Nato.Kwa faida ya nani.Kwani kubaki taifa huru kujiamulia upendavyo na ukabaki na ujirani mwema na jirani yako au hata kuunganisha udugu naye kwa kuoana au kuuzesha watoto wenu kuna ubaya gani ukilinganisha na vurugu la vita.
 
hebu tueleze ni kwanini Putin hataki Ukraine ajiunge NATO ?
Hua natamani kujibu maswali yako
Ila shida nikwamba hua unapendelea sana vioja badala ya hoja kikubwa utachekacheka halaf utapotea
Ukiwa tayari kujibiana kwahoja tutajibiana no matter hoja zako nazipenda ama sizipendi ila sio kucheka cheka
Hua nnakawaida yakukubali kutokukubaliana
AHSANTE
 
Mi nampenda Russia aliwachakaza sana hata kule Afghastan.
 
[emoji23][emoji23] wameshakoma kupanga misululu ya vifaru kwenda kyiv!!, Hawajasahau moto uliowapata kwenye msululu ule wa kwanza [emoji2]
Haya mambo ya misululu mirefu ya vifaru ni mambo ya kizamani.Tena anafanya hivyo mchana kweupe anaonekana na satelite bila chenga. Droni za Uturuki zitakuwa zinamvizia wakati wa usiku.Hizi droni zimekuwa tishio sana mpaka inafanya vita ya vifaru na misafara ya kijeshi kuwa ni vita ya kishamba kwa sasa.Safari hii msafara ukipigwa bila kufanikisha lengo basi itakuwa ndio mwisho wake.Ajihadhari sana.
 
kiufup unamaanish Russia ni mdhaifu
 
Kiuhalisia Hadi sasa ukrain hana jeshi lolote Zaid anatumia mamluki kutoka nje,
 
[emoji3][emoji3][emoji3]inafikia muda unacheka tu,ukisoma comment ndefu za Pro Russia humu unapata picha Jeshi la Ukraine lilishachakazwa vibaya ,ni Putin na jeshi lake tu ndiyo wanatamba kule Ukraine,njoo sasa kwenye uhalisia,Kremlin mambo mazito hadi wanabadili Kamanda wa kuongoza mapambano.Tafsiri yake ni kuwa yule wa mwanzo amefail.
 
Kwamba 'Russia anamuogopa US kuwa karibu yake'.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…