Vita ya Urusi na Ukraine vyaendelea kuwa vikali baada Putin kubadili kamanda

Yani Ukraine kujiamulia mambo yake mwenyewe imekuwa shida,au kwakuwa kajiamulia mambo yasiyompendeza Russia ndiyo kosa lake? Taifa huru ni lile linalojiamulia mambo yake lenyewe bila kusikiliza matakwa ya Taifa jirani Period.
 
Unahisi ule msafara waawali ulipigwa!!?
Unahisi PUT IN hawana akili huo msafara unaenda ukiwa upo full sio Drone hata sisimi haushukii huo
Nautaenda salama salimini mpaka kufika unapopataka
watungulie RT tupate na habari zaupande wapili waache UJINGA
RUSSIA sio ZIMBABWE
 
Hii sababu mbona ni yakipumbavu sana.
 
Msururu ulipigwa picha na mavideo kwa mbwembwe na TV za Urusi ukienda Ukraine .Kutoka Ukraine msururu Urusi hawakuonyesha tena kwa kipigo walichopata msafara huo

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]RT watathubutuje si watamuuzi mkuu
 
Wanajiita Superpower halafu unataka kueneza propaganda zako kupitia kwa mgongo wa adui yako? Tengeneza njia za uhakika za kuhakikisha vyombo vyako vinaweza kuufikia umma,ukiendelea kuwategemea kina Dstv (kwa Africa) na wengineo ambao ni mabeberu utaishia kulia lia tu
 
hebu tueleze ni kwanini Putin hataki Ukraine ajiunge NATO ?
nato Akiweka Base ukrain kifupi russia atatandikwa asubuhi sana na USA atakuwa mshindi. Kifupi hawa jamaa ngumi zao ziliahirishwa baada ya ww2 na kila mmoja anajiina kuwa mbabe. Ukitaka ujue why? mwambie leo Russia akaweke base Mexico au Cuba? Halagu uone Herber Hoover anavyopiga mkwara
 
Achana na drone, kuna javeline pia ya muingereza.
 
Yani Ukraine kujiamulia mambo yake mwenyewe imekuwa shida,au kwakuwa kajiamulia mambo yasiyompendeza Russia ndiyo kosa lake? Taifa huru ni lile linalojiamulia mambo yake lenyewe bila kusikiliza matakwa ya Taifa jirani Period.
Mbona kiduku kajiamulia mambo yake mnamwingila??
 
😍
 
Mkuu usifafanue umeeleweka mpaka umepitiliza.
Mkuu Ila umenichekesha mpaka nataka kutapika futari Mana nimekula nimeshiba mno
 
Mie nahamapo. Kwanza usioe mkeo ukaishi naye hapo hapo. Akishazoea ndoa basi umekwisha kazi kupasha kiporo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…