Vita ya Urusi na Ukraine vyaendelea kuwa vikali baada Putin kubadili kamanda

Hakuna vita virefu bwana, Russia hiyo jeuri hana ya kupigana na nchi za magharibi "A protracted war".

Hii awamu walikuwa wanamsoma kuona her military capability, strength and weaknesses na tayari wameshamuelewa sasa subiri ngoma utashuhudia mwenyewe.

Kwanza safari hii hawatampa kabisa uwezo wa kuwa na air superiority na watamkatia supply lines, yaani himaya ya Putin ndio inaelekea ukingoni hivyo. Watu wanataka kuanza kuongelea hadithi ya Post Putin Russia.
 
Supa pawa wa mchongo.
 
Adui gani !!?
Habari zakweli zinajulikana msafara ulifika salama kabisa
Hizo habari zakutofika ama kushambuliwa zakwenu !!!
 

General Alex, ni hatari sana, is among the most dangerous General in Russia, Ukraine is going to hell. Wait & see
 
RUSSIA sio ZIMBABWE
Hayo unayoyawaza kwamba watamfanyia PUT IN na RUSSIA hata hao wenyewe hawajawahi waza kufanya huo UJUHA
Maana watateseka !!!
 
Kukubali kutokubaliana.
Philosophical . Nakubali
 
Izi Ndio habari tunazozipenda

Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Unadhani USSR hajui hili?
Yawezekana ni moja ya mbinu za kumlaghai adui.
Huo msululu yamejaa mabox ya plastic.
Unajua NATO maneno mengi.
 
[emoji1][emoji1][emoji1] Huyu huyu Marekani aliyepigwa na wasomali Hadi akakimbia [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Adui gani !!?
Habari zakweli zinajulikana msafara ulifika salama kabisa
Hizo habari zakutofika ama kushambuliwa zakwenu !!!
Ala si wewe umelalamika hapa kuwa Waachilie huru vyombo vya Russia vitoe habari za upande wa pili,kumbe unazo Mkuu
 
Jiran
Yani Ukraine kujiamulia mambo yake mwenyewe imekuwa shida,au kwakuwa kajiamulia mambo yasiyompendeza Russia ndiyo kosa lake? Taifa huru ni lile linalojiamulia mambo yake lenyewe bila kusikiliza matakwa ya Taifa jirani Period.
Jirani akiajiamlia mambo ya hovyo anavunja Uhuru wakujiamlia.
Fikiri jirani yako aweke public music system dirishani kwenu usiku kucha, mwezi nzima.
 
Hiyo haitatokea, warusi siyo watu wa kushindwa. Wanaroho ngumu zaidi ya Korea ya kasikazini.
 
Jiran
Jirani akiajiamlia mambo ya hovyo anavunja Uhuru wakujiamlia.
Fikiri jirani yako aweke public music system dirishani kwenu usiku kucha, mwezi nzima.
Ndiyo utakwenda kumpiga au utafuata taratibu za kisheria kama kwenda kushtaki kwa mjumbe?
 
Kiuhalisia Hadi sasa ukrain hana jeshi lolote Zaid anatumia mamluki kutoka nje,
Kama ambavyo russia naye anavyotumia wanajeshi wa mchongo kutoka syria, chechen, belarus na bado anapata hasara na kyiev wanajeshi wake wamepata kipondo wakaitema wenyewe maana ni kaa la moto sasa imebidi abadilishe generali wa vita alete aliyeongoza mapambano ya kumlinda asssad wa syria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…