Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
Mtu mzima mwenye akili huwezi mpa attention huyo ngiri mzee wa komweNi wa kumpuuza huyo kichaa.
Mtu mzima mwenye akili huwezi mpa attention huyo ngiri mzee wa komweNi wa kumpuuza huyo kichaa.
Woyooooooooo!!!Watoa kinyeo utawajua tuu
Huyu msengeh mlaanifu labda hilo sikio alilipika akalinywa supu!wamuulize huyo kichaa wao, SIKIO LA MAMA'KE LIKO WAPI????
Upinde ni taasisi kubwa na imejipenyesa sehem nyingi haswaa yaan ulipo pia wapo kila mtu aliona yule upinde wa visiwan ambaye yupo kwenye moja ya jeshi letu skumbuk ni jeshi lip!! Kwan kafanywa nn?? Nan anaweza kukemee huo ouvu? Makonda alikemea baadae kila mtu anajua alichokutana nacho baada ya serikal kujitenga naye Kwa kutamka anayofanya ni maon binafsi na sio msimamo wa serikal !!Binafsi sioni kosa la Dudu baya
Naona anajitoa kupinga uvunjifu wa maadili
Badala BASATA kama chombo cha serikali wamfungie?
Mashoga yamejipenyeza hadi serilini
Wafanya maamzi baadhi ni machoko
Mtu mzima mwenye akili huwezi mpa attention huyo ngiri mzee wa komweNi wa kumpuuza huyo kichaa.
Mabisexual wapo wengi humuuuuu, kupitia uzi huu yatajitokeza kama yote, we subiri tu
Linda Sana mgongo wakoKwanza wasiishie hapo tu, wanatakiwa wampeleke milembe akapate tiba ya afya ya akili na akakae sober,
Ni kichaa yule.
😂😂😂😂😂😂Mtu mzima mwenye akili huwezi mpa attention huyo ngiri mzee wa komwe
Huo msemo tu umekaa kishoga, ulinde mgongo na nini au ndio mnatiana vigunzi vya mahindi?Linda Sana mgongo wako
Hii vita Mungu asimame na Dudu maana shetan amejiinua haswa kutetea upindeNilikuwa najiuliza hivi huyu mjaa laana wochi bela baki kaitolea wapi hii laana ya kufeli maisha na muziki?
Ndugu mwanajamiiforums, hebu jisomee hapa 👇👇
Huyu shujaa wa mataahira toka kitambo yeye anasingizia anaonewa mara sijui amerogwa! Mwisho wa siku kamkata sikio mama yake na panga.
Hakuna laana mbaya kama ya mzazi, ukishalaaniwa lazima uwe chizi jumla. Ni moja kwa moja mirembe.
Huyu wochi bela baki hata afanye nini, hawezi kujiokoa na laana ya mama yake. Mwisho wake ni jela tu. Muziki wenyewe hajui, anaimba matakataka tu. Hana hits, wala hana mvuto wa kisanii.
Bado kidogo atameza ndoano ile yenyewe kabisa. Amelaaniwa, hana kibali na radhi ya mama yake mzazi. Amekataliwa mbinguni na duniani.
Jela inamuhusu huyu mshamba wa misungwi. Akishamaliza kutumikia adhabu ya Basata tutambeba mzobe mzobe tukamsondeke jela ya walevi.
Hakuna kupoa. Wazungu wanasema haipoi wala haiboi. Bendera chuma, mlingoti chuma.
Nachoka sana mummy 😂😂😂😂Mabisexual wapo wengi humuuuuu, kupitia uzi huu yatajitokeza kama yote, we subiri tu
Laana ni nini boss!?Hakuna laana mbaya kama ya mzazi,
Milembe kufanya nini?....mtu anakemea watu wasifirwe unasema anatakiwa apelekwe milembe?....Kwanza wasiishie hapo tu, wanatakiwa wampeleke milembe akapate tiba ya afya ya akili na akakae sober,
Ni kichaa yule.
Mungu hasimami na walevi wenye laana.Hii vita Mungu asimame na Dudu maana
Hapa hakuna wa kuhama watahama mashoga waende nchi za mashoga wenzaoWe endelea kubwata tu, unafikiri kila mtu anaishi huko kwenye Kijiji chako?
Hii ni nchi ya watu wote, hata hao mashoga usiowapenda.
Ukibisha jinyonge lakini wapo sana mpaka kiama.
Au kama vipi hama nchi nenda Burundi pasipo na mashoga.
Bado hujasema. Na utasema.Hapa hakuna wa kuhama wataama mashaga waende Kwa nchi za mashiga wenzao