Vita yetu dhidi ya ushoga ni dhaifu sana

Una mawazo fulani mazuri tu.Jambo moja ni kwamba,kwa ulimwengu huu wa leo,haiwezekani.Mfano aliouonesha baba yako alikuwa anakupa UFUNUO wa mambo ya mbele unayoyashuhudia leo.Tanzania hiihii hohehahe ijimwambafy kukataa urafiki na "mikono inayoilisha"?Thubutu!Miaka mitano mingi,tutaomba pooh!Ndiyo ukweli mchungu.
 
Hata huko kwa mu7 bado hakuna kitu. Nilifuatilia huo mswaada wa sheria unaosema mtu atakayefungwa maisha gerezani ni yule atakayetangaza kwamba yeye ni shoga. Maana yake ni kama mtu ni shoga na aendelee na ushoga bila kutangaza atakuwa salama.
Bongo tuna watu waongo aisee. Mswada umesema marufuku kujihusisha na ushoga na mapenzi ya jinsia 1. Huyu anasema eti marufuku ni kutangaza
 
Hata huko kwa mu7 bado hakuna kitu. Nilifuatilia huo mswaada wa sheria unaosema mtu atakayefungwa maisha gerezani ni yule atakayetangaza kwamba yeye ni shoga. Maana yake ni kama mtu ni shoga na aendelee na ushoga bila kutangaza atakuwa salama.
Mzee rudia kusoma tena huo mswada huko wanapinga ushoga na wamesema kama kigezo ni misahada wacha waikose...ushoga marufuku huko.
 
Hata huko kwa mu7 bado hakuna kitu. Nilifuatilia huo mswaada wa sheria unaosema mtu atakayefungwa maisha gerezani ni yule atakayetangaza kwamba yeye ni shoga. Maana yake ni kama mtu ni shoga na aendelee na ushoga bila kutangaza atakuwa salama.
Wamesema mtu yoyote atakaye jihusisha na ushoga au mapenzi ya jinsia moja au atakayejitangaza kwamba yeye ni mwanachama wa LGBTQ atakumbana na kifungo cha miaka 10 jera.
 
Mkuu Ushoga sio utamaduni wa magharibi, hapana kabisa.

Magharibi utamadubi wao ni kukuacha ufanye mambo yako kwa uhuru demokrasia sasa na Makundi ya Mashoga na wasagaji wanatumia mwanya huo huo, ila sio kweli kuwa ushoga ni utamaduni huko.

Mashoga wanachukuliwa ni watu dhaifu sana huko Ulaya ndio maana hadi sasa familia ikipata habari mtoto wao shoga inasikitika na wapo watakaoleta noma.

Tupambane sisi kama sisi tuache kusingizia magharibi.

NYONGEZA: Kwa kuwa Ushoga sio kitendo cha asili basi ushoga sio utamaduni wa jamii yoyote ile duniani, bali tabia tu ya watu washenzi
 
Kitendo cha baba kuwa na marafiki wakristo wanaoshirikiana na kusaidiana ilisababisha hata sisi watoto kuwa na marafiki bila kubagua dini zao na hatimae tumeoa na kuolewa bila kujali sana dini ya mchumba. Kama taifa letu litakuwa na rafiki shoga haitakuwa kazi nguvu vijana kuwa mashoga pia. Rafiki wakubwa wa mzee Nyerere baba wa taifa alikuwa akifanana nao kwa tabia na itikadi, hii ilisababisha vijana na watanzania tuwe na tabia tofauti sana na vijana wa kenya.
 
Sipendi kuwaona wanaume wakifanya ushoga au wanawake wakifanya usagaji, ila hawa wote ni wakosefu kwa sababu mbalimbali. Kanini hatuwakatai na kuwafunga malaya waliojaa kila mahali? Yote hayo sio utamaduni wetu.
Huku kupinga ushoga watu hufanya kimazoea tu ila sio kwamba wako serious, ndio maana unaona hauoni nguvu kupinga umalaya tena unatangazwa hadi mitandaoni waziwazi na hao mashoga unakuta hadi harusi na shughuli zengine wanaalikwa, kuna mashoga maarufu kabisa wanajulikana. Sasa hii pinga pinga ya ushoga nashindwa kuelewa wanachokipinga wao hasa ni kipi?
 
Sipendi kuwaona wanaume wakifanya ushoga au wanawake wakifanya usagaji, ila hawa wote ni wakosefu kwa sababu mbalimbali. Kanini hatuwakatai na kuwafunga malaya waliojaa kila mahali? Yote hayo sio utamaduni wetu.
Kuna tofauti ya kufumaniwa na malaya au kufumaniwa na Shoga....Shoga ni uchafu sana kuliko limaya la kike.
 
uko sahihi kabisa, ushoga sio utamaduni wa nchi wa bara
uko sahihi, ushoga sio utamaduni wa nchi wala bara fulani bali ni tabia mbaya tu kama vile wizi, kuvuta bangi, na ugaidi. Kosa la nchi za magharibi ni kutumia utajiri wao na umaskini wao kutulazimisha tabia mbaya ya watu wao ikubalike hata kwetu. Mbona wao wanakataza watu wao wasitumie dawa za kulevya? si kila mtu yuko huru kufanya atakavyo? kwanini sisi watuchagulie ipi ni tabia mbaya na ipi ni tabia mbaya?
Ni heri kuwa maskini huru kuliko kuwa tajiri mtumwa.
 
Ndio maana Samia hawezi kutoa tamko au mswada kama M7.
Museveni mwenyewe ameambiwa jana na Marekani kwamba atafakari upya juu ya sheria hiyo kwa mashoga. Hawa wazungu wanatupelekesha sana sisi waafrika. Sijui ni nini maana ya uhuru. (maskini hayuko huru aisee anapangiwa na tajiri tu)
 
Utakuja kugundua wanaoeneza na kushinikiza Ushoga utambuliwe na kuheshimiwa ni kakikundi kadogo sana cha watu wenye ushawishi kwenye nchi zao.
 
wao kufirana sio shida kwetu, shida ni kutulazimisha na sisi tuwakubali watu wetu wanaotaka kufirana. mbona wao hawawapi uhuru watu wao kutumia na kuuza dawa za kulevya, kwanini wao hawawapi uhuru watu wao wanaotaka kuwa magaidi?
Unataka kufirwa?
 

Wote tunaupinga na kuukataa ushoga lakini kesi za watoto kulawitiwa zinazidi kuongezeka.

Kuna unafiki sehemu, wala tusiwasingizie wazungu.
We ndio umeongea ukweli Sasa!! Takwimu za Mewata tu zinaonyesha 1/3 ya wanawake kwenye ndoa wamewahi ingiliwa kinyume na maumbile at least mara moja na waume zao!! Na hiyo ni 5 years ago.

Ila utakuta mtu huyo huyo analaumu wazungu wakati naye anafanya jambo almost lile lile tu
 
Wamesema mtu yoyote atakaye jihusisha na ushoga au mapenzi ya jinsia moja au atakayejitangaza kwamba yeye ni mwanachama wa LGBTQ atakumbana na kifungo cha miaka 10 jera.
Last time waliufuta muswada baada ya kupigwa biti sidhani kama sahivi watakua na ubavu wa kutekeleza hiyo sheria. Maana Kuna misaada watakosa kisa hiyo sheria, swali ni je Uganda itaweza toboa ikiwekewa vikwazo vya Kibiashara?
 
Kwani wewe umekuaje kiasi ambacho hupendi ushoga ila unashindwa kuwafundisha wanao wauchukie pia?.Wazazi tusikwepe wajibu wetu.Matatizo mengi ya mmomonyoko wa maadili unaanzia kwenye mind set zetu wenyewe kua dhaifu kuanzia ngazi ya familia hadi jamii.Mimi sidhani kama kuna mtoto atakayelelewa vizuri kwenye misingi imara anaweza kukubali kurubuniwa akubali kufrwa.Kuna shida iko kwenye jamii ndo maana tuna wasiwasi na akili na uwezo wakujitegemea wa vizazi vyetu.Kwahiyo lazima turudi kwenye msingi wa familia tuone tumekosea wapi.
 
Ndio maana Samia hawezi kutoa tamko au mswada kama M7.
Hizi ni janja janja tu, % 60 ya wanasheria na wanaharakati wanasupport hizo zinazoitwa haki za binadamu ' hauwezi kuwa na watu kwenye Media kubwa na vyombo vya Utangazaji vikubwa wenye elements za kishoga kisha ukasema unapinga ushoga, star TV walikuwa na Tamthilia nyingi za kiphilipino zenye mashoga ndani yake, wale maisha magic wanavipindi vya makhanithi, Wasafi n. K sasa huwezi kuwa serious ukasema ni vita nawe unasema unataka kufungua mipaka na kwamba hiyo ndio sera yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…