Vita yetu dhidi ya ushoga ni dhaifu sana

Aliyekuambia ushoga ni ugonjwa wa akili nani? Hivi mnajua hata mnachokizungumza lakini???
 

Wote tunaupinga na kuukataa ushoga lakini kesi za watoto kulawitiwa zinazidi kuongezeka.

Kuna unafiki sehemu, wala tusiwasingizie wazungu.
Tulipokuwa tunasema na kufanya women empowerment hatukufikiria chochote kuhusu malezi ya familia. Wemen empowerment sio TU imeacha watoto bila usimamizi bali hata cheating, ndoa kuvunjika, na idadi ya ndoa kupunguza imeonhezeka sana, idadi ya single parents ni kubwa sasa kuliko zamani,

Vita ya ushoga inhepaswa kuwa ni agenda ya East African countries kuliko kuwa ya nchi moja moja. Tungetakiwa kuwa na Sheria moja ya ushoga ukanda mzima wa East African countries kama sio Africa yote. Hii ingeondoa Ile divide and rule inayotumiwa na wakoloni wanapotaka jambo lao.
 
Vita hii ya ushoga tuipigane kwa nguvu zetu zote leoleo kabla hatujakuwa na IGP ambae ni shoga, au waziri mkuu ambae ni shoga au Rais wa nchi ambae ni shoga au spika ambae ni shoga au jaji mkuu ambae ni shoga. Tukifika huko kazi itakuwa ngumu kwelikweli.
 
Msiwasingizie wazungu kwa ujinga wenu wa kupeana vifiro.

Kuna mzungu alikuja kukushikia matako ufirwe??

Mabichwa Komwe nyie!
Wakati ushoga ulikuwepo tokea enzi za taarabu na sahv wako kwenye miziki yao ya sasa

Ova
 
CCM na Serikali yake inaunga mkono ushoga

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Huwezi kuyakataa haya maoni yako kwa 100% hata kama hayana ushahidi wa kuthibitisha. Lakini serikali inavyopigana na ushoga ni kama Ile tunayowaambia watoto "tema mate tumpige" ili kumridhisha mtoto aone kwamba umempiga mchokozi wake. No seriousness kama Ile ya Mseveni
 
Homosexual is UN-NATURAL, UN-AFRICAN na ni utamaduni wa watu wa magharibi...
Kwanza ni kuhakikisha Tz hakuna mtu yoyote anayesapoti hivyo vitu kushika aina yoyote ya uongozi au madaraka, hata kama msemaji wa familia wala MC. Wasipate nafasi yoyote ya wadhifa katika jamii. Kwasababu watu kama hao wakishika madaraka ni rahisi kuruhusu hivi vitu kwakuwa wao wanavipenda au wanaona kawaida, na ndicho nchi nyingi zilichofeli
 
Silaha pekee ya kumaliza ushoga tanzania ni fatawa za dini akijulika asiamke kesho yake lkn kwa kutegemea serikali iliyonunuliwa vita hii itatushinda na tusubiri kufunikwa na udogo
 
Wananchi na raia mnapenda kujipa tabu na stress za buree.
Serikali ilishatoa msimamo na mtazamo wake kuhusu ushoga

Fanyeni mambo mengine, msijipe pressure buree.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2561515
CCM kupitia kwa mwenyekiti WAO wameruhusu kwa wakubwa wanaume kuoana[emoji24][emoji24][emoji24]
 
Silaha pekee ya kumaliza ushoga tanzania ni fatawa za dini akijulika asiamke kesho yake lkn kwa kutegemea serikali iliyonunuliwa vita hii itatushinda na tusubiri kufunikwa na udogo
Shida hii imeanzia mbali, wanawake wamekuwa wakifirwa na wanaume tangu zamani bila kujali elimu, dini Wala kabila. Yaani wanaume wanakula pande zote za mwanamke lakini wanawake hawalalamiki, ni Siri Yao. Hata wanaume wako wanaofirwa lakini ni Siri Yao pia. Tunacholalamika hapa ni kulazimisha kufirana iwe ni mfumo rasmi wa maisha wenye mitaala ya kufundishia. Unawafundisha mpaka watoto wadogo wa chekechea na primary, hii sio sawa sawa na kujitangaza na kujionyessha hadharani kuwa wewe ni shoga. Ikumbukwe kuwa hawa wanaoeneza ushoga kwa kutumia zawadi (fedha, magari na maisha mazuri) ili kufanya uwe shoga hawatatoa hiyo zawadi siku zote na milele. Ukishakuwa shoga na ushoga kuenea watasitisha zawadi zao kama vile Pavlov alivyofanya kwenye theory yake ya classical conditioning wakati anafundisha mbwa kutii sauti ya kengele.
Pavlov (Mrusi) alitaka kufundisha mbwa wake aje kula chakula kila anapopiga kengele. Ili kumfundisha tabia hiyo alikuwa akimlisha akimpatia mbwa chakula (zawadi) pamoja na kugonga kengele (tabia mpya) kwa wakati mmoja (pairing), alifanya hivyo kwa muda mrefu kidogo hadi mbwa akafunganisha chakula na kengele, kila akiisikia kengele alihisi njaa. Mwishowe akaondoa chakula (zawadi) polepole alivyoona mbwa anaweza kuja hata bila ya chakula kwa kusikia sauti ya kengele TU. Vijana wetu wakishaizoea hiyo tabia ya ushoga wataendelea nayo hata wazungu wakisitisha misaada Yao huko mbele. Mwanamke aliyezoea kufirwa lazima umfire ndio aone Kuna jambo limefanyika, hata mwanaume ambae amezoea kufira hapendi ukeni tena, na hapo ndio lengo la kupunguza idadi ya watu litakapotokea. Yaani mwanaume hapendi ukeni na mwanamke anafurahia kufirwa zaidi.

Hii tabia ni mbaya sana kuliko vitta ya Kagera dhidi ya Idd Amin, nashangaa sana kuona serikali inapigana nayo kilegelege sana.
 
We mbona hujawa shoga after all modeling,inspirations and seduced behaviors towards lgbtq?
Hata mm ningekuwa shoga kama mazingira yangeruhusu. Enzi zangu Mimi mama ndiye aliyekuwa steringi wa mchezo, alikuwa na sisi muda wote kunusa mikono yetu kama tulienda kula nyumba ya jirani, hata ukichafuka alitaka kujua umechafukaje. Huko mtaani ulikuwa unachapwa na Mzee yeyote kama ukizingua, jamii yote ilikuwa inatulea kuponyoka ilikuwa vigumu sana. Raidio ilikuwa ni RTD TU na magezeti ya Kingo, Uhuru, mfanyakazi na mzalendo na majarida ya kichina na Iran yenye picha nzuri za rangi. Vijana wakubwa walikuwa wakiwafira wadogo kwenye michezo Yao lakini wakigundulika adhabu Yao ilikuwa ya kutisha mno.
 
Tusiwasingie wazungu kwamba ati wanatuletea ushoga , mishoga imejaa mtaani na sheria tunayo tunashindwa nini kuidhibiti? au wazungu hawa wanatuzuia?
 
Kama unadhani kuwa tuko serious kwenye kupiga vita ulawiti wa watoto basi serikali ilete mswada wa kuwahasi (castrate) wote wanaolawiti na mashoga.
Wale wanaoingilia wanawake kinyume na maumbile je? Tuwafanyaje? Wale wanaowaingilia wanaume je tuwafanyaje?
 
Havari na afisa kipenyo wetu msalimie musiba! Mwambie zile yale makande aliyokuwa anakula pale huku akilindwa na wale madogo bado yapo are tu hamna shida!
 
Mm nilianza kuwaona mashoga mwaka 2000,jamii imekata kimya muda mrefu,wanapiga makalele wameshajazana mtaani,ila lesbians ndo wako wengi kuliko mnavyodhania,wanasingizia wazungu wakati mambo yalianzishwa na waarabu.Zenj ushoga umepamba moto.
 
Maamuzi ya viongozi sio maamuzi yetu, so far wanatu betray na kuabuse power tuliyowapa, kama ma chief walivyouza mababu zetu utumwani, we haven't changed.

Kuanzia mikataba na makampuni hewa, mikopo yenye riba ya kutuumiza, mikopo yenye masharti yanayotuletea mabalaa kwenye jamii na family zetu...

Aliyesema system ya kumpata rais ibadilike asikilizwe

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…