Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Ikulu ya Kinshasa DRC, Rais Felix Tsheked baada ya kushika kiti aliwahi kuwaalika Wachawi maarifu wote Nchini DRC kufika Ikulu na kusaidia kuongeza nguvu kuwakabili M23 muhula wake wa pili!
Wachawi hawa kwa pamoja waliahidi kushinda Vita na walisema wako pamoja na Rais Tsheked.
Usilolijua Vita vya Afrika ukiondoa uwezo wa kijeshi kibajeti nk, Basi elewa kuwa 99.9% huamuliwa na uwezo wa Uchawi wa upande mmoja.
Vita vya Uganda vs Tz ilifika kipindi Mwalimu Nyerere akaenda kuwachukua washirikina wa Kimakonde Msumbiji wakaenda kutoa msaada mkubwa sana kwenye uwanja wa vita kazi kuu yao ikiwa ni kuwapiga usingizi mzito majeshi ya amini mchana kweupe!
Hii ni Afrika na Afrika ni mimi na wewe! Heshimuni Mti.