Vita za Afrika zinaendeshwa kiuchawi kwa asilimia kubwa- Yericko Nyerere

Sijui Zanzibar ilitumia uchawi GANI kuiroga Tanganyika? Yaani tumepigwa na kitu kizito sana
Unaweza kunifanya nilie asubuhi. Hii kitu huniuma sana kila ninapokumbuka.

Ila hawa washikaji majini sana, wanatufinya halafu tunachekelea. Hakuna cha msomi wala mjinga, wote hatushtuki.

Nyerere alituponza.
 
Unaweza kunifanya nilie asubuhi. Hii kitu huniuma sana kila ninapokumbuka.

Ila hawa washikaji majini sana, wanatufinya halafu tunachekelea. Hakuna cha msomi wala mjinga, wote hatushtuki.

Nyerere alituponza.
Hako kababu sioni hata umuhimu wake.
 
Kuna watu watabisha kutokana na kujiona wao ni too smart kichwani.

Tafuta movie ya kiafrika inaitwa 'War Witch'.
 
Kwanini tusiutumie huo uchawi kuifanya Tanzania iwe na uchumi mkubwa duniani?
 
Na Vile Vita vya Maji Maji kuna watu mpaka leo wanajua ni uongo,
 
Yeriko mengele ay nyenyere?
 
Ya Majimaji yanafahamika. Haya ya JKN kutumia tunguli ili kumuondoa Nduli ni chai nzito sana.
 
Vita vya Uganda vs Tz ilifika kipindi Mwalimu Nyerere akaenda kuwachukua washirikina wa Kimakonde Msumbiji wakaenda kutoa msaada mkubwa sana kwenye uwanja wa vita kazi kuu yao ikiwa ni kuwapiga usingizi mzito majeshi ya amini mchana kweupe!
Ulikuwa umeshazaliwa wakati huo? Maana haijaandikwa mahali kwamba utasoma kama historia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…