rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Nchi ikifunga anga lake ukapitisha ndege yako ni halali kufanya chochote, hakuna shirika la ndege linaloweza kuweka rehani ndege zake na abiria wake.Good question, kufunga anga its about makubaliano tuu kwa sababu kwenye mashambuliz kwani wanakwambia twaja ama si ndio kabisa wanajua kuna kutunguliwa hapo ni akil kumkichwa
Sawa.Ugaidi ni sera na mipango ya wakuu wa dunia kupitisha ajenda zao sawa na ilivyo ushoga, corona,nk.
Endelezeni michezo ya mbuni kuficha kichwa kwenye mchanga.ukweli haujali mihemko.Urusi wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa kuistabilize Afrika. Popote wanapokuwepo ni watu wa vitendo na si hila hila na kujitia ujanja. Siwatetei kuwa ni wema ila wana afadhali sana. Kama Patrice Lumumba asingekuwa kichwa ngumu Warusi walishamshikia nchi, na hata asingeuwawa. Hapa CAR wameleta amani ambayo ilikuwa ni ndoto. Ni jini fulani afadhali.
Nikafate nini Jerusalem kwani myahudi Mimi!!? ..... Nenda wewe na wafia dini wenzako msiojua kutafsiri hiyo biblia eti tukutane Calvary.... Kufanya nini... Hata hapo ulipo ni Calvary yako .... Msikariri muelewe maandiko....Sawa. Ngoja nitumie uwepo wangu wa bahati mbaya kukupa elimu.
Ugaidi wa Africa chanzo ni middle east countries kwa kushirikiana na ngozi nyeusi.
Uhovyo unahisi mimi ninao ndiyo umefunga akili zako hata uoni namba ukutani.
Tukutane Calvary.
Mkuu kivipi wakati kijiografia kusini Nigeria imepakana na Niger?wakifunga anga zote za Mali na Niger watakuwa wamemjibu vizuri Nigeria.
watumie muda huu vizuri waongee na Urusi wajenge umeme wa nyuklia.
uko Dunia Gani? Kwa taarifa seneti ya Nigeria imeshakataa na rais hawezi kwenda na kinyume Cha hapo?Kivipi wakati kusini Nigeria imepakana na Niger?
Nadhani ECOWAS wataitumia Nigeria kuingia Niger!
Kati ya Urusi na UFARANSA nani ana miliki sehemu kubwa ya migodi Africa!!? Naomba kasome hii ..halafu niletee wewe document inayoonyesha how Urusi anainyonya Africa usiniletee kabobo ... Lete evidence kama hivi ... Karibu..mEndelezeni mchezo wa mbuni kuficha vichwa kwenye michanga kama mbuni, ukweli haujali mihemko.
Huyo Lumumba hakuwa na chochote kama walivyo waafrika wengine zaidi ya hutuba nzuri majukwaani zilizojaa misisimko.
Ukiwaikiliza wafalme wa Africa wawapo majukwaani unaweza sema" kesho tunaingia Kanani".
Urusi na kundi lake wana miliki migodi Africa ili kulinda tawala za madikteta nothing more.
Ok!uko Dunia Gani? Kwa taarifa seneti ya Nigeria imeshakataa na rais hawezi kwenda na kinyume Cha hapo?
ECOWAS ipi hiyo mnayokazia shingo itaingia Niger!!? Mbona mnashikiwa akili kiasi hicho?!!Mkuu kivipi wakati kijiografia kusini Nigeria imepakana na Niger?
Nadhani ECOWAS wataitumia Nigeria kuingia Niger!
First thing, thing first.Kati ya Urusi na UFARANSA nani ana miliki sehemu kubwa ya migodi Africa!!? Naomba kasome hii ..halafu niletee wewe document inayoonyesha how Urusi anainyonya Africa usiniletee kabobo ... Lete evidence kama hivi ... Karibu..m
AahaaaaaaNimeona hii habari sehemu. Jana ilikuwa mwisho wa muda ambao serikali ya Niger iliyompindua Rais ilitakiwa kuachia madaraka au ukabiliwe na kipigo kutoka ECOWAS. Mali na Burkina Faso zimesema kuwa zitasimama na utawala wa Niger.
Sasa Niger wamefunga anga lao. Hakuna ndege kupita. Na ndege kutoka Ulaya kwenda Nigeria hupita Niger. Sasa itabidi zizunguke. Mali nao wakifunga itazibidi zizunguke mbali kabisa na kuongeza gharama kwa wasafiri. Vita hata ukiwa mkubwa lazima ikuathiri.
View attachment 2710780
Punguza makunyanzi Moyoni, siko huko uliko hisi niko.Nikafate nini Jerusalem kwani myahudi Mimi!!? ..... Nenda wewe na wafia dini wenzako msiojua kutafsiri hiyo biblia eti tukutane Calvary.... Kufanya nini... Hata hapo ulipo ni Calvary yako .... Msikariri muelewe maandiko....
Kama Wana mpepe free zone sawa... πππ ...Punguza makunyanzi Moyoni, siko huko uliko hisi niko.
Nilikusudia Calvary Pub, nikupe Offer ya kimiminiko ili usahau ukali wa maisha.
Wakali kwanza ukutana hapa kutumia mahokoto yetuππ.
Mkuu wewe hujui siasa za urusi, weigner na putin ni kitu kimoja ilikuwa danganya toto ya adui zakeNo Putin anafurahia Mapinduzi ya Africa wakati Wagner walipotaka kumpindua alibaki kulia Lia hadi Luka Shenko akaingilia kati ili asipunduliwe.
Urusi kujikita Africa ni kumaliza kabisa hata ile aman robo tuliyobakiwa nayo.
sawa. Acha niendelee kutozijua Siasa za Urusi na Wagner ila nina sitaacha kumuamini Putin mwenyewe alivyokuwa analia lia na kuonya vile tamaa ya madaraka imavyotaka kuleta uasi ndani ya Urusi.Mkuu wewe hujui siasa za urusi, weigner na putin ni kitu kimoja ilikuwa danganya toto ya adui zake
Putin Lengo lake ni Africa kupata technolojia ya nuclear energy so that we raise to the global stage be counted as menwakifunga anga zote za Mali na Niger watakuwa wamemjibu vizuri Nigeria.
watumie muda huu vizuri waongee na Urusi wajenge umeme wa nyuklia.
By deposing Taliban government and replacing it with TalibanHow did USA manage to "kill" Afghanistan?
Watawala wa kiafrika bila mfumo wowote wa kuwabana wawajibike kwa wananchi hawaweziIla tz nchi yangu najua itakuwa ya mwisho Ethiopia imeanza tayari πͺπ¬ Egypt wakati wowote inaweza washa