Vita zina mambo mengi sana. Niger wamefunga anga lao. Mali nao wakifunga wanigeria watapata tabu sana kusafiri

Vita zina mambo mengi sana. Niger wamefunga anga lao. Mali nao wakifunga wanigeria watapata tabu sana kusafiri

Good question, kufunga anga its about makubaliano tuu kwa sababu kwenye mashambuliz kwani wanakwambia twaja ama si ndio kabisa wanajua kuna kutunguliwa hapo ni akil kumkichwa
Nchi ikifunga anga lake ukapitisha ndege yako ni halali kufanya chochote, hakuna shirika la ndege linaloweza kuweka rehani ndege zake na abiria wake.
 
Urusi wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa kuistabilize Afrika. Popote wanapokuwepo ni watu wa vitendo na si hila hila na kujitia ujanja. Siwatetei kuwa ni wema ila wana afadhali sana. Kama Patrice Lumumba asingekuwa kichwa ngumu Warusi walishamshikia nchi, na hata asingeuwawa. Hapa CAR wameleta amani ambayo ilikuwa ni ndoto. Ni jini fulani afadhali.
Endelezeni michezo ya mbuni kuficha kichwa kwenye mchanga.ukweli haujali mihemko.
Huyo Lumumba hakuwa na chochote kama walivyo waafrika wengine zaidi ya hutuba nzuri majukwaani zilizojaa misisimko.
Ukiwaikiliza wafalme wa Africa wawapo majukwaani unaweza sema" kesho tunaingia Kanani".

Urusi na kundi lake wana miliki migodi Africa ili kulinda tawala za madikteta nothing more.
 
Sawa. Ngoja nitumie uwepo wangu wa bahati mbaya kukupa elimu.
Ugaidi wa Africa chanzo ni middle east countries kwa kushirikiana na ngozi nyeusi.
Uhovyo unahisi mimi ninao ndiyo umefunga akili zako hata uoni namba ukutani.
Tukutane Calvary.
Nikafate nini Jerusalem kwani myahudi Mimi!!? ..... Nenda wewe na wafia dini wenzako msiojua kutafsiri hiyo biblia eti tukutane Calvary.... Kufanya nini... Hata hapo ulipo ni Calvary yako .... Msikariri muelewe maandiko....
 
Endelezeni mchezo wa mbuni kuficha vichwa kwenye michanga kama mbuni, ukweli haujali mihemko.
Huyo Lumumba hakuwa na chochote kama walivyo waafrika wengine zaidi ya hutuba nzuri majukwaani zilizojaa misisimko.
Ukiwaikiliza wafalme wa Africa wawapo majukwaani unaweza sema" kesho tunaingia Kanani".

Urusi na kundi lake wana miliki migodi Africa ili kulinda tawala za madikteta nothing more.
Kati ya Urusi na UFARANSA nani ana miliki sehemu kubwa ya migodi Africa!!? Naomba kasome hii ..halafu niletee wewe document inayoonyesha how Urusi anainyonya Africa usiniletee kabobo ... Lete evidence kama hivi ... Karibu..m
 
Attachments

First thing, thing first.
Unatumia methodology gani kujua hii ni kabobo na ile si kabobo? Ninataka nijue kabla sijakujibu swali lako.
Na umeelewa nini niliposema Wagner wanamiliki migodi kwa malipo ya kulinda wafalme wa Africa?.
 
Nimeona hii habari sehemu. Jana ilikuwa mwisho wa muda ambao serikali ya Niger iliyompindua Rais ilitakiwa kuachia madaraka au ukabiliwe na kipigo kutoka ECOWAS. Mali na Burkina Faso zimesema kuwa zitasimama na utawala wa Niger.

Sasa Niger wamefunga anga lao. Hakuna ndege kupita. Na ndege kutoka Ulaya kwenda Nigeria hupita Niger. Sasa itabidi zizunguke. Mali nao wakifunga itazibidi zizunguke mbali kabisa na kuongeza gharama kwa wasafiri. Vita hata ukiwa mkubwa lazima ikuathiri.

View attachment 2710780
Aahaaaaaa
 
Nikafate nini Jerusalem kwani myahudi Mimi!!? ..... Nenda wewe na wafia dini wenzako msiojua kutafsiri hiyo biblia eti tukutane Calvary.... Kufanya nini... Hata hapo ulipo ni Calvary yako .... Msikariri muelewe maandiko....
Punguza makunyanzi Moyoni, siko huko uliko hisi niko.
Nilikusudia Calvary Pub, nikupe Offer ya kimiminiko ili usahau ukali wa maisha.
Wakali kwanza ukutana hapa kutumia mahokoto yetu😁😁.
 
Attachments

  • IMG-20230807-WA0011.jpg
    IMG-20230807-WA0011.jpg
    14.4 KB · Views: 2
No Putin anafurahia Mapinduzi ya Africa wakati Wagner walipotaka kumpindua alibaki kulia Lia hadi Luka Shenko akaingilia kati ili asipunduliwe.
Urusi kujikita Africa ni kumaliza kabisa hata ile aman robo tuliyobakiwa nayo.
Mkuu wewe hujui siasa za urusi, weigner na putin ni kitu kimoja ilikuwa danganya toto ya adui zake
 
Mkuu wewe hujui siasa za urusi, weigner na putin ni kitu kimoja ilikuwa danganya toto ya adui zake
sawa. Acha niendelee kutozijua Siasa za Urusi na Wagner ila nina sitaacha kumuamini Putin mwenyewe alivyokuwa analia lia na kuonya vile tamaa ya madaraka imavyotaka kuleta uasi ndani ya Urusi.
 
Back
Top Bottom