Mawematatu
JF-Expert Member
- Apr 8, 2021
- 468
- 608
tunasubiri....Niende kwenye hoja.
Historian ya Vatican inafahamika wajuzi wanajua yakiyomo lkn ama wanajua au hawajui kwamba Vatican iliviondoa vitabu 14 kwenye biblia maafuru "the hidden books".
Ingawa Bible secret inaonesha Kuna vitabu Zaid ya 70 havimo niwaletee majina ya vitabu 14 vilivyoondolewa kwenye bibilia
Vitabu vilivyogunduliwa vilikuwa vitabu vingi lakini si vitabu vyote vilikuwa na sifa ya kuingizwa kwenye Biblia .Weka hapo chini
1. First book of Adam and Eve
2. Second book of Adam and Eve
3. Enoch 1
4.Enoch 2
....
...Gospal of Marry Maganalena. Yuda ,... Leta vitabi ivyo
Kama viliandikwa kwa uwezo wa roho mtakatifu,Vatican ni nani kuvikataa!?Vilikosa authenticity. Hakuna cha kufichwa hapo mzee. Hiyo Vatican ndiyo imekupa hiyo bibilia unayoisoma. Kama hutaki, ichane unda yakwako.
Hakuna sifa ya wachache kwaajili ya wengi. Hivi vilivyopo sasa wamefanya modification kwasababu IQ ya wale wahusika ilikuwa ndogo hivyo vimekuwa hijacked. Ila vile vingine vilivyoondolewa hamna namna ya kumodify kwasababu IQ ya wale ni bestest of the bestest.Vitabu vilivyogunduliwa vilikuwa vitabu vingi lakini si vitabu vyote vilikuwa na sifa ya kuingizwa kwenye Biblia .
Kabla ya kiwalaumu wavatican kumbuka bibilia yao Ina vitabu 72. Wahoji kwanza wasabato na madhehebu ya prostant yenye bibila ya vitabu 65 tu ambavyo wamefuta vitabu 7 vyaNiende kwenye hoja.
Historian ya Vatican inafahamika wajuzi wanajua yakiyomo lkn ama wanajua au hawajui kwamba Vatican iliviondoa vitabu 14 kwenye biblia maafuru "the hidden books".
Ingawa Bible secret inaonesha Kuna vitabu Zaid ya 70 havimo niwaletee majina ya vitabu 14 vilivyoondolewa kwenye bibilia
Mwaga nondo bakulutuKabla ya kiwalaumu wavatican kumbuka bibilia yao Ina vitabu 72. Wahoji kwanza wasabato na madhehebu ya prostant yenye bibila ya vitabu 65 tu ambavyo wamefuta vitabu 7 vya
1.Tobiti
2.Yudithi
3.Hekima ya seleman
4.Yoshua bini Sira
5.Baruku
6. Makabayo 1&2
Je wanania gani na waumini wao?
Havikuwa na Roho Mtakatifu ndio maana. Alafu vilijaa errors kibao. Kuna kitu kinaitwa magisterium kipo tangu agano la kale agano jipya ilianzia na wale mitume 12, hao ndio walikuwa wanakaa wanasali na kupewa sauti na roho wa Mungu.Kama viliandikwa kwa uwezo wa roho mtakatifu,Vatican ni nani kuvikataa!?
NILITEGEMA UNATAJA VITABU HIVYO KUMBE NAWE( )Niende kwenye hoja.
Historian ya Vatican inafahamika wajuzi wanajua yakiyomo lkn ama wanajua au hawajui kwamba Vatican iliviondoa vitabu 14 kwenye biblia maafuru "the hidden books".
Ingawa Bible secret inaonesha Kuna vitabu Zaid ya 70 havimo niwaletee majina ya vitabu 14 vilivyoondolewa kwenye bibilia
Kabla ya kiwalaumu wavatican kumbuka bibilia yao Ina vitabu 72. Wahoji kwanza wasabato na madhehebu ya prostant yenye bibila ya vitabu 65 tu ambavyo wamefuta vitabu 7 vya
1.Tobiti
2.Yudithi
3.Hekima ya seleman
4.Yoshua bini Sira
5.Baruku
6. Makabayo 1&2
Je wanania gani na waumini wao?
HakikaSio bibilia yao, hivyo ndicho bibilia halisi iliyotumika na wakristo wote kabla ya Luther kufyeka vitabu hivyo 6/7.
Hawatakagi huko. Hasahasa waprotestanti.Sielewi Sana Tatizo la sisi watanzania....
Unapoleta mjadala uweke vyema sio kudonoa mambo...
Nafikiri Tungeanza na Historia ya Ukristo/Kanisa...kwa sababu Biblia ni zao la Hii hoja.
Huu ungepaswa kuwa Mwanzo wa Mjadala huu.
Biblia takatifu ina vitabu 66. Vitabu 39 kutoka agano la kale na 27 katika agano jipyaKabla ya kiwalaumu wavatican kumbuka bibilia yao Ina vitabu 72. Wahoji kwanza wasabato na madhehebu ya prostant yenye bibila ya vitabu 65 tu ambavyo wamefuta vitabu 7 vya
1.Tobiti
2.Yudithi
3.Hekima ya seleman
4.Yoshua bini Sira
5.Baruku
6. Makabayo 1&2
Je wanania gani na waumini wao?