Yani ni hivi, hakujawahi kuwa na bibilia isiyokuwa na vitabu 73. Yani vitabu vilikuwa scattered, St Jerome Ali spearhead compilation lakini ni magisterium ya kanisa , ndio ilikuwa na jukumu la kufanya authentication chini ya Roho Mtakatifu. Rejea pale Yesu alipopaa alisema maneno gani. Ukitaka Church history tafuta kitabu kinaitwa Didache!! Hii kabla ya bibilia ilikuwa ni kama bibilia.
Orthodox sio early church. Schism ilikuwa 1053.
Catholic church Lina eastern na western(latin) rites. Orthodox pia wana east na west. Roman ni neno jipya la 17th century, hakuna kanisa linaitwa Roman catholic.
Bibilia ya vitabu 66 alivichoropoa Martin Luther 1500s, na alitaka pia kutoka James na revelation kama hujui, na walibishana na Ulrich Zwingli. Mababa wa reformation. Alivitoa kisa haviendani na matakwa na mafundisho yake. Alijipa mamlaka juu ya kanisa. Ila wakristo kabla ya huo uasi bibilia ilikuwa ni vitabu 73 au 72 (kama makabayo 1 na 2) utaita kitabu kimoja.
Vizuri Sana kabla ya Kuendelea Kujenga Hoja Nataka Kusafisha Baadhi ya Vitu..
Kwanza kabisa Maybe Huijui Story Vizuri Ya Biblia Nachozungumzia Sizungumzii Tafsiri ya Biblia Nachozungumzia Ni Manuscript pamoja na Codex mbalimbali.. (Nikisema Hivi sijui unanielewa)..
Manuscripts Za biblia Zinatofautiana wingi wa Vitabu na Hata Codex pia..(Hapa tutaendelea Kudiscuss Kama tu Utakuwa unajua)..
Pili Didache sio Miongoni mwa Vitabu vya Church's History..
Didache Ni kitabu kama Muongozo wa Mafundisho ya Mitume 12 (Wale wanafunzi wa yesu)..
Didache haitofautiani sana na Matendo ya Mitume humo kuna maswala ya Ubatizo, Ekaristi, maadili na Miongozo ya Kanisa..
Tatu authentification Ya Biblia haikufanywa na Roho mtakatifu Ilifanywa chini Ya utawala wa Roma baada ya kuonekana Mpasuko Baina ya Kanisa la Magharibu (Western churches) na kanisa la Mashariki (Eastern churches) ambalo lilikuwa linamuunga mkono Arius..
Na ndipo Zilipoanza
Ecumenical councils (zile Main 7 na zingine za Ziada)..kuanzia kwa Council of Naecea...
Nne kuhusu Churches History I suggests Usome Vitabu vya Church's Father...
Eusebius of Caesarea. Ambaye Anafahamika kama Father of Church History na kwa kuanzia Soma
Ecclesiastical History...ambacho kimeandikwa Kati ya mwaka 260 Mpaka 340 AD..
msome Pia Socrates Scholasticus, Sozomen na Theodoret of Cyrus...
Hapa utakuwa Umejua Historia Yote tena Iliyotukuka
Tano Kuhusu Early churches na orthodox unaweza ukapitia Watu hao juu na vitabu vyao ukajifunza zaidi ila nitakuelimisha kidogo..
Ukisoma Doccuments Zote za Early churches Utagundua kanisa Lilikuwa Moja licha ya Kuwa Na Pande mbili ambazo ni Eastern Church na Western churches of the Roman Empire..
nimeshangaa sana hujui Western church Of the Roman Empire was actually Recognised As Catholic churches?
Na pia Hujui wanaposema Early Eastern Churches wanamaanisha Orthodox churches?..
Kwanza kabisa hakuna Western Orthodoc Churches...
Kuanzia karne ya Kwanza kulikuwa na Kanisa Moja Ambalo waliliita Kanisa La mitume likiwa Lina mafundisho yanayofanana kama ya kwenye Didache ila baadaye Kutokana na upande Kila mmoja akawa na mafundisho yake Wa Magharibu na wa Mashariki pia..
Ilikuwa Kuwashinda kuendelea Kuwa pamoja kwa sababu ya Utofauti wa Kimafundisho na Rasmi mwaka uliotaja 1054 AD ndo kulitokea Great schisms Na wakagawanyika Mara Mbili western ambayo ikawa catholic na Eastern ambayo ikawa Eastern Orthodox..
sasa tuchane na hayo Imenishangaza sana Kussma kuwa Biblia ilikuwa Hivyo Hivyo na vitabu 73..
Umesahau Hata Tanakh (Agano la kale) au Vitabu vya Kiyahudi viilikuwa canonised na Council of Jamnia (or Yavne) na ilifanyika Baada ya Kubomolewa kwa Hekalu (Kulikotokea mwaka 70 AD) council ilikaa mwaka 90 CE.(90 AD)..
"Sawa hii unaweza usiikumbuke sababu Inahusisha sana maswala ya Masomo ya Textual analysis ya OT (old Test...)"
Ila nimeshtuka Kugundua Hata Canonisation ya NT (New Testa..) pia Hujui ilifanyika Lini?..
Canonisation Ilianza mwaka 325 AD Chini Ya council of Naecea ambapo hapa ndo kulitungwa Sheria za Canon (kuvuviwa) au Pigrapha Law..
Ndo zilizotumika na
Council of Rome (382 CE): chini ya Pope Damasus I, hii council ndo ili produced a list of canonical scriptures, ambayo ndo ilitupatia vitabu vya agano Jipya baadae
Synod of Hippo (393 CE) ndo walipitia maamuzi ya
Council of Rome na wakaviconfirm hivyo Vitabu na Kudecree kuwa ndivyo Canon na baadae
Councils of Carthage (397 and 419 CE) ndo liliviweka Pamoja vyote Vitabu Vya agano Jipya kwenye Mkusanyiko Mmoja..
Kuhusu Kuviunganisha Vitabu vyote kati ya Agano Jipya na agano la Kale hapa ndo kuliibuka Mtiti mwingine Kati ya Makanisa hapa Nitaelezea Siku nyingine nikihitajika Japo Ilikuja kufanikiwa Kuunganishwa na kukawa kitabu kimoja..
But Hiyo ilikuwa ni Kazi ya Councills Ila kulikuwa na Manuscripts Zaidi ya 500 na Codex kibao tu na sio vitabu 73 kama unavyosema...
Asante na karibu kwenye mjadala