Mleta mada Mawematatu upo hai ama ushakufa ? Kama upo hai tuletee hivyo vitabu 14 vilivyoondolewa kwenye biblia (the hidden books).
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vatican ni upagani ndani ya ukristo,biblia ni adui yao mkubwa, wanafanya juu chini kuingamizaNiende kwenye hoja.
Historian ya Vatican inafahamika wajuzi wanajua yakiyomo lkn ama wanajua au hawajui kwamba Vatican iliviondoa vitabu 14 kwenye biblia maafuru "the hidden books".
Ingawa Bible secret inaonesha Kuna vitabu Zaid ya 70 havimo niwaletee majina ya vitabu 14 vilivyoondolewa kwenye bibilia
Wasione wakatoliki hiivatican ni upagani ndani ya ukristo,biblia ni adui yao mkubwa, wanafanya juu chini kuingamiza
Uzuri wa RC Wapo wazi kwa hilo. wakati watu wengine (makanisa) wakisema imani yao ni inatokana na kilichopo kwenye biblia na biblia pekee, wakatolik wanasema imani yao si kwenye biblia tu bali pia wana vyanzo vingine vya imani yaoVatican hawana mwongozo sahihi wa vitabu vya biblia maana hata Yesu Kristo wa galilaya hawamwamini na wao ndio waliomsulubisha na kulibomoa hekalu la Mfalme Suleimani 40 A.D.
Hiyo biblia yao sio biblia halisi ya kikristo ni ya kidini, itikadi na siasa.
Anayeamua vitabu viwrpo au visiwepo ni nani?Niende kwenye hoja.
Historian ya Vatican inafahamika wajuzi wanajua yakiyomo lkn ama wanajua au hawajui kwamba Vatican iliviondoa vitabu 14 kwenye biblia maafuru "the hidden books".
Ingawa Bible secret inaonesha Kuna vitabu Zaid ya 70 havimo niwaletee majina ya vitabu 14 vilivyoondolewa kwenye bibilia
Wamemodifify ili kuruhusu kuabudu majini na mapepo au ili kuiongeza Habari yaupendo na imani?Hakuna sifa ya wachache kwaajili ya wengi. Hivi vilivyopo sasa wamefanya modification kwasababu IQ ya wale wahusika ilikuwa ndogo hivyo vimekuwa hijacked. Ila vile vingine vilivyoondolewa hamna namna ya kumodify kwasababu IQ ya wale ni bestest of the bestest.
#learnthefact
Hakujawahi kuwa na bibilia iliyozidi vitabu 73. Wakati kanisa linaunda bibilia, vingi havikuwekwa sababu ya kukosa authenticity, vina story za uongo nk. Ndio hivyo vingine Muhammad alibeba story za uongo huko. The false gospels.Sijui MTU anapata wapi nguvu ya kufuta maneno ya Mwenyezi Mungu
Mkuu Hebu tuingie Kwenye Mjadala usioumiza Sasa!..Hakujawahi kuwa na bibilia iliyozidi vitabu 73. Wakati kanisa linaunda bibilia, vingi havikuwekwa sababu ya kukosa authenticity, vina story za uongo nk. Ndio hivyo vingine Muhammad alibeba story za uongo huko. The false gospels.
Logical questionKama viliandikwa kwa uwezo wa roho mtakatifu,Vatican ni nani kuvikataa!?
Agano la kale vitabu vyote hakukuwa Wala na ubishaniBiblia takatifu ina vitabu 66. Vitabu 39 kutoka agano la kale na 27 katika agano jipya
Wewe sawa na mimi tu, tumezaliwa tumekuta vipo hivyo na vinatumika na baada ya hapo hatukuwahi kutafuta ukweli wala kuhoji kisa tumejazwa hofu kwamba mambo ya Mungu hayahojiwi.Biblia takatifu ina vitabu 66. Vitabu 39 kutoka agano la kale na 27 katika agano jipya
Usisahau Kitabu cha mwanzo pia Kinasema Malaika wanaoa na wanazaa, Vipi na chenyewe Mbna hakikuondolewa??..Agano la kale vitabu vyote hakukuwa Wala na ubishani
Wakristo wali copy na ku paste tu kutoka kwenye Biblia ya kiyahudi yaani Jewish Bible ambayo inaanzia kitabu Cha Mwanzo na Kuishia Malaki
Jewish Bible waweza download Ina vitabu 39
Mtu akisema ohh kanisa Katoliki lilificha uongo
Vitabu hivyo vingine watu waliokota majalalani huko na wanajaribu kupigania virudi vimejaa mafundisho ya mashetani vinapingana Hadi na Yesu mwenyewe
Yesu akisema Malaika Hawaoi Wala kuolewa wala kuzaa lakini kitabu Cha Henoko kinasema Malaika walioa na walizaa na wanadamu wakazaliwa majitu wanefili ambayo ndio Goliath alitokea
Tulia Kuna vitabu na mafaili mfano yenye taarifaUsisahau Kitabu cha mwanzo pia Kinasema Malaika wanaoa na wanazaa, Vipi na chenyewe Mbna hakikuondolewa??..
Kama Kitabu cha Henok hakikufaa kuingia kwenye Biblia Kwanini Baadhi ya Maandiko Yanavitaja Na maandiko hayo yakiwa Ndani ya Vitabu hivyo viitwavyo vitakatifu..?
Vipi Kuhusu vitabu Vingine Vinavyotolewa Reffetence au kitajwa na Biblia ila Havipo kwenye Biblia Vimeenda wapi??
Yoshua 10:13
- KITABU CHA YASHARI (THE BOOK OF JASHER)
"Ndipo jua likasimama, na mwezi ukatulia,
Hata hilo taifa lilipokuwa limekwisha jipatiliza juu ya adui zao. Hayo, je! Hayakuandikwa ndani ya kitabu cha Yashari? Basi jua likasimama kimya katikati ya mbingu, wala halikufanya haraka kuchwa kama muda wa siku nzima...."
Pia Unaweza kusoma
2 Samweli 1:18
"(kama ilivyoandikwa katika kitabu cha Yashari), akasema, Wana wa Yuda na wafundishwe haya,
(Also he bade them teach the children of Judah the use of the bow: behold, it is written in the book of Jasher.)"
Hesabu 21:14
- Book Of the Wars Of the Lord (Kitabu cha Vita Ya Bwana?
"Kwa hiyo imesemwa katika chuo cha Vita vya BWANA, Wahebu katika Sufa, Na bonde za Arnoni,
Wherefore it is said in the book of the wars of the LORD, What he did in the Red sea, and in the brooks of Arnon,"
- The Chronicles of the Kings of Israel and Chronicles of the Kings of Judah(Kitabu vha Historia ya Wafalme wa Yuda na israel)
1 Wafalme 14:19,29
[19]Na mambo yake Yeroboamu yaliyosalia, ya kupigana na ya kutawala, tazama, yameandikwa katika kitabu-cha-tarehe cha wafalme wa Israeli.
[29]Na mambo yake Rehoboamu yaliyosalia, na yote aliyoyafanya, je! Hayakuandikwa katika kitabu-cha-tarehe cha wafalme wa Yuda?
And the rest of the acts of Jeroboam, how he warred, and how he reigned, behold, they are written in the book of the chronicles of the kings of Israel.
Now the rest of the acts of Rehoboam, and all that he did, are they not written in the book of the chronicles of the kings of Judah?
2 Chronicles 26:22
- KITABU CHA MATENDO YA UZZIAH kilichoandikwa na Isaya
2 Chronicles 33:19
- KITABU CHA MWONAJI (NABII) ,The book of saying of seers
- Kitabu cha Maombolezo Kilichotajwa Kwenye Biblia Ni tofauti na Kitabu cha Maombolezo Tulicho Nacho sisi...
2 Mambo ya Nyakati 35:25
Naye Yeremia akamlilia Yosia; na waimbaji wote waume kwa wake wakamtaja Yosia katika maombolezo yao, hata leo; hata wakayafanya kuwa ada kwa Israeli; nayo, tazama, yameandikwa katika maombolezo.
- Kitabu cha Taarifa Mbele ya Mfalme..
Na Vingine Vingi ila Tuishie hapo kwanza..
Kwanini Roho Mtakatifu aruhusu ukumbe wake uondolewe na Vatican chini ya binadamu? Atakuwa Roho Mtakatifu mfu huyo.Kama viliandikwa kwa uwezo wa roho mtakatifu,Vatican ni nani kuvikataa!?