Dini ni "Utaratibu" wa binadamu aliojiwekea katika kumtafuta Mungu, Tatizo la wengi mna amini kwenye DINI,
Watu mnaabudu katika dini mkiamini kuwa ndipo alipo Mungu,
Mungu haangalii dini ya mtu, anaangalia Moyo wenye kuamini katika YEYE (Mungu).
Kwanini Ukristo umegawanyika kwa kuwepo wanaomini Yesu ni Mungu na wengine wakiamini Si Mungu bali ni Mwana wa Mungu na kwa mujibu wa kitabu cha Mwanzo kimeelezea Mungu hajazaliwa wala kuzaa ?
Uwezo aliopewa Binadamu unamfanya ajaribu kutengeneza theory na mafundisho kwa namna ya upeo wake..
Ulishawahi jiuliza kwann watu walimuamini na wanaendelea kumuamini Luther baada ya kuviondoa hivyo vitabu ?
Naona kitu cha msingi cha kuzingatia ni zile AMRI/KANUNI 10 ndio muongozo kamili na kanuni hizo hazijataja DINI(utaratibu wa kumtafuta Mungu), bali zimesisitiza IMANI
Mengineyo ni stori tu za kujaza kitabu kinachoitwa biblia