Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 4,779
- 9,999
Ujinga kivipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazungu gani wa rome? Mnaongea vitu bila kujua facts. Kwanza magisterium ilijaa wayahudi wafuasi wa Yesu. Hii propaganda ya kudhani roma sijui Rome ndio wameandaa vitabu sijui Nini. Ni ujinga na uvivu wa kusoma. Dola ya Rumi ndio ilikuwa inawaua wakristo kuliko kitu kingine chochote.Kwa hiyo wazungu wa Rome walikuwa wanamjua zaidi Yesu kuliko wale wayahudi ambao alizaliwa kwao?
Nani alikwambia cannon ya bibilia iliwekwa na wazungu? Unajua council ilipofanyika na wajumbe wake? Machizi mpo wengi.Kwa hiyo wazungu wa Rome walikuwa wanamjua zaidi Yesu kuliko wale wayahudi ambao alizaliwa kwao?
Bwana bwana 😆😆😆Waafrika mnaobishania vitabu vya masimulizi ya watu wa kale wa Mashariki ya Kati😂😂😂😴