Aliepunguza vitabu ni Martin Luther, huyo ndio wakumlaumu, wakristo wamekuwa na vitabu 72/73 kwa miaka yote na wakiitumia bibilia hadi 1517 muasi alivyoamua kuyakoroga.Unajua vitu vingine bwana vinachekesha sana.....kabla ya kuwalaumu Vatcan kwa kupunguza kwanza wapongeze kwa kukuletea biblia. Biblia ipi unayoijua wewe iliyokuwa na vitabu vyote hivyo mpaka useme walipunguza?
Wewe yakwako ya majini mtu mmoja kawadanganya ndio dini? Yani miaka 636 baada ya Yesu ndio atokee chizi mmoja ajifanye anajua kuliko aliowakuta. False prophet. Kachanganya mafile ya vitabu vilivyokuwa reject injili feki kabeba na hadithi zake kachanganya na mambo ya wasalafi , c'mon. Embu tulia.Ndio hii dini siyo ya halali wanaogopa ukweli utafichuka yesu siyo mungu
Waafrika mnaobishania vitabu vya masimulizi ya watu wa kale wa Mashariki ya Kati😂😂😂😴Kabla ya kiwalaumu wavatican kumbuka bibilia yao Ina vitabu 72. Wahoji kwanza wasabato na madhehebu ya prostant yenye bibila ya vitabu 65 tu ambavyo wamefuta vitabu 7 vya
1.Tobiti
2.Yudithi
3.Hekima ya seleman
4.Yoshua bini Sira
5.Baruku
6. Makabayo 1&2
Je wanania gani na waumini wao?
Kumbe biblia iligunduliwa na binadamu haikuandikwa toka kwa Mungu?Vitabu vilivyogunduliwa vilikuwa vitabu vingi lakini si vitabu vyote vilikuwa na sifa ya kuingizwa kwenye Biblia .
Hazijawahi kufichwa, hazikuwa credible, zipo nyingi tu.Mary makdalena alikuwa na Gospel yake kweli? Basi itakuwa na mambo ndio maana ikafichwa.
Biashara ya wazee ulayaNiende kwenye hoja.
Historian ya Vatican inafahamika wajuzi wanajua yakiyomo lkn ama wanajua au hawajui kwamba Vatican iliviondoa vitabu 14 kwenye biblia maafuru "the hidden books".
Ingawa Bible secret inaonesha Kuna vitabu Zaid ya 70 havimo niwaletee majina ya vitabu 14 vilivyoondolewa kwenye bibilia
Sifa ya kuingizwa kwenye bible ni ipi?Vitabu vilivyogunduliwa vilikuwa vitabu vingi lakini si vitabu vyote vilikuwa na sifa ya kuingizwa kwenye Biblia .
Credibility ilipimwaje?Hazijawahi kufichwa, hazikuwa credible, zipo nyingi tu.
Kama authenticity haipo why vimekua cited na manabii kwenye Bible?Vilikosa authenticity. Hakuna cha kufichwa hapo mzee. Hiyo Vatican ndiyo imekupa hiyo bibilia unayoisoma. Kama hutaki, ichane unda yakwako.
Nami nilitamani nione majina ya vitabu hivyo ili nimeambulia patupuNILITEGEMA UNATAJA VITABU HIVYO KUMBE NAWE( )
Kama kipi?Kama authenticity haipo why vimekua cited na manabii kwenye Bible?
Book of Jasher kimekua cited na muandishi wa kitabu Cha Joshua kwenye Ile story ya Jua kusimama mpaka vita ikaisha. Vile vile Book of Enoch kimekua cited kwenye kitabu cha Yuda mstari wa 13.H
Kama kipi?
Umevuta nini? Kitabu cha Yuda? Unasoma biblia gani labda?Book of Jasher kimekua cited na muandishi wa kitabu Cha Joshua kwenye Ile story ya Jua kusimama mpaka vita ikaisha. Vile vile Book of Enoch kimekua cited kwenye kitabu cha Yuda mstari wa 13.
Why wao waki quote ni halali ila sie tunaambiwa haramu?
Kitabu cha Yuda kipo kabla ya kitabu cha Ufunuo wa Yohana. Soma verse 13 utaona nachosemaUmevuta nini? Kitabu cha Yuda? Unasoma biblia gani labda?
We unaongea kama nani? Eti authenticity...Vilikosa authenticity. Hakuna cha kufichwa hapo mzee. Hiyo Vatican ndiyo imekupa hiyo bibilia unayoisoma. Kama hutaki, ichane unda yakwako.