Vitabu 14 viliondolewa kwenye biblia, Vatican imeficha nini, ilikusudia Dunia isijie nini?

Kwa hiyo wazungu wa Rome walikuwa wanamjua zaidi Yesu kuliko wale wayahudi ambao alizaliwa kwao?
Wazungu gani wa rome? Mnaongea vitu bila kujua facts. Kwanza magisterium ilijaa wayahudi wafuasi wa Yesu. Hii propaganda ya kudhani roma sijui Rome ndio wameandaa vitabu sijui Nini. Ni ujinga na uvivu wa kusoma. Dola ya Rumi ndio ilikuwa inawaua wakristo kuliko kitu kingine chochote.
 
Kwa hiyo wazungu wa Rome walikuwa wanamjua zaidi Yesu kuliko wale wayahudi ambao alizaliwa kwao?
Nani alikwambia cannon ya bibilia iliwekwa na wazungu? Unajua council ilipofanyika na wajumbe wake? Machizi mpo wengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…