Vitabu vya dini vinaeleza kuwa Mungu aliumba jua siku ya nne, ivi waliesabuje siku bila jua?? 🧠🔥

Magical power

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2022
Posts
2,501
Reaction score
6,649
Vitabu vya dini vinaeleza kuwa Mungu aliumba jua siku ya nne, ivi waliesabuje siku bila jua?? 🧠🔥
1755942036210.jpg
 
Umeshawahi kujiuliza yale maeneo baadhi ya siku katika mwaka jua halizami kabisa lipo mwanzo mwisho je, huwa masaa yanasimama pia?
Giza na nuru sio kipimo cha muda mzee
 
Kama Hesabu ulipata sifuri uwezi kufahamu mambo ya universe.Wanasema Hesabu ndio lugha mungu na ulimwengu hapo ulipo.
Bado ujajibu swali langu ila umetoa meelezo tu mkuu,Asante kwa kushiriki
 
Bro unauhakika na unayosema?

Soma Mwanzo 1 : 1-5
"1.Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi.
2 Nayo nchi ilikuwa ukiwa, tena utupu, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji.
3 Mungu akasema, Iwe nuru; ikawa nuru.
4 Mungu akaiona nuru, ya kuwa ni njema; Mungu akatenga nuru na giza.
5 Mungu akaiita nuru Mchana, na giza akaliita Usiku. Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku moja".
 
Naona kama ni mjadala kufungwa kwa nukuu yako hii mjadala umeufunga
 
Bro unauhakika na unayosema?

Soma Mwanzo 1 : 1-5
"1.Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi.
2 Nayo nchi ilikuwa ukiwa, tena utupu, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji.
3 Mungu akasema, Iwe nuru; ikawa nuru.
4 Mungu akaiona nuru, ya kuwa ni njema; Mungu akatenga nuru na giza.
5 Mungu akaiita nuru Mchana, na giza akaliita Usiku. Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku moja".
Point yako
 
Dini ni utapeli,
Zaman waliwanasa wajinga TU,

Binadamu wa Sasa ana akili nyingi mno, anawaza na kuwazua.

Ndio maendeleo haya tunayoyaona yanakua kwa kasi ya ajabu mno.

Zaman walizaliwa bidanamu miili mikubwa, Ila ubongo ni mdg. (Uwezo wa kufikiri ulikua chini sana)

Enzi za kimangungo, yaani kubadilishana kioo na almasi😂

Sahv Wanazaliwa binadamu miili midg, Ila ubongo ni mkubwa. (Uwezo wa kufikiri umekua Sana)

Zinapokuja hoja kuntu Kama hizi,
Ndo tunapata kujua iliwezekanaje wazee wetu wakadanganywa na kutapeliwa kishamba namna Hii.

Na tunakoelekea,
Dini zitabaki kuabudiwa na wapumbavu TU
 
Kuna nchi scandinavia huko kuna kipind hakuna giza n jua mwanzo mwisho ina maana hao hawahesabu siku au siku huwa zinasimama kipindi iko
Hili niliwai kuwahoji mashehe khs MDA sahii wa kufturu,wakasema kua jua linapazama ndo MDA sahii WA kufturu.

Nikauliza vipi, kule Alaska na Scandinavia, Kuna kipindi wanakaa miezi Hadi 6 ni jua linawaka usiku na mchana,

kwahiyo hawaruhusiwi kufturu Hadi miezi 6 iishe?
 
Biblia inaposema Mungu aliumba jua siku ya nne (Mwanzo 1:14–19), haimaanishi kabla ya hapo hakukuwa na “nuru.” Siku ya kwanza Mungu alisema: “Iwe nuru,” ikawa nuru (Mwanzo 1:3). Hiyo nuru ya kwanza haikutegemea jua, bali ilitoka kwa Mungu mwenyewe, kwa sababu “Mungu ni nuru, wala giza halimo ndani yake kamwe” (1 Yohana 1:5). Kwa hiyo mpangilio wa “siku” ulianza kwa nuru ya Mungu, si kwa jua.

Mungu ndiye aliyeweka kanuni za wakati. Kwa hiyo “yuka na asubuhi, siku ya kwanza” haikuhesabiwa kwa jua, bali kwa mpangilio wa Mungu aliyeumba ulimwengu. Baadaye, siku ya nne, Mungu akaumba jua na mwezi ili viwe “alama za majira, na siku, na miaka” yaani vipimo vya muda kwa wanadamu na dunia.

Hoja kwamba “bila jua hakuna siku” ni ya kibinadamu tu. Kwa Mungu, muda na nuru havitegemei jua. Hata Ufunuo 21:23 unasema: “Mji ule hauhitaji jua wala mwezi kuangaza ndani yake, kwa maana utukufu wa Mungu waliangaza, na taa yake ni Mwanakondoo.” Yaani, hata bila jua, nuru ya Mungu peke yake inatosha.

Kuhusu maeneo ya dunia ambayo jua halizami kwa muda mrefu, muda wao haupimwi kwa jua kutua pekee, bali kwa mzunguko wa dunia na mpangilio wa saa. Hii inaonyesha kwamba muda ni kanuni ya uumbaji ambayo Mungu aliweka, na si lazima iambatane na macho ya binadamu kuona jua linapozama.

Kwa hiyo majibu yako yote yapo kwenye Neno la Mungu: Mungu ndiye chanzo cha muda, Mungu ndiye chanzo cha nuru, na Mungu ndiye anayehesabu siku si jua.
 
Hili niliwai kuwahoji mashehe khs MDA sahii wa kufturu,wakasema kua jua linapazama ndo MDA sahii WA kufturu.

Nikauliza vipi, kule Alaska na Scandinavia, Kuna kipindi wanakaa miezi Hadi 6 ni jua linawaka usiku na mchana,

kwahiyo hawaruhusiwi kufturu Hadi miezi 6 iishe?
Kuhusu dini wanaweza kukubishia hakuna nchi za ivo ila kwa sie tulio tembea dunian kdg izo nchi zipo yaan sasa hapo inabid mtu usifuturu 😄😁😀😆
 
Watu WA dini waliamini dunia nzima Kila kitu kiko Kama mashariki ya kati,

Ndo maana pia wakatuletea Ile stori ya paukwa-pakawa ya NUHU na jahazi lake UCHWARA.

Kwamba,
-Penguini akatoka north pole Hadi mashariki ya kati kuliwahi safina.
Kisha baada ya safina akarudi zake mdg mdg kaskazini
-kangaroo na slaught wakaogelea makumira elfu ya kilometa na kuvuka bahari Hadi mashariki ya kati,Kisha wakarudi zao Australia
-kwamba mimea yote ya ardhi ilikaa Chini ya maji Kwa siku 40 bila ya mwanga WA jua na ikasavaivu

Yaan full uongo mtupu
 
Hebu angalia tangu ndugu zetu Wachina walivyoachana na upumbavu WA dini, ona jinsi wanavyosonga mbele Kimaendeleo Kwa Kasi sana.

Tunaambiwa tusile kitimoto, wachina wanaokula kitimoto, sisi tusiokula tumewazidi Nini?

Tunaambiwa tusinywe pombe, zinadumaza uwezo wa kufikiri, Sisi tusiokunywa tumevumbua kipi cha maana?

Je tunaweza jilinganisha na warusi,wajapani, wachina au wascandinavia kwa unywaji WA pombe?
 
Dini ni upumbavu,

Dini zinadumaza uwezo wa kufikiri

Dini zinazalisha jamii ya wavivu WA kufikir na kujishughulisha

Dini zinazalisha washirikina na wategemea miujiza kufanikiwa.

ChunguZa vzur,
Palipo na makanisa mengi, NDIPO walipo wachawi na washirikina wengi

Pia NDIPO palipodumaa kimaendeleo
 
Biblia inaposema Mungu aliumba jua siku ya nne (Mwanzo 1:14–19), haimaanishi kabla ya hapo hakukuwa na “nuru.” Siku ya kwanza Mungu alisema: “Iwe nuru,” ikawa nuru (Mwanzo 1:3). Hiyo nuru ya kwanza haikutegemea jua, bali ilitoka kwa Mungu mwenyewe, kwa sababu “Mungu ni nuru, wala giza halimo ndani yake kamwe” (1 Yohana 1:5). Kwa hiyo mpangilio wa “siku” ulianza kwa nuru ya Mungu, si kwa jua.
Mkuu umejibu kienyeji sana.

Ili kuwe na "jioni" (jua kuzama) na "asubuhi" (jua kuchomoza) ni lazima kuwe na JUA! Huwezi kuzungumzia jioni na asubuhi bila jua.

Otherwise kungekua tu na "mwanga" na "giza". Biblia ingesema kukawa mwanga kukawa giza siku ya kwanza. Meaning kwamba mungu alikua anawasha nuru kwa muda then baadae anazima hiyo nuru then anawasha tena (kwa sababu anazozijua yeye) mpaka pale alipoumba jua.
 
Tukisoma Mwanzo 1 tunaona jambo la kipekee: Mungu aliumba mwanga siku ya kwanza na akautenga na giza, kisha akaita mwanga “mchana” na giza “usiku”. Baada ya hapo maandiko yakaeleza kuwa “ikawa jioni, ikawa asubuhi” siku ya kwanza. Hapa hakuna mahali palipotajwa jua, mwezi, wala nyota hadi siku ya nne.

Hii inaonyesha kwamba mwanga wa kwanza haukutokana na jua tulilolizoea, bali ulikuwa mwanga wa kimsingi uliotoka kwa Mungu mwenyewe. Kwa lugha ya Kiebrania, maneno yaliyotumika kwa “jioni” na “asubuhi” hayamaanishi tu kuchomoza na kutua kwa jua, bali yanaonyesha mabadiliko ya vipindi: kutoka nuru kwenda giza, na giza kwenda nuru. Kwa maneno mengine, siku za kwanza ziliwekwa kwa mpangilio wa Mungu mwenyewe bila kuhitaji jua kama kipimo.

Jua, mwezi na nyota vilipoletwa siku ya nne, vilipangwa kuwa “alama za nyakati, siku na miaka” kwa ajili ya mwanadamu. Hii ni kusema, mwanga na giza vilianza na Mungu, na vyanzo vya angani vilikuja baadaye ili viwe chombo cha kupimia muda na kalenda. Kwa hivyo, maandiko haya yanafunua kwamba nuru ya mwanzo ilitoka kwa Mungu mwenyewe, na jua lilikuja kama kifaa cha kudumu cha mwanadamu kupima majira.
 
Ukiwasha taa, kunakuwa na mwanga.
Ukizima taa kunakuwa na giza.

Jioni inaitwa jioni kwasababu jua linaelekea kuzama, na asubuhi kwasababu jua linaelekea kuchomoza.

Concept ya jioni na asubuhi haiwezi kuwepo bila kuwa na jua linalichomoza na kuzama.

Hii inamaanisha alieandika kitabu cha Mwanzo alikua haelewi anachoandika.
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
Bro unauhakika na unayosema?

Soma Mwanzo 1 : 1-5
"1.Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi.
2 Nayo nchi ilikuwa ukiwa, tena utupu, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji.
3 Mungu akasema, Iwe nuru; ikawa nuru.
4 Mungu akaiona nuru, ya kuwa ni njema; Mungu akatenga nuru na giza.
5 Mungu akaiita nuru Mchana, na giza akaliita Usiku. Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku moja".
Shughuli imeishia hapa 👋👋👋👋.
 
Back
Top Bottom