Kanali_
JF-Expert Member
- Nov 18, 2018
- 7,547
- 11,831
Ukisoma biblia kilakitu kiko wazi, baada ya kuumba Dunia aliweka nuru (usiku na mchana) ila kama ukisoma Quran utajiuliza maswali mengi yasiyo na majibuVitabu vya dini vinaeleza kuwa Mungu aliumba jua siku ya nne, ivi waliesabuje siku bila jua?? [emoji3447][emoji91]View attachment 3450094