Vitabu vyangu bora vya nyakati zote. Vipi vyako?

Kwa wapenzi wa classic novels kama hizi don't mess with this one.kitabu kina mchanganyiko wa psychology loneliness suspense na mambo kibao ..
Inshort kinahusu mwana mama ambaye ameajiriwa kama house keeper kwenye jumba moja la kitajiri pekee yake ..but guess what ..vitu vinaanza ku unfold ..siri nzito zinajulikana ...by the way hiki kitabu nlikwapuaga kwenye stoo ya shule way back huko nikiwa secondary early 2013
 

Attachments

  • IMG_20201231_173739_89.jpg
    51.1 KB · Views: 24
Kinavutia sana. Shukrani kwa kukitaja hapa.
 
Asante kaka. Nitavitafuta pia!
 
[emoji2]Naam. Hii inakuja kwenye mzizi wa 'hofu'. Katika mazingira kama haya, je mwanadamu atakuwa na dhumuni gani tena katika enzi hizo za AI?
 
Aise. Kisa cha Joseph, kinafanana sana na Muktadha wa Adili, kwenye Adili na Nduguze!
 
Umenikumbusha mbali sana, miaka ya 70 huko. Bila ya kusahau kuwa tulianza kufundishwa Fasihi ya Kiswahili . Hapo mwalimu akatueleza kuwa fasihi ni hisi, na kwamba hisi ni mguso. Sisi wajuvi wa Hesabu tukafikia uamuzi kwamba fasihi ni mguso QED.
 
Nakusaidia kumtag Da'Vinci

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…