Vitabu vyangu bora vya nyakati zote. Vipi vyako?

Vitabu vyangu bora vya nyakati zote. Vipi vyako?

Kama jina la kitabu lilivyo. Kinahusu jinsi simba wa miaka ya 80's wakivyosumbua Mikoa ya kusini.
Interesting. Reminding me of this!
Screenshot_20210724-090845.jpg
 
Kwa wapenzi wa classic novels kama hizi don't mess with this one.kitabu kina mchanganyiko wa psychology loneliness suspense na mambo kibao ..
Inshort kinahusu mwana mama ambaye ameajiriwa kama house keeper kwenye jumba moja la kitajiri pekee yake ..but guess what ..vitu vinaanza ku unfold ..siri nzito zinajulikana ...by the way hiki kitabu nlikwapuaga kwenye stoo ya shule way back huko nikiwa secondary early 2013
IMG_20201231_173739_89.jpg
 
Attachments

  • IMG_20201231_173739_89.jpg
    IMG_20201231_173739_89.jpg
    51.1 KB · Views: 24
Kwa wapenzi wa classic novels kama hizi don't mess with this one.kitabu kina mchanganyiko wa psychology loneliness suspense na mambo kibao ..
Inshort kinahusu mwana mama ambaye ameajiriwa kama house keeper kwenye jumba moja la kitajiri pekee yake ..but guess what ..vitu vinaanza ku unfold ..siri nzito zinajulikana ...by the way hiki kitabu nlikwapuaga kwenye stoo ya shule way back huko nikiwa secondary early 2013View attachment 1865872
Kinavutia sana. Shukrani kwa kukitaja hapa.
Screenshot_20210724-114747.jpg
 
Mkuu hongera sana kwa kusoma Guns Germs and Steel. Binafsi nimekisoma pia. Ukitaka kusoma kazi nyingine za aina hiyo tafuta.

1. The Seven Daughters of Eve cha Bryan Sykes
2. The Journey of Man cha Spencer Wells

Hivi nimevisoma vyote vitatu. Cha Wells hapa sina kwa sasaView attachment 1865114
Asante kaka. Nitavitafuta pia!
 
Artificial Inteligence!!?,hii imenikumbusha biashara ambayo juzi nimeiona ya midoli ya kike ambayo inauzwa laki 7 na kitu kwa ajili ya wanauwe kupunguza mawazo kwa kusex nayo...Ina sifa ya kutomasika au kubonyea pale unapoigusa iwe kifuani au titi,kifupi unafeel kama uko na mtu na sio mdoli tena.
[emoji2]Naam. Hii inakuja kwenye mzizi wa 'hofu'. Katika mazingira kama haya, je mwanadamu atakuwa na dhumuni gani tena katika enzi hizo za AI?
DSC_6796.jpg
 
Ni kwamba jamaa alitambua purpose ya yeye kuwa duniani.
Alipata maono (vision) au ndoto ya wapi apitie kufikia hayo makusudi (purpose).

Wanasema hivi ukitaka kujua maono yako yametoka kwa Mungu juu ya ndoto yako ya kimaisha basi kila mtu atakuona mwehu au mjinga au kichaaa.
Hata Nduguzo na wazazi wako wote watakupinga au kukudharau juu ya hiyo ndoto yako.

Unakumbuka jinsi Yusuf (Joseph) alivyoota ndoto atailisha famila yake yote?
Yaani baba , mama na kaka zake. Nao wote watakuwa chini yake?
Kaka zake walimchukia na kumuuliza unadhani wewe ni bora kuliko sisi? Wakamuita the dreamer. Mwishowe kwa chuki wakamtumbukiza kwenye kisima afe, baadaye wakamtoa na kumuuza utumwani Misri. Kule akapitia jela na mwisho akaishia kuishi nyumba ya mfalme Farao akiwa na mamlaka makubwa.
Baadaye akawasaidia nduguze na kuwalisha na kuwaleta Misri....

Ushauri:
1.Tafuta makusudi(purpose) ya maisha yako hapa duniani kisha utapata maono(vision)/ndoto za nini ufanye kutimiza ndoto zako.
2. Siyo kila mipango yako au ndoto zako zote za kimaisha uwashirikishe watu au nduguzo. Unaweza kujenga chuki kati yenu wakawa kikwazo cha kutimiza ndoto zako.

Soma Biblia Mwanzo 37:1-36..(Bible read Genesis 37:1-36..)
CC: Saint Anne Mshana Jr Carleen Paula Paul nisaidieni kumtag Davinci
Aise. Kisa cha Joseph, kinafanana sana na Muktadha wa Adili, kwenye Adili na Nduguze!
 
Things fall apart
The river between
Mine boy
No longer at ease
Song of Lawino and Song of Ocol
Is it possible
The African child
Passed Like a shadow
Mabala The farmer
Hawa the bus driver

Nakumbuka nilikuwa napenda sana Literature. Siku moja nikamfuata mwalimu kumuuliza 'What career should I pursue?' akanijibu nakuona kuwa mkalimani au mkutubi. Dah!
Umenikumbusha mbali sana, miaka ya 70 huko. Bila ya kusahau kuwa tulianza kufundishwa Fasihi ya Kiswahili . Hapo mwalimu akatueleza kuwa fasihi ni hisi, na kwamba hisi ni mguso. Sisi wajuvi wa Hesabu tukafikia uamuzi kwamba fasihi ni mguso QED.
 
Ni kwamba jamaa alitambua purpose ya yeye kuwa duniani.
Alipata maono (vision) au ndoto ya wapi apitie kufikia hayo makusudi (purpose).

Wanasema hivi ukitaka kujua maono yako yametoka kwa Mungu juu ya ndoto yako ya kimaisha basi kila mtu atakuona mwehu au mjinga au kichaaa.
Hata Nduguzo na wazazi wako wote watakupinga au kukudharau juu ya hiyo ndoto yako.

Unakumbuka jinsi Yusuf (Joseph) alivyoota ndoto atailisha famila yake yote?
Yaani baba , mama na kaka zake. Nao wote watakuwa chini yake?
Kaka zake walimchukia na kumuuliza unadhani wewe ni bora kuliko sisi? Wakamuita the dreamer. Mwishowe kwa chuki wakamtumbukiza kwenye kisima afe, baadaye wakamtoa na kumuuza utumwani Misri. Kule akapitia jela na mwisho akaishia kuishi nyumba ya mfalme Farao akiwa na mamlaka makubwa.
Baadaye akawasaidia nduguze na kuwalisha na kuwaleta Misri....

Ushauri:
1.Tafuta makusudi(purpose) ya maisha yako hapa duniani kisha utapata maono(vision)/ndoto za nini ufanye kutimiza ndoto zako.
2. Siyo kila mipango yako au ndoto zako zote za kimaisha uwashirikishe watu au nduguzo. Unaweza kujenga chuki kati yenu wakawa kikwazo cha kutimiza ndoto zako.

Soma Biblia Mwanzo 37:1-36..(Bible read Genesis 37:1-36..)
CC: Saint Anne Mshana Jr Carleen Paula Paul nisaidieni kumtag Davinci
Nakusaidia kumtag Da'Vinci

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom