Vitendo hivi vya Viongozi wetu wakuu vinaibua harakati za kikabila Tanzania

Ata chato ni sehemu ya Tanzania, pigeni kazi msitegemee huruma ya serikali, ata Dodoma inajengwa kuliko sehemu yoyote ya Tanzania mbona hamsemi.
Watu Wana haki yakusema kuwe na uwiano sawa wa kimaendeleo Nchi nzima na sio upuuzi wakupeleka maendeleo sehemu Moja, unawezaje kufananisha makao makuu ya Nchi na Kijiji kama chato??.

Chato hata uchangiaji wa Pato la Taifa ni 0.01% sasa kuweka mabilion ya pesa nikuzitupa.
 
Kipindi mlichokuwa mkipewa maendeleo kila uchwao, na sehemu nyingine zikibaki nyuma mlikuwa mnafurahi na kugongeana glass sasa kila sehemu inapelekewa mendeleo ili wananchi wapate mahitaji yao wakiwa karibu kuliko kwenda Dar na sehemu nyingine sasa imekuwa nongwa.
Ccm hii imepeleka maendeleo wapi?
 
Watu Wana haki yakusema kuwe na uwiano sawa wa kimaendeleo Nchi nzima na sio upuuzi wakupeleka maendeleo sehemu Moja, unawezaje kufananisha makao makuu ya Nchi na Kijiji kama chato??.

Chato hata uchangiaji wa Pato la Taifa ni 0.01% sasa kuweka mabilion ya pesa nikuzitupa.
Nitajie sehemu ya Tanzania ambayo haikuguswa na mkono wa jemedari JPM.
 
Kama kuna barabara, daraja, kiwanja cha mpira, benki, uwanja wa ndege, kiwanda, shule, chuo, umeme, maji, au kikosi cha jeshi havikujengwa kwenye kijiji, kata, wilaya, mkoa au kanda kabla ya mtu wa kutoka kabila lao, kijiji chao, kata yao, wilaya yao, mkoa wao au kanda yao hajakuwa kiongozi mkubwa kwenye nchi na vikajengwa vyote baada ya mtu wao huyo kushika nafasi kubwa ya uongozi wa kitaifa hii inachochea na kuamsha hisia za ukabila na ukanda kwenye nchi hasa wakati wa kuwatafuta viongozi wakubwa wa kitaifa.

Mwl Nyerere, Mzee Mwinyi na Mzee Mkapa walikiepuka kikombe hicho lakini wengine waliyanywa maji ya kikombe cha ukabila, ukijiji, uwilaya, umkoa na ukanda kwa lugha ya walituonea sana na sasa ni zamu yetu. Watanzania sio wapumbavu, wanaona na taratiiibu wataelekeza vichwa vyao kwenye kampeni za kikabila, kimkoa na kikanda nyakati za chaguzi.

Tuache kufukua mizizi ya mti wa umoja wa nchi iwe hata kwamakusudi au bahati mbaya, kwa kujua au kwa kutokujua. Haiwekani upande mmoja kuna barabara ya vumbi inayounganisha wilaya na wilaya lakini kiongozi anatumia madaraka yake kujenga barabara kwao inayounganisha kijiji na kijiji kwa lami, watu hawana maji ya kunywa wewe kiongozi unajenga airport kijijini kwako, upande ule wa nchi hakuna umeme kabisa wewe unajenga uwanja wa kisasa wa mpira kwako, mkoa ule hakuna shule kabisa lakini wewe unajenga Ikulu kijijini kwako, watu wa kanda ile hawana hospitali kubwa lakini wewe unajenga barabara ya lami ya mkato kwenda kijijini kwenu.

Vitendo hivi kidogokidogo vinarejesha fikra za ukabila kwenye nchi. Mfano, kiongozi mmoja ameitambua Israel ambayo ilikuwa hatuitambui kwasababu za kuikalia Palestina, kwanini kiongozi mwingine nae asiitambue OIC? mwingine kamwaga ugali makusudi, mwingine ataogopa nini kumwaga mboga makusudi?

Halahala kidole na jicho
ni mtu mjinga tu anaweza kuichukia Israel au kutoitambua, nchi ambayo inatambuliwa na Umoja wa Mataifa.

Wakristo wote Tanzania wanaitambua Israel.

sasa wewe mwarabu mweusi kwa chuki zako dhidi ya Israel unataka kutulazimisha tuichukie?

akili gani hizo? kati ya vitu vya ajabu nyerere alivifanya ni kujifanya anaichukia israel na kufukuza ubalozi wao, na ninajua alifanya tu hivyo ili kuwaridhisha watu fulani.

hilo jambo Nyerere alikufa nalo na litaendelea kumtafuta kwenye historia yake.
 
Suluhisho ni serikali za majimbo tu.
 
Inawezekana una tatizo la kuelewa haraka, maendeleo lazima yawe balanced Nchi mzima. Ndani ya miaka 5 chato imepata miradi ambayo hakuna wilaya yeyote imepata. Hii sio sawa ...
Hahahaha jinyonge mzee ishatoka hiyo! Mama kaahidi kumalizia miradi!
 
Kipindi mlichokuwa mkipewa maendeleo kila uchwao, na sehemu nyingine zikibaki nyuma mlikuwa mnafurahi na kugongeana glass sasa kila sehemu inapelekewa mendeleo ili wananchi wapate mahitaji yao wakiwa karibu kuliko kwenda Dar na sehemu nyingine sasa imekuwa nongwa.
Haya mafuasi ya Magufuli ni mazezeta... mtoa mada kaeleza vizuri ila yalivyo na IQ ndogo yanaanza kumshambulia eti mbona kwao walikuwa wakipendelea...unamjua mtoa mada ni wa wapi?

Ndio maana lile zee lenu sijui huko CCM wenyewe waliliondoa uhai, lilizalisha mazezeta mengi sana
 
Tuambie wewe pimbi hao watu wa Magufuli unawazidi nini?
 
Haya mafuasi ya Magufuli ni mazezeta... mtoa mada kaeleza vizuri ila yalivyo na IQ ndogo yanaanza kumshambulia eti mbona kwao walikuwa wakipendelea...unamjua mtoa mada ni wa wapi?
Ndio maana lile zee lenu sijui huko CCM wenyewe waliliondoa uhai, lilizalisha mazezeta mengi sana
Sibishani na punguwani, nenda kabishane na vichaa wenzio.
 
Kama kuna barabara, daraja, kiwanja cha mpira, benki, uwanja wa ndege, kiwanda, shule, chuo, umeme, maji, au kikosi cha jeshi havikujengwa kwenye kijiji, kata, wilaya, mkoa au kanda kabla ya mtu wa kutoka kabila lao, kijiji chao, kata yao, wilaya yao, mkoa wao au kanda yao hajakuwa kiongozi mkubwa kwenye nchi na vikajengwa vyote baada ya mtu wao huyo kushika nafasi kubwa ya uongozi wa kitaifa hii inachochea na kuamsha hisia za ukabila na ukanda kwenye nchi hasa wakati wa kuwatafuta viongozi wakubwa wa kitaifa.

Mwl Nyerere, Mzee Mwinyi na Mzee Mkapa walikiepuka kikombe hicho lakini wengine waliyanywa maji ya kikombe cha ukabila, ukijiji, uwilaya, umkoa na ukanda kwa lugha ya walituonea sana na sasa ni zamu yetu. Watanzania sio wapumbavu, wanaona na taratiiibu wataelekeza vichwa vyao kwenye kampeni za kikabila, kimkoa na kikanda nyakati za chaguzi.

Tuache kufukua mizizi ya mti wa umoja wa nchi iwe hata kwamakusudi au bahati mbaya, kwa kujua au kwa kutokujua. Haiwekani upande mmoja kuna barabara ya vumbi inayounganisha wilaya na wilaya lakini kiongozi anatumia madaraka yake kujenga barabara kwao inayounganisha kijiji na kijiji kwa lami, watu hawana maji ya kunywa wewe kiongozi unajenga airport kijijini kwako, upande ule wa nchi hakuna umeme kabisa wewe unajenga uwanja wa kisasa wa mpira kwako, mkoa ule hakuna shule kabisa lakini wewe unajenga Ikulu kijijini kwako, watu wa kanda ile hawana hospitali kubwa lakini wewe unajenga barabara ya lami ya mkato kwenda kijijini kwenu.

Vitendo hivi kidogokidogo vinarejesha fikra za ukabila kwenye nchi. Mfano, kiongozi mmoja ameitambua Israel ambayo ilikuwa hatuitambui kwasababu za kuikalia Palestina, kwanini kiongozi mwingine nae asiitambue OIC? mwingine kamwaga ugali makusudi, mwingine ataogopa nini kumwaga mboga makusudi?

Halahala kidole na jicho
Anayepanga mipango ya maendeleo ni nani na anatumia vigezo vipi?

Wanaopanga ni binadamu na wana makabila yao kwahiyo upendeleo wa kijiji na kikanda hauepukiki

Zama hizi ni za uwazi na ukweli. Huko nyuma ilikuwa ngumu sana kujua kiongozi mkuu anafanya nini- siku hizi huwezi kuficha habari au maendeleo yanayoendelea sehemu ambazo wakuu wanatoka.

Huko nyuma tulikuwa tunadanganywa tu- kuna viongozi walikuwa hawaendelezi walikotoka lakini wanaendeleza sehemu ambazo wake zao wametoka.

Njia ya kuondoa ukabila na udini ni watanzania tuendeleze utamaduni wa kuoawana bila kujali dini au kabila.

Mawazo kwamba kiongozi akiendeleza sehemu anayotoka ni ukabila si sahihi kwasababu mtanzania yeyote hakatazwi kwenda sehemu hiyo ya maendeleo na kufanya shughuli zake.

Maendeleo yanaongeza mzunguko wa pesa mifukoni mwa watu wanaokaa maeneo hayo.

Tuwasihi viongozi waendelee kuleta maendeleo vijijini hasa walikotoka kuliko kupeleka na kuficha pesa zao kwenye mabenki ya Uswisi.

Tushangilie maendeleo na si kuyapiga vita- nchi inaendelea kwa hatua ndogo ndogo.
 
Anayepanga mipango ya maendeleo ni nani na anatumia vigezo vipi? Wanaopanga ni binadamu na wana makabila yao kwahiyo upendeleo wa kijiji na kikanda hauepukiki. Zama hizi ni za uwazi na ukweli. Huko nyuma ilikuwa ngumu sana kujua kiongozi mkuu anafanya nini- siku hizi huwezi kuficha habari au maendeleo yanayoendelea sehemu ambazo wakuu wanatoka. Huko nyuma tulikuwa tunadanganywa tu- kuna viongozi walikuwa hawaendelezi walikotoka lakini wanaendeleza sehemu ambazo wake zao wametoka. Njia ya kuondoa ukabila na udini ni watanzania tuendeleze utamaduni wa kuoawana bila kujali dini au kabila. Mawazo kwamba kiongozi akiendeleza sehemu anayotoka ni ukabila si sahihi kwasababu mtanzania yeyote hakatazwi kwenda sehemu hiyo ya maendeleo na kufanya shughuli zake. Maendeleo yanaongeza mzunguko wa pesa mifukoni mwa watu wanaokaa maeneo hayo. Tuwasihi viongozi waendelee kuleta maendeleo vijijini hasa walikotoka kuliko kupeleka na kuficha pesa zao kwenye mabenki ya Uswisi. Tushangilie maendeleo na si kuyapiga vita- nchi inaendelea kwa hatua ndogo ndogo.
Suluhisho la kudumu na lilo pana ni serikali za majimbo.
 
akili yake yote aliielekeza chato, huku kwingine kote alikuwa anazunga tu kuepuka lawama. Mzee wa msoga ndiye aliyeasisi balaa hili.
Maza kutwa yupo Zanzibar, Mwingine toka amekuwa makamo ziara zake zote Kigoma, mwingine naye kila wiki Lindi
 
Ata chato ni sehemu ya Tanzania, pigeni kazi msitegemee huruma ya serikali, ata Dodoma inajengwa kuliko sehemu yoyote ya Tanzania mbona hamsemi.
Haina tija kuhamia dodoma katika zama hizi za tehama, lakini sio mbaya sana kujenga dodoma sana kwakuwa tulikubaliana makao makuu ya tanzania yawe dodoma tangu zamani.
 
Kama kuna barabara, daraja, kiwanja cha mpira, benki, uwanja wa ndege, kiwanda, shule, chuo, umeme, maji, au kikosi cha jeshi havikujengwa kwenye kijiji, kata, wilaya, mkoa au kanda kabla ya mtu wa kutoka kabila lao, kijiji chao, kata yao, wilaya yao, mkoa wao au kanda yao hajakuwa kiongozi mkubwa kwenye nchi na vikajengwa vyote baada ya mtu wao huyo kushika nafasi kubwa ya uongozi wa kitaifa hii inachochea na kuamsha hisia za ukabila na ukanda kwenye nchi hasa wakati wa kuwatafuta viongozi wakubwa wa kitaifa.

Mwl Nyerere, Mzee Mwinyi na Mzee Mkapa walikiepuka kikombe hicho lakini wengine waliyanywa maji ya kikombe cha ukabila, ukijiji, uwilaya, umkoa na ukanda kwa lugha ya walituonea sana na sasa ni zamu yetu. Watanzania sio wapumbavu, wanaona na taratiiibu wataelekeza vichwa vyao kwenye kampeni za kikabila, kimkoa na kikanda nyakati za chaguzi.

Tuache kufukua mizizi ya mti wa umoja wa nchi iwe hata kwamakusudi au bahati mbaya, kwa kujua au kwa kutokujua. Haiwekani upande mmoja kuna barabara ya vumbi inayounganisha wilaya na wilaya lakini kiongozi anatumia madaraka yake kujenga barabara kwao inayounganisha kijiji na kijiji kwa lami, watu hawana maji ya kunywa wewe kiongozi unajenga airport kijijini kwako, upande ule wa nchi hakuna umeme kabisa wewe unajenga uwanja wa kisasa wa mpira kwako, mkoa ule hakuna shule kabisa lakini wewe unajenga Ikulu kijijini kwako, watu wa kanda ile hawana hospitali kubwa lakini wewe unajenga barabara ya lami ya mkato kwenda kijijini kwenu.

Vitendo hivi kidogokidogo vinarejesha fikra za ukabila kwenye nchi. Mfano, kiongozi mmoja ameitambua Israel ambayo ilikuwa hatuitambui kwasababu za kuikalia Palestina, kwanini kiongozi mwingine nae asiitambue OIC? mwingine kamwaga ugali makusudi, mwingine ataogopa nini kumwaga mboga makusudi?

Halahala kidole na jicho
Elimu inayotafutwa kwa ugumu wa kukesha usiku kucha mtu akisoma, ndio mkombozi wa makabila yanayoonekana ni madogo.

Pia umoja huanzia katika maisha ya kawaida kabisa ya kila siku ya makabila mbalimbali, kama kabila lako halina moyo wa umoja basi imekula kwenu.

Wachagga wanayo maendeleo kwa sababu hawatupani, katika shida za Covid 19 katika raha na starehe za mwisho wa mwaka wapo pamoja siku zote.
 
Anayepanga mipango ya maendeleo ni nani na anatumia vigezo vipi? Wanaopanga ni binadamu na wana makabila yao kwahiyo upendeleo wa kijiji na kikanda hauepukiki. Zama hizi ni za uwazi na ukweli. Huko nyuma ilikuwa ngumu sana kujua kiongozi mkuu anafanya nini- siku hizi huwezi kuficha habari au maendeleo yanayoendelea sehemu ambazo wakuu wanatoka. Huko nyuma tulikuwa tunadanganywa tu- kuna viongozi walikuwa hawaendelezi walikotoka lakini wanaendeleza sehemu ambazo wake zao wametoka. Njia ya kuondoa ukabila na udini ni watanzania tuendeleze utamaduni wa kuoawana bila kujali dini au kabila. Mawazo kwamba kiongozi akiendeleza sehemu anayotoka ni ukabila si sahihi kwasababu mtanzania yeyote hakatazwi kwenda sehemu hiyo ya maendeleo na kufanya shughuli zake. Maendeleo yanaongeza mzunguko wa pesa mifukoni mwa watu wanaokaa maeneo hayo. Tuwasihi viongozi waendelee kuleta maendeleo vijijini hasa walikotoka kuliko kupeleka na kuficha pesa zao kwenye mabenki ya Uswisi. Tushangilie maendeleo na si kuyapiga vita- nchi inaendelea kwa hatua ndogo ndogo.
Onyesha upendeleo aliofanya Mwl Nyerere, Mzee Mwinyi ma Mzee Mkapa kwao.
 
Elimu inayotafutwa kwa ugumu wa kukesha usiku kucha mtu akisoma, ndio mkombozi wa makabila yanayoonekana ni madogo.

Pia umoja huanzia katika maisha ya kawaida kabisa ya kila siku ya makabila mbalimbali, kama kabila lako halina moyo wa umoja basi imekula kwenu.

Wachagga wanayo maendeleo kwa sababu hawatupani, katika shida za Covid 19 katika raha na starehe za mwisho wa mwaka wapo pamoja siku zote.
Iko siku wagombea watazunguuka kwa kanda.

Awamu hii kiongozi atatoka kanda ile na dini ile, akimaliza huyu ajae atakuwa wa kanda ile na dini ile.

Tukifika hapo tumekwisha, lakini haiwezekani hadi leo kuja vijiji na kata havina umeme wala maji wala zahanati wakti vijiji vingine wanajenga uwanja wa ndege.
 
Back
Top Bottom