Ahsante bi mkubwa1 WaKorintho 6:9-11
1 Kor 6:9-11 SUV
Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti, wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang’anyi.
Kwa nini asisamehewe? Kwani mzinzi akitubu anarudi kuwa bikra?Acha mambo yako?kuna dhambi utatubu,ila shoga hata akitubu na akasamehewa?radius ya kunduz inabaki vilevile!marinda hayarudi hata kwa dawa.
Unajua kwenye dini hatusemi uasherati tunapiga vita uzinzi, kwa sababu uasherati umbo ndani yake.1 WaKorintho 6:9-11
1 Kor 6:9-11 SUV
Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti, wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang’anyi.
Mmh kaka uko motooo...hebu angalia aliyejibiwa kwa hilo andiko alisema nini basi..kheeUnajua kwenye dini hatusemi uasherati tunapiga vita uzinzi, kwa sababu uasherati umbo ndani yake.
Uasherati ni kitendo cha kuto tulia na mpenzi mmoja, na utaona serikali inapigana na tabia ya uasherati siyo uzinzi, ndiyo wanasema acha uasherati baki na mmoja, ila kwenye dini hata mmoja kama hakuna ndoa hafai.
Nilianza kuandika 'nimekumiss pia mdogo wangu kipenzi' nikaona hebu nisiwe muongo na vile mdau mwenye huu uzi kasema dhambi zote ni sawa ikabidi nifute kwanza niulize maana hii Id naona ngeni[emoji16][emoji16]
Swali ni jepesi ww unaufanya huo uzinzi wa ushoga?.Dunian dhambi ni Moja tu hayo mengine yoote ni matokeo ya dhambi Hiyo ambayo ni kuishi kinyume na maagizo yale.
Msikomae tu ushoga mkapotezea uzinzi kana kwamba hauna madhara na unapoandika punguza mihemko babu.
Sasa kama hufanyi ushoga unawezaje kuusapoti?.Mm sifanyi ushoga lakini pia sifanyi uzinzi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndio hapo sasa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Karma
Ukawaza ya nini kujitafutia kwenda motoni kwa dhambi za bei rahisi ukakutane na wenye dhambi zao za gharama huko
Swali ni jepesi ww unaufanya huo uzinzi wa ushoga?.
Kwahiyo na ww umekuja kusapot ushoga?We tumia akili kichwa kisiitwe jiwe poti
Ebu nitolee upumbavu hapa kuna sehemu nimeunga mkono ushoga?Sasa kama hufanyi ushoga unawezaje kuusapoti?.
Dahh,,Salaam,
Niende Moja Kwa Moja kwenye hoja yangu, Kwa Imani Mimi ni mkristo napenda kuchimba sana kwenye Biblia maana naamini kabisa ni neno la MUNGU -Zaburi 119:105
Sasa Kuna watu naona wapo mstari wa mbele kupinga ushoga na hata kutaka mashoga wauawe kana kwamba uasherati na uzinzi wao sio tatizo. Watu wanajisifu kulana kimasihara, kula wake za watu kushindana ni nani kalala na idadi kubwa ya wanawake na anaona ni ufahari kabisa ila anapinga ushoga kana kwamba dhambi zake yeye ni halali
Sitetei tabia ya ushoga ila ninachotaka kusema ni kwamba dhambi ni dhambi na usifikiri dhambi yako wewe ni nzuri ila ya mwenzio ndio mbaya.
Kwa wale wenzangu ambao ni wasomaji wa Biblia turejee 1Korintho 6:9,10 dhambi zote hizo ni chukizo Kwa Muumba wetu na kila anayezifanya hataingia kwenye ufalme wa MUNGU
Rejea pia Galatia 5:19-21 kuhusu matendo ya mwili ambayo ni chukizo mbele za MUNGU
Hivyo basi ikiwa tunataka kuwa watu safi mbele za Muumba wetu mtakatifu tuache na pia tukemee dhambi zote hizo bila kubagua vinginevyo ni kwamba anayesema wema ni uovu na anayesema uovu ni wema wote hao ni chukizo mbele za MUNGU.
Amani iwe nanyi, muwe na jioni njema
Unapofanya tendo hilo na mtu ambaye sio mwenza wa ndoa ni chukizo Kwa MUNGU na hukumu yako haitakua ya tofauti na hukumu atakayopata huyo shoga yaani wote wawili ni chukizo mbele za MUNGU Kwa mujibu wa maandiko matakatifuYaan mkuu umefeli yaan anayechakata mbususu unamfananisha na anayechakatwa 0715
Hujanielewa, ipo hivi: mwasherati, mzinzi, mwizi, shoga, mlevi, muongo n.k wote ni chukizo mbele za MUNGU hakuna mwenye haki kuliko mwenzake hapoImagine shoga nae anaitafuta haki sawa[emoji1787]
Ongezaaa sautiiiii bablaiiiiiii, huna bayaaaa.Kazi kwao wanaojidanganya kuwa wataiona pepo wakati nafsi zao zinawasuta.
Mie nafsi yangu inaniambia kabisa mzabzab wee ni motoni moja kwa moja maana jtendayo ni kinyume na maagizo ya muumba wako.
Ongezaaa sautiiiiiiiiiiii wakusikie vizuriiiiiWazinzi, waasherati, malaya, hawana ruhusa kuwahukumu mashoga.
Mimi nazungumzia kimaandiko sio Kwa mtazamo wetu wa kibinadamu, mbele za MUNGU yote hayo ni machukizo Kwa mujibu wa maandiko matakatifu ninayoyaaminikuna vitu ni dhambi alafu kuna vingine ni kinyaa ,ushetani, hadi shetani mwenyewe anakaa pembeni yaani mwanume unafi..wa mata...ko..n afu unasema ni dhambi kama dhambi nyingine unaweza kuwa sawa ila hiyo sio dhambi tu ndio maana hata kipindi cha Nuhu yalipozidi Mungu aliamua kuangamiza kizazi chote
Shangaaa nawee hapo sasa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tanzania mngekuwa mnapigia kelele rushwa kama mlivyoshupalia ushoga tungekuwa mbali sana