Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

1 WaKorintho 6:9-11​

1 Kor 6:9-11 SUV​

Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti, wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang’anyi.
Ahsante bi mkubwa
 

1 WaKorintho 6:9-11​

1 Kor 6:9-11 SUV​

Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti, wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang’anyi.
Unajua kwenye dini hatusemi uasherati tunapiga vita uzinzi, kwa sababu uasherati umbo ndani yake.

Uasherati ni kitendo cha kuto tulia na mpenzi mmoja, na utaona serikali inapigana na tabia ya uasherati siyo uzinzi, ndiyo wanasema acha uasherati baki na mmoja, ila kwenye dini hata mmoja kama hakuna ndoa hafai.
 
Unajua kwenye dini hatusemi uasherati tunapiga vita uzinzi, kwa sababu uasherati umbo ndani yake.

Uasherati ni kitendo cha kuto tulia na mpenzi mmoja, na utaona serikali inapigana na tabia ya uasherati siyo uzinzi, ndiyo wanasema acha uasherati baki na mmoja, ila kwenye dini hata mmoja kama hakuna ndoa hafai.
Mmh kaka uko motooo...hebu angalia aliyejibiwa kwa hilo andiko alisema nini basi..khee
 
Dunian dhambi ni Moja tu hayo mengine yoote ni matokeo ya dhambi Hiyo ambayo ni kuishi kinyume na maagizo yale.
Msikomae tu ushoga mkapotezea uzinzi kana kwamba hauna madhara na unapoandika punguza mihemko babu.
Swali ni jepesi ww unaufanya huo uzinzi wa ushoga?.
 
Miafrika imepewa ishu ya ushoga ipambane nayo huku mambo ya msingi yakiwapita kama hawaoni.

labrador-chewing-on-a-massive-bone-1024x683.png
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Karma
Ukawaza ya nini kujitafutia kwenda motoni kwa dhambi za bei rahisi ukakutane na wenye dhambi zao za gharama huko
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndio hapo sasa.
Nimekumiss pia jamani, ulipotea au kwa sababu id hii sikuizingatia
 
Sasa kama hufanyi ushoga unawezaje kuusapoti?.
Ebu nitolee upumbavu hapa kuna sehemu nimeunga mkono ushoga?

Tunawakumbusha kuwa uzinzi umekatanzwa kama ulivyo katazwa ushoga hivyo kama ww ni mzinzi huna haki ya kumcheka shoga maana siku ya hukumu mtakuwa sehemu moja.

Shoga motoni na mzinzi motoni vilevile.
 
Salaam,

Niende Moja Kwa Moja kwenye hoja yangu, Kwa Imani Mimi ni mkristo napenda kuchimba sana kwenye Biblia maana naamini kabisa ni neno la MUNGU -Zaburi 119:105

Sasa Kuna watu naona wapo mstari wa mbele kupinga ushoga na hata kutaka mashoga wauawe kana kwamba uasherati na uzinzi wao sio tatizo. Watu wanajisifu kulana kimasihara, kula wake za watu kushindana ni nani kalala na idadi kubwa ya wanawake na anaona ni ufahari kabisa ila anapinga ushoga kana kwamba dhambi zake yeye ni halali

Sitetei tabia ya ushoga ila ninachotaka kusema ni kwamba dhambi ni dhambi na usifikiri dhambi yako wewe ni nzuri ila ya mwenzio ndio mbaya.

Kwa wale wenzangu ambao ni wasomaji wa Biblia turejee 1Korintho 6:9,10 dhambi zote hizo ni chukizo Kwa Muumba wetu na kila anayezifanya hataingia kwenye ufalme wa MUNGU

Rejea pia Galatia 5:19-21 kuhusu matendo ya mwili ambayo ni chukizo mbele za MUNGU

Hivyo basi ikiwa tunataka kuwa watu safi mbele za Muumba wetu mtakatifu tuache na pia tukemee dhambi zote hizo bila kubagua vinginevyo ni kwamba anayesema wema ni uovu na anayesema uovu ni wema wote hao ni chukizo mbele za MUNGU.

Amani iwe nanyi, muwe na jioni njema
Dahh,,

Yaani Kuna ambao wamekupa LIKE kabisa,,

Hapa ndy mashoga tutawajuwa straight..

Mlaaniwe KAUMU LUTI.

Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
 
Yaan mkuu umefeli yaan anayechakata mbususu unamfananisha na anayechakatwa 0715
Unapofanya tendo hilo na mtu ambaye sio mwenza wa ndoa ni chukizo Kwa MUNGU na hukumu yako haitakua ya tofauti na hukumu atakayopata huyo shoga yaani wote wawili ni chukizo mbele za MUNGU Kwa mujibu wa maandiko matakatifu
 
Kazi kwao wanaojidanganya kuwa wataiona pepo wakati nafsi zao zinawasuta.
Mie nafsi yangu inaniambia kabisa mzabzab wee ni motoni moja kwa moja maana jtendayo ni kinyume na maagizo ya muumba wako.
Ongezaaa sautiiiii bablaiiiiiii, huna bayaaaa.
 
kuna vitu ni dhambi alafu kuna vingine ni kinyaa ,ushetani, hadi shetani mwenyewe anakaa pembeni yaani mwanume unafi..wa mata...ko..n afu unasema ni dhambi kama dhambi nyingine unaweza kuwa sawa ila hiyo sio dhambi tu ndio maana hata kipindi cha Nuhu yalipozidi Mungu aliamua kuangamiza kizazi chote
Mimi nazungumzia kimaandiko sio Kwa mtazamo wetu wa kibinadamu, mbele za MUNGU yote hayo ni machukizo Kwa mujibu wa maandiko matakatifu ninayoyaamini
 
Back
Top Bottom