Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Kuna mtu haamini katika dini, ila ushoga anaupinga, anakwambia amemzaa mwanawe wa kiume, akitemea kuwa mwanamme.

Alafu mzazi huyo huyo asiemini katika dini, anafurahi sana anaposhuhudia binti yake, akipata mwenza.
Kiasili binadamu kaumbwa na utashi wa kutofautisha jema na baya sema ni ule ukaidi tu wa nafsi
 
Jitambulishe kwanza kama wewe ni shoga. Wewe utakuwa Mnyiramba wa kwanza kutetea ushoga
Hakuna sehemu kwenye andiko langu nimetetea ushoga kama kama hujanisoma vizuri labda nikwambie tu kwamba tunahubiria watu waachwe uovu na wapatanishe maisha yao na maamrisho ya MUNGU sasa kama wewe ni mzinifu huna tofauti na huyo shoga nyie wote ni chukizo mbele za MUNGU, tubuni muache njia zenu mbaya la sivyo mtakutana na hukumu Kali mbele za MUNGU

Usifikiri utahurumiwa kisa wewe ni mzinzi na sio shoga, samahani kama nimekukwaza ila huo ndio ukweli, Asante, karibu sana
 
Duuh Dunia Inaenda Kasi Sana Hii...ANYWAY, MI TOKA NILIPOKUWA MTU MZIMA UZURI NISHA ONA KABISA WAPI PATANIHUSU......ILA KM NIKIJIKUTA NAENDA KULA UPEPO MBINGUNI SIO MBAYA..Uzuri hakuna Nyani Atachagua Maembe Mbele ya NDIZI😎
 
Mtoa mada ni Shoga na anatetea mashoga wenzake
Ok it's fine ni mtazamo wako ila mm nazungumzia maandiko na nimeweka ushahidi 1korintho 6:9-10 labda ninukuu kama ilivyoandikwa WAASHERATI, WAZINZI, WAABUDU SANAMU, WAFIRAJI, WEZI, WAUAJI N.K hawataingia katika ufalme wa MUNGU.

Tatizo hukusoma hoja yangu vizuri ndio maana umepaniki, acha makasiriko kma unazini huna tofauti na huyo shoga huo ndio ukweli. Usiku mwema kwako
 
Mimi ni mkristo sifanyi ushoga Wala uzinifu maana yote hayo ni uchafu mbele za MUNGU wangu
Msijifiche kwenye kichaka cha uzinifu,,

Ushoga ni Zaidi ya UZINIFU.
Ushoga nii LAANA..

Kuzini ni jinsia tofauti ambao hawana ndoa kufanya sex.

Lakini jinsia moja kufanya sex ni SODOMA NA GOMOLA TYPE..

Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
 
Mimi ni mkristo sifanyi ushoga Wala uzinifu maana yote hayo ni uchafu mbele za MUNGU wangu, nimeoa Nina ndoa na familia. Kwa mujibu wa Imani yangu napaswa kuhubiri na kufundisha yalivyo matakwa ya MUNGU ambayo ni watu wa namna zote (wakiwemo wazinifu na hata hao mashoga) waachwe njia zao mbaya na waishi kulingana na mapenzi ya MUNGU
 
Bora uzinzi ni dhambi tu kuliko ushoga ni dhambi lakini unalaaaniwa kabisa.
Tuungane kupiga vita ushoga ktk taifa letu hata kama ni wazinzi.
 
Tatizo mnataka tusipige vita, ushoga, eti kwa sababu tu kunachangamoto zingine.

Baadhi ya Nchi za afrika, zina adhabu ya kunyongwa hadi kufa, ukipatikana na kosa la kuua kwa kukusudia, nitajie makosa mengine mtu akipatikana na kosa hunyongwa.
Huzuiwi kupiga vita ushoga, njia nzuri ni kuwahubiria na kuwasaidia waachwe njia zao mbaya na wapatanishe maisha yao na maamrisho ya MUNGU, na hii sio Kwa hao tu Bali hata Kwa watenda dhambi wengine. tujifunze neno la MUNGU jamani
 
Mnapoteza muda tuu, mkifa mmekufa tuu hakuna cha moto wala pepo. mashoga, wezi , mnaojiona hamna makosa na perfect, wazinzi etc wote sawa tuu, kama mnawaona mashoga wana dhambi kuna society nyingine ni wa kawaida sana, China ukila rushwa au madawa unapigwa kitanzi lakini bongo ndio unaonekana mjanja, judgement mnazowapa hawa mashoga ni za kwenu na zinaishia hapo hapo, pepo au moto ni imagination zenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…