Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Acha mambo yako?kuna dhambi utatubu,ila shoga hata akitubu na akasamehewa?radius ya kunduz inabaki vilevile!marinda hayarudi hata kwa dawa.
Hakuna dhambi isiyosameheka mawazo ya MUNGU sio ya mwanadamu kikubwa ni kutubu na kubadilika
 
Sisi tunafuata maamrisho ya MUNGU sio maoni au mitazamo ya watu
 
Nilianza kuandika 'nimekumiss pia mdogo wangu kipenzi' nikaona hebu nisiwe muongo na vile mdau mwenye huu uzi kasema dhambi zote ni sawa ikabidi nifute kwanza niulize maana hii Id naona ngeni[emoji16][emoji16]
Ni kweli mm mgeni hapa ila Toka 2010 hua napita kuwasoma wadau hapa ila Kwa sasa nimeamua kujumuika nanyi hapa, asante
 
Nyani haoni nonihino lake. Una pwenti ingawa kutetea mashoga kwa Afrika ni kupoteza muda. Wazinzi waliamriwa wapigwe mawe hadi kufa. Ushoga ulipofanyika Sodoma na Gomora, wote waliangamizwa. Hivyo, unaweza kuona mantiki ya watu kutaka mashoga wauawe. Mie naona heri hata wasagaji. Kwani, wakipata wa kuwabaka wanaachana na wehu wao
 
Dahh,,

Yaani Kuna ambao wamekupa LIKE kabisa,,

Hapa ndy mashoga tutawajuwa straight..

Mlaaniwe KAUMU LUTI.

Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
Wapi nimeunga mkono ushoga kwenye bandiko langu hili? Mbona unanilisha maneno kiongozi? Nimesema wakati mnapinga ushoga msisahau kukemea na dhambi nyingine na nikaweka maandiko matakatifu ambayo bila shaka hamkusoma, 1korintho 6:9-11, "JE HAMJUI KWAMBA WADHALIMU HAWATAURITHI UFALME WA MUNGU? MSIJIDANGANYE, WAASHERATI WALA WAZINZI, WALA WALEVI,, WALA WAFIRAJI, WALA WALAWITI, WALA WAGOMVI WALA WAONGO HAWATAURITHI UFALME WA MUNGU". Mimi nazungumzia maandiko ndugu sio mitazamo yenu kukemea ushoga huku unazini ni kukosa uelewa wa neno la MUNGU
 
Ukishazima sasa? Si watakufukua tu? Acha ulevi tunza jamii yako shoga atubu atasamehewa ikiwa atabadilika na kuacha dhambi hiyo tatizo mnafikiri dhambi zenu ni halali ila za wenzenu ndio mbaya
 
Acha uzembe mzinzi mwenzangu. Labda ufe kwa ajali... Ila hivi vifo vingine wajuda tunatumia dakika za mwisho kuomba msamaha kwa Maulana.

Hivi sasa tuzichakate papuchi huku tukiomba tusife mavifo ya ghafla ya ajali.

AMINA, HALELUYA
Hakuna kitu kibaya kama kutenda dhambi huku unakua ni dhambi halafu mbaya zaidi unahamasisha na wengine kiongozi [emoji24][emoji24][emoji24]
 
Duuh Dunia Inaenda Kasi Sana Hii...ANYWAY, MI TOKA NILIPOKUWA MTU MZIMA UZURI NISHA ONA KABISA WAPI PATANIHUSU......ILA KM NIKIJIKUTA NAENDA KULA UPEPO MBINGUNI SIO MBAYA..Uzuri hakuna Nyani Atachagua Maembe Mbele ya NDIZI[emoji41]
Una maana Gani mkuu?
 
Nazungumzia kimaandiko wewe unazungumza kimtazamo wako, ipo hivi: Mwizi motoni, muuaji motoni, mfiraji motoni mzinifu motoni usijidanganye kusema dhambi unayoifanya wewe ina unafuu soma 1Wakorintho 6:9-10
 
Kuna mtu haamini katika dini, ila ushoga anaupinga, anakwambia amemzaa mwanawe wa kiume, akitemea kuwa mwanamme.

Alafu mzazi huyo huyo asiemini katika dini, anafurahi sana anaposhuhudia binti yake, akipata mwenza.
Kupata mwenza ni dhambi 🤣🤣
 
Ok ni mtazamo wako Asante
 
Mhhhh wewe unaona hivyo ila Kwa MUNGU ni tofauti huruhusiwi kubaka Wala kuua kinachotakiwa ni kuwahubiria waovu wa namna zote waache uovu wao watubu na Kwa njia hiyo wapate wokovu
 
Hata maandiko yangeruhusu ushoga ungeupingwa tu. Kabla dini hazijaja mababu zako walikuwa mashoga? Waliuruhusu?
Una imani ndogo ya dini, ushoga mbaya kwasababu dini hairuhusu dini hata ikiruhusu Leo ushoga unakuwa sikitu kibaya tena,...namaanisha kufanya mapenzi ya dadayako wa tumbo moja vibaya kwasababu ya dini imekataza ila endapo ikoruhusu Leo hii hakuna ubaya tena.

Dini yangu ikiruhusu from today kula mbwa sio dhambi nakula vizuri. So uhalali na uhalamu ni kutokana na mafundisho ya dini FULL STOP

NB: am stand to be correct
 
Madhara ya ushoga kwenye Jamii ni makubwa kuliko dhambi zote uzijuazo duniani.
Ushoga sio asili,bali ni tabia ya kupandikizwa, thus mtu akipata elimu ya kiroho na kimwili anaweza Acha ushoga akiamua.
 
Kuwaua sio haki, kuwatenga ni sahihi hadi watakapoacha tabia zao mbaya wasiharibu wengine. Nguruwe na binadamu hawawezi ishi nyumba moja.
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Mkuu ushoga uko kwenye kundi la uzinifu yaani shoga na mzinzi mbele ya mwenyezi mungu wana daraja moja.
Huwezi weka ushoga na uzinifu kundi moja.
Wote ni wanyama lakini ng'ombe sio SAwa na mbuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…