Sio kweli, ushoga ni uchafu zaidi ya uzinzi.Jamaa yuko sawa kabisa ushoga iko kwenye kundi la wazinifu na ndio maana kwenye amri kumi za mungu hakuna sehemu inayo sema usimfanye ushoga, bali inasema usizini ina maana mashoga wamewekwa kundi moja na wazinzi.
Hapa duniani ushoga anaweza onekana ni mtu muovu ukilinganisha na mzinifu lakini mbele ya mungu madaraja yao yako sawa nikiwa na maana kuwa adhabu atayo pata shoga ndo hiyo hiyo atayo pata mzinzi.
Kuzini ni kitendo cha watu wasio mke na mume kihalali kufanya ngono,thus mashoga walipigwa kiberiti sodoma na gomora yaani ni chukizo la maadili,ni kiwango cha juu cha mwisho cha kuutendea ukatili mwili wako.