Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Jamaa yuko sawa kabisa ushoga iko kwenye kundi la wazinifu na ndio maana kwenye amri kumi za mungu hakuna sehemu inayo sema usimfanye ushoga, bali inasema usizini ina maana mashoga wamewekwa kundi moja na wazinzi.

Hapa duniani ushoga anaweza onekana ni mtu muovu ukilinganisha na mzinifu lakini mbele ya mungu madaraja yao yako sawa nikiwa na maana kuwa adhabu atayo pata shoga ndo hiyo hiyo atayo pata mzinzi.
Sio kweli, ushoga ni uchafu zaidi ya uzinzi.
Kuzini ni kitendo cha watu wasio mke na mume kihalali kufanya ngono,thus mashoga walipigwa kiberiti sodoma na gomora yaani ni chukizo la maadili,ni kiwango cha juu cha mwisho cha kuutendea ukatili mwili wako.
 
Hawa wote wamepigwa marufuku kuingia mbinguni utasemaje mmoja ana nafuu kuliko mwenzake.
Zote hizi ni dhambi, dhambi ni ugonjwa au maradhi ya kiroho.
 
Ushoga haukubaliki sababu sio jambo la kawaida na halina matokeo yeyote ya maana kwa wanaofanya, yaani nia ya kufanya ushoga huwa ni nini. Kila kitu unachofanya ni kama unapanda mbegu baadae uvune.

Hao wazinzi na waasherati wanaweza pata watoto baadae ya matendo yao, yaani uzinzi wao unaweza kutuletea watoto ambao watukuwa ni binadamu halisi waliotokana na uzinzi na uasherati na wala wao hawana kosa lolote tena watashukuru wazazi wao kwa juhudi walizofanya mpaka wao wakapatikana. Sasa hao mashogavwao watatuletea nini?
 
Umecomment Kwa uchungu sana kiongozi[emoji24][emoji24][emoji24]
Bro dunia hii wengi tunaishi maisha yasiyo yetu. Kikawaida na kiumbaji ni ngumu mwanaume kumtamani mwanaume mwenzie na kumuingilia au kuingiliwa. Ni lazima kuwe na external force itakayo mdrive kufanya hivyo. Sijawahi ona wanyama wa asili wakifanya hivyo ila sisi wanadamu. Hiyo ni roho kamili inayooperate na kusababisha wanadamu kufanya hivyo. Mungu atusaidie kwa kweli.
 
kuna vitu ni dhambi alafu kuna vingine ni kinyaa ,ushetani, hadi shetani mwenyewe anakaa pembeni yaani mwanume unafi..wa mata...ko..n afu unasema ni dhambi kama dhambi nyingine unaweza kuwa sawa ila hiyo sio dhambi tu ndio maana hata kipindi cha Nuhu yalipozidi Mungu aliamua kuangamiza kizazi chote
Kwahiyo aliangamiza mashoga akawaacha wazinzi!?
 
Ushoga haukubaliki sababu sio jambo la kawaida na halina matokeo yeyote ya maana kwa wanaofanya, yaani nia ya kufanya ushoga huwa ni nini. Kila kitu unachofanya ni kama unapanda mbegu baadae uvune.

Hao wazinzi na waasherati wanaweza pata watoto baadae ya matendo yao, yaani uzinzi wao unaweza kutuletea watoto ambao watukuwa ni binadamu halisi waliotokana na uzinzi na uasherati na wala wao hawana kosa lolote tena watashukuru wazazi wao kwa juhudi walizofanya mpaka wao wakapatikana. Sasa hao mashogavwao watatuletea nini?
Ni mstari gani kwenye Biblia Takatifu na Quran Tukufu ninapoweza pata mistari au aya zakusapoti hii hoja Yako!?
 
Madhara ya ushoga kwenye Jamii ni makubwa kuliko dhambi zote uzijuazo duniani.
Ushoga sio asili,bali ni tabia ya kupandikizwa, thus mtu akipata elimu ya kiroho na kimwili anaweza Acha ushoga akiamua.
Kwahiyo ukimwi uliletwa na ushoga!?
 
Kuwaua sio haki, kuwatenga ni sahihi hadi watakapoacha tabia zao mbaya wasiharibu wengine. Nguruwe na binadamu hawawezi ishi nyumba moja.
Aahaaaaa
Hao wanawake Wana haki Zaid kufanya hivyo,Wana khofu ya kunyanganywa soko
Ila hao wanaume Nina wasiwasi nao,hao ukute baadae wanaenda kuomba mzigo Kwa hao hao mashoga
 
Sio kweli, ushoga ni uchafu zaidi ya uzinzi.
Kuzini ni kitendo cha watu wasio mke na mume kihalali kufanya ngono,thus mashoga walipigwa kiberiti sodoma na gomora yaani ni chukizo la maadili,ni kiwango cha juu cha mwisho cha kuutendea ukatili mwili wako.
Mungu alichomwa wote mashoga na wazinzi

Ule moto haukubagua
 
Wapi nimeunga mkono ushoga kwenye bandiko langu hili? Mbona unanilisha maneno kiongozi? Nimesema wakati mnapinga ushoga msisahau kukemea na dhambi nyingine na nikaweka maandiko matakatifu ambayo bila shaka hamkusoma, 1korintho 6:9-11, "JE HAMJUI KWAMBA WADHALIMU HAWATAURITHI UFALME WA MUNGU? MSIJIDANGANYE, WAASHERATI WALA WAZINZI, WALA WALEVI,, WALA WAFIRAJI, WALA WALAWITI, WALA WAGOMVI WALA WAONGO HAWATAURITHI UFALME WA MUNGU". Mimi nazungumzia maandiko ndugu sio mitazamo yenu kukemea ushoga huku unazini ni kukosa uelewa wa neno la MUNGU
Aahahahah
Hawataki kuyasoma hayo maandiko wanapita mbali
 
Back
Top Bottom