Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Hata mimi nina wasiwasi naww ndg[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Tatizo ni kwamba hawajui wanacho report na pia audience hawajui kwamba wanadanganywa kwa kiasi gani, too sad.
Huyu mchunguzi apimwe mkojo, halafu atueleze amepata wapi VIPODOZI VYENYE SUMU vya kubadilisha rangi ya JUSO LAKE.

TFDA ilishapiga marufuku vipodozi hatarishi lakini yeye kaviiingiza nchini kwa magendo ili ajikoboe awe kama TUZI.

Amulikwe huyu mchunguzi feki mwenye mkorogo.
 
Sorry wew ni mwanaume au mwanamke?..
 
Ulazima wa kutengeneza Mashoga unatoka wapi ??
Hakuna mzungu anayetengeneza mashoga nchini. Hizi ni porojo za kitoto.

Mashoga wanatengenezwa huko majumbani kwenuu, na hapa tu juzi tumepata habari kwamba nyie wajomba ndio vinara wa kuwalawiti watoto wa mashemeji.

Na pia huko kwenye hayo mageto yenu ndio chimbo la kuzalisha ufirauni katika nchi.

Msisingizie wazungu, nyie wenyewe mnapenda vifiro.
 
Duuh,Yan hii vita ni Kubwa
Hakuna cha vita kubwa hapo, ujinga mtupu. Vita kubwa ya vinyesi uliona wapi bwana, porojo za kitoto hizi.

Vita kubwa ni kuhakikisha hakuna sisimizi anakwapua maliasili za nchi na sio kukimbizana na vinyesi barabarani.

Ati vita kubwa!!! Vinyesi??
 
We must protect her at all cost
Yeye mwenyewe ameshindwa kuji protect amejikoboa JUSO LAKE KAWA KAMA TUZI YA PANYA.

Mtu kama huyo kashachanganyikiwa ni maiti inayotembea anasubiri israel amshughulikie tu.

Huwezi ukawa timamu ukajikoboa JUSO KAMA NDULELE.
 
 
Tumewachoka na stori zenu za ushoga.

Kama mtu anafirwa muacheni afirwe, fanyeni kaziiiiiii
Wewe bila shaka utakua shoga nahisi, huwezi kuelewa haya maana hauna uchungu wa kuwa baba au kuwa na mke ungekua hata na mtoto ndo usingeandika ujinga ujinga hapa bahati mbaya huna kizazi na marinda itakua huna ungekua na uwezo wa kuwa na watoto halafu uambiwe mwanao ni shoga ndo ungeelewa lakini uwezo wa kuwa na watoto huna na hautokua nao utaishia kufa mwenyewe tu ukiwa shoga tena mgumba
 
Tumepiga kelel sana humu JF ,Sanaa tuuu.


Lkn mnaona Sasa tulipofikia??tukicheka na Hawa watu, Taifa Zima litalaaniwa kisa wao.
Ni wakati wa kuchukua hatua sio muda wa kuchekacheka leo nilikua naongea na mke wangu ni marufuku kwa watoto wakitoka shule kuangalia katuni au maudhui ya kijingajinga kwenye tv lazima hili jambo tuanzie majumbani
 
Sasa wewe mchele bwabwa, utanishauri nini nisichokijua kuhusu ushoga?

Na nilishakuambia, pale UBUNGO KIBANGU unapokaa tunapajua, na ukileta mbambamba utashughulikiwa mysteriously.

1. Kosa la kwanza ni kumkejeli na kumtusi Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia WhatsApp na Jamiiforums.

2. Kosa la pili ni Kutumia Laini iliyosajiliwa kwa jina la mtu mwingine.

3. Kosa la tatu ni kufanya mapenzi kinyume na maumbile kwa nyakati tofauti tofauti na watu tofauti tofauti maeneo ya Ubungo Riverside Kibangu.

4. Kosa la nne ni kusambaza maudhui ya kingono kwenye mtandao wa WhatsApp kwa nyakati tofauti tofauti.

Nakupa ONYO na INDHARI. Ukiendelea, mimi mwenyewe nitazi-forward hizi taarifa mahali husika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…