Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Ila pale Morogoro shirika la HACOCA linatengeneza mashoga wengi sana kwa mwaka.
 
Unayakuza yasiyokuwepo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee povu lako hili lote thamani gani unayoooo?? Km hapa JF huna na hutakuwa nayoo,

Mwenzio nshachukua tuzo na zawadi za JF kwa kuwa mshindiiii, wee jee??

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie hata nikiwa naingia mbinguni malaika watasimama na kunishangiliaa, nna nyotaa ya kupendwaaa.
 
Huyu atakuwa miongoni mwao
 
Apology taken and accepted.
 
Leo nilipitia group moja la wasap kuna bwana mmoja alipost kitabu kilichoandikwa miaka karibia mia na zaidi iliyopita kuhusiana na namna ya kuikontrol hii dunia.

Kinaitwa new world order. Kwa kifupi tumekwisha.
 
Leo nilipitia group moja la wasap kuna bwana mmoja alipost kitabu kilichoandikwa miaka karibia mia na zaidi iliyopita kuhusiana na namna ya kuikontrol hii dunia.

Kinaitwa new world order. Kwa kifupi tumekwisha.
Weka hapa hicho kitabu
 
Kwanini? Mnakataa kujadili USHOGA kwanini?

inawezekana kitu kutokusambaa bila kujadiliwa lazima tulijadili then lisikike ngazi ya taifa then lipangiwe sheria kali kwa atakalojihusisha nalo then tulipunguze kusambaa katika taifa kisha liishe

Sasa kwa population hii ya mashoga mitaani itakuaje? Sasa kama hilo swala halijakemewa- tunalijadili ilimradi taifa lilione kero ili viongozi wakubwa walikemee lisitishwe ikiwezekana liekewe mkazo na lipotee taratibu taratibu kisha liishe- kama nchi za pembeni yetu viongozi wao wanavyolikemea

Mna maanisha nini? Mnaposema lisidiscusiwe- ni lazima wananchi ionekane tumechoshwa nalo ndio ngazi za juu waliwekee mkazo na wao

Baada ya miaka 15 TANZANIA- nyumbii hii shogii hii- kama hatujakemea vitendo vya kishoga

Kipindi cha PANYA ROAD-kila raia alikuwa akianzisha uzi hapa kuhusu panya road kwann? Kwa sababu watu walikuwa hawapendi vitendo hivyo na kweli serikali imeweka mkazo mambo yamepungua ya panya road Kwa nn? Hamtaki ushoga uongelewe ili serikali ije! Juu ushoga uekewe sheria kali au mnaupenda ushoga!
 
Mkionaga shoga yuko buzzy na mambo yakee, eti hafurahii maishaaa, ila wakianza kuwachangamkia bado hamtakiiii, sijui hata mnatakajeeee.

Haya straight wenyewe mbna wengi hoe hae tyuuh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ushoga Una ufananisha na panya road?? Hauko serious wee
 
Mnayakuza mambo ambayo hayana ukubwa huo na mengine hata hayapo
Hayapo au ww ndie huyajui?

Mtu umezungukwa na waswahil wenzako kutwa nzima na stori zenu za uswahili, media unazozitegemea nazo zinakupa habari zilizochujwa, sasa mambo magumu utayajulia wapi wew mswahili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…