Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Kuna washenzi wanahusisha wenzao wasiokuwa na msimamo wowote juu ya ushoga wakidai wanawatetea mashoga, hii inakera sana na tutanyukana sana kihoja. Ni unafiki kujifanya kutokuona vyanzo vya ushoga na kudhani hili suala limeibuka hivi punde. Mara oh! tubaki na mila zetu tusiige mila za nje, mila zipi hizo za nje ambazo zina ushoga? Hao wanaoeneza ajenda za ushoga duniani mbona walishafanikiwa kitambo tu? Hawakuanza leo, tunashituka wakati tayari moto mkali umepamba, msitu unaungua, pa kuanzia kuuzima hatujui, ni patashika nguo kuchanika. Wahuni wa ushoga wameiteka dunia kila nyanja wanatawala. Pa kuwakwepa ni wapi ikiwa kote wametamalaki? Walitengeneza bomu ambalo lingekuja kulipuka tukiwa hatuna namna ya kujisadia zaidi ya kukubali tu yaishe. Wamekamata mifumo yote ya kimaisha kama elimu, afya, uchumi., teknolojia na sayansi, utamaduni na siasa kote huko wamepenyeza ajenda yao. Tungewakataa tangu zama za kupigania uhuru tukatae vitu vyao vyote ikiwemo elimu yao. Turudi maisha ya ujima ili tuepuke ushoga
 
Unakuta jitu ni lisomi au li staa fulani hivi lakini linalea mtoto wake kindezi, linaiga tamaduni za nje, lenyewe tu linaishi kihuni, sasa huyo mtoto wake atakopi wapi maadili mazuri? Mila nyingi nzuri zimeachwa, tena zingine zikaundiwa kampeni zifutiliwe mbali na kutungiwa sheria kali za kipumbavu zisifuatwe, wakati hizo mila ziliwekwa kuzuia ushenzi huu, mijitu ikajiona imeelimika ikaanza kuunda vi NGOs kujipatia fedha toka ughaibuni kupinga mila zetu nzuri zilizokuwa zinazuia upuuzi huu. Leo mambo yameharika vilio vinatawala tufuate mila zetu ambazo hazipo, zilifutiliwa mbali na wasomi wetu waliopigwa upofu wasijue wanamtumikia shetani ambaye sasa anawatafuna kisawasawa mpaka washike adabu kuacha mila zao asilia zizowahifadhia utu wao. Ni ujuha kulia unanyeshewa mvua huku maji unayanywa
 
Miafrika kwa ngono!
Wenzenu wanawaza kuvumbua vitu ili kuendana na zama tunazoishi sasa wenyewe wanawaza kungonoka eti asili,
Ukishakua na wake 10 na watoto 100 utawapa nini?
Unaweza kuwapa huduma zote stahiki kama Chakula bora, Malazi bora, Afya bora, Elimu bora, n.k au tena mtaenda kutembeza bakuli kwa wenzenu huko Duniani wawawezeshe,

Hebu mjaribu kuwaza vitu vyenye tija kwa taifa na bara lenu acheni mawazo ya ngono ngono mnatia kinyaaa.
 
Hahaha unataka wote wawaze kama wewe ?Dunia yote iwe ya wasagaji
 
Wewe hizo mila zako zimekusaidia nini?
Mbona huendi kusali kwenye miti na mapango?
Mbona huvai kaniki na magome ya miti?
Mbona unaabudu kwa kutumia Dini zao?
Mbona unatumia kalenda zao?
Mbona unatumia teknolojia yao?

Ukiulizwa maadili yako ni yapi hujui.
 
Mnasikitisha mnapowaza ngono tu, yaan mmekua kama mitahira ya ngono
Matusi ni ya nn sasa? Kama una support ushoga na usagaji tafuta njia ambayo utaona ni sahihi kufanya hyo kazi.
Usije apa JF kwenye thread za watu ukitaka kila mtu awaze kufanya ushetani wako.
 
Hadi Sasa sijajua hasa msingi wa Haki wanazopigania Hawa LGBTQ, yaani wanaofanya mapenzi wa jinsia Moja, ni upi?

Ninapoona Wazungu wakitoa misuli ya shingo wakiongea kutetea Hawa watu ndipo linaponijia swali msingi wa Haki wanaotumia Hawa watu kutafuta kutambuliwa ni upi? Na Ili iweje?

Naomba waliowaelewa Hawa LGBTQ's watuelimshe.
 
Matusi ni ya nn sasa? Kama una support ushoga na usagaji tafuta njia ambayo utaona ni sahihi kufanya hyo kazi.
Usije apa JF kwenye thread za watu ukitaka kila mtu awaze kufanya ushetani wako.
Wewe mwenyewe unasapoti ushoga ndio maana hupo kwenye huu uzi kila siku unaranda randa,
Unanipangia cha kucomment jf bando na simu ni vyako? Mtu akileta mada maana yake ni nini si ijadiliwe?

Wewe kama papai wafate watu kimya kimya huko pm usinitolee macho mimi
 
kaniki mbona bado navaa? Tena najipaka na mafuta ya ng'ombe, nakula chakula cha asili kama huo ugali unaouona kwenye avator yangu, nakunywa maji ya mitungini, vibuyu na vipeyu, nakula matunda pori na mizizi, ndoa za kimila kama zamani. Jasiri haachi asili yake
 

Na hiyo simu itupe mbali

Maadili yako hujayajibu
 
Wewe sindo ulikua unatafuta bwana akutie ? ila ukaja na gia ya kutaka mimba? Nakushangaa unaandika upuuzi tu
 
Nadhani hawana hoja ya msingi zaidi ya kupigiana kelele na kutafuta wafuasi tu. Kikubwa ni kutafuta wafuasi
 
Unaambiwa juzi kati kuna mabasha wawili walizinguana,hadi kutoleana
Moto,wakimgombea shoga

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…