Mbina yaza
Member
- Apr 8, 2023
- 65
- 172
Kwamba ulifukua mitaro ya jamaa?? Au sijaelewa vizuri maana kidhungu nacho kwa sisi tuliosoma mkanyageni shule ya msingi ni shida kidogoKwa sababu anapenda wanaume wenzie and you can't change that. I'm telling you this because I am a man who have dated two married men na wote walioa kwa presha za umri na familia, not out of love. So Pray harder yasikukute dear
Sawa dearKweli kabisa. Ila likikupata usinunue kesi kwa kumdhuru. Achana nae na utapata asie na mambo hayo. Bado wapo wengi tu. Majority hawana mambo hayo.
Amandla...
Duh kumbe!!!!!!!!!
Lakini why mwanaume mwezie mimi mwanaume akichepuka siwazi na mimi nachepuka na mwanaume ambaye kamzidi kila kitu ila hapo kwa magay hapana
Wanaume wapo wengi Ila sali sana usipotee njia dearJamani wanaume wenyewe mpo wachache tunakimbizana na ninyi
Wewe nae unaonekana unapenda uho mchezoWahuni w
Wahuni wanasema kule kuna joto kali sana
wala sio kisasi ila ujue na mimi naweza kufanya kama ufanyavyoTuachane na habari za ushoga ambazo sitaki hata kuzijadili.
Hivi kuchepuka na mwanaume mwingine baada ya waume zenu kuwacheat huwa mdhani ni kisasi kinacho athiri wanaume? Nani aliwadanyanga?
Sitaki stress bhna mie ndio maana ata sifwatilih mwanaumeWanaume wapo wengi Ila sali sana usipotee njia dear
Curiosity killed the cat dearKwamba ulifukua mitaro ya jamaa?? Au sijaelewa vizuri maana kidhungu nacho kwa sisi tuliosoma mkanyageni shule ya msingi ni shida kidogo
wala sio kisasi ila ujue na mimi naweza kufanya kama ufanyavyo
Ukisali Mungu atakuongoza and I'm serious on this dearSitaki stress bhna mie ndio maana ata sifwatilih mwanaume
Ninyi mkipigiwa wake zenu mnaumia kumbeIn the long run, wewe ndiye utakuwa muathirika zaidi ya huyo mwanaume wako aliyetangulia kukucheat.
Tulieni, anapocheat kubali kusamehe au kama hauwezi achana nae.
mama mkulu anatamka hilo jambo kijanja asije akanukuliwa kama ndiyo msimamo wa serikali. Wale mabalozi watamjia juu, bora awaachie wanadini wajitamkie watakavyoHii issue iko tricked na ina macho makali ya mbali,watu wakae kwa tahadhari pana. Sijui sn lkn nionavyo itakuja ing'oke na watawala na vyama vya siasa vimetawala miaka mingi (hasa wataojifanya rigid). Nijuavyo wale jamaa hajawah ku fail wanapolitaka jambo lao.
Kwa mbalii nayaona yakirejelea ya kina Saddam,Gadaf. Ndiy maana Mama Mkulu wetu hapa anaiongelea kijanja sana
Ninyi mkipigiwa wake zenu mnaumia kumbe
KivipiNikijua anapigwa na mwanaume mwingine, atakayeumia ni yeye sio mimi.
Kwaiyo wewe unaliwa mkuuKwa sababu anapenda wanaume wenzie and you can't change that. I'm telling you this because I am a man who have dated two married men na wote walioa kwa presha za umri na familia, not out of love. So Pray harder yasikukute dear
Aliyepigwa Ni yeye afu mimi niumie ili iwejeKivipi
Ujaelewa nini? Yeye ndio alikuwa anafukuliwa na hao majamaa wawiliKwamba ulifukua mitaro ya jamaa?? Au sijaelewa vizuri maana kidhungu nacho kwa sisi tuliosoma mkanyageni shule ya msingi ni shida kidogo
Oh wewe basi mzuriAliyepigwa Ni yeye afu mimi niumie ili iweje