Ushoga ni tatizo la Dhambi. Na dhambi maana yake
1. Kushindwa kufika viwango vya uadilifu.
2. Ni kupinda kiasilia
3. Kupungukiwa na utukufu wa Mungu
Na kila mwanadamu ni mdhambi kiasilia, amepinda,hana uwezo kifikia malengo ,wala kuwa mcha Mungu, hii iko tangia unazaliwa, na kila mtu yuko na weakness yake, huyu shoga, huyu jambazi, mzinzi, kibaka, muongo n.k orodha ni ndefu.
Sambamba na HIYO HATUWEZI kuweka sheria ya KUKUBALIANA na Dhambi ikiwemo USHOGA bali kutafuta suluhu yake.
DAWA ya Dhambi(USHOGA) ni YESU, Maana imeandikwa
"Kwa sababu kama kwa kuasi kwake mtu mmoja watu wengi waliingizwa katika hali ya wenye dhambi, kadhalika kwa kutii kwake mmoja watu wengi wameingizwa katika hali ya wenye haki. "
Warumi 5:19
Dawa ya ushoga ni watu kumuamini YESU kuwa aweza kuwaokoa toka ktk shimo hilo.
Ushoga ni roho za kishetani zitawalazo ndani ya mioyo ya watu na kizazi hiki cha New age, kiko na muelekeo wa kishetani, dawa ya shetani ni Kristo.
Jamii inayokubaliana na Ushoga ni jamii inayoharalisha Uasi kwa Mungu ulio wa wazi.
Lakini kukosa huruma kwa wadhambi *(mashoga) ni kutoamini juu ya huruma za Mungu aliye Rahim kwa wote.
#USHOGA# HAUKUBALIKI NI LAANA