Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Publicity za ushoga zimekuwa nyingi sana nw days
Ki watu wanavyozidi kuzungumzia ndivyo wavyozidi kuutangaza ingekuwa vema mikakati thabiti iwekwe kuliko kila mtu kulalamika. Wazazi na walezi wana jukumu maalumu kwa kuanzia kisha viongozi wa dini na sheria thabiti na utekrlrzaji
 
"Jeshi la polisi mkoa wa Njombe limebaini uwepo wa wanafunzi wenye umri wa chini ya miaka 17 wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja katika shule ya sekondari Yakobi iliyopo mkoani humo.
Jeshi la polisi limeweka kambi katika shule hiyo na linaendelea na uchunguzi zaidi"
 
πŸ—ΏπŸ—ΏπŸ—ΏπŸ—ΏπŸ—ΏπŸ˜₯πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”
 
Inawezekana kabisa hili ni mwendelezo wa ule uchunguzi wa Mwakyembe maana asasi mojawapo ilitajwa kutokea huku
 
Hee Yakobi tena! mana nikajua mjini kumbe bush huko, Njombe vijijini, Je! shule za mjini pamoja na baridi lile itakuwaje?
 
Daah, hapa tunafanya promosheni tu, the more we talk about it, the more we promote it hata kwa watoto wasiojua, nyuzi za hii ishu tuziache
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…