Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 3,264
- 10,535
Wow! Thank you Jadda kwa elimu nzuri,Halafu mjue mnachanganya kati ya tomboy na lesbian, si kila tomboy ni msagaji, na si kila msagaji ni tomboy
Kuna matomboy wanaliwa, na kuna wanawake wana haiba za kike kabisa ila wanasagana, hivyo tomboy anaweza kuliwa ila lesbian haliwi yeye anasagana tu
Kama mwanamke anafanya vyote yani anasagana na analiwa huyo specifically wanamuita bisexual, anaingia kwenye kundi la B kwenye ile LGBT, maana yake anavutiwa na watu wa jinsia zote mbili siyo moja tu
Mashine za kusaga na kukoboa hizoHawa wabunge wetu wana ubavu wa kukemea usagaji!! Wenyewe wanaelekea kuwa watuhumiwa!!
Ni Ester Bulaya na Halima Mdee!! Nisamehewe kama nimewaelewa vibaya, lakini wanaashiria kupigana busu!
cocastic neno moja hapa tafadhaliTusikwepeshe mawe!! tuache unafiki wa kukemea hadharani ushoga huku tukiwa hatuna uthubutu wa kuwataja mashoga na wasagaji viongozi tunaowajua!! Kama hujui kusoma hata picha huwezi kutazama!
matendo kama haya yakifanywa na watu kama hawa walio maarufu kwenye jamii husababisha kuigwa na watoto hatimaye Taifa kuharibika!
Hautaki jina lako liwe brand kubwa nchini, tulia usaidiwe na kupewa trips za Dubai.Wafadhili wa vitendo viovu vya mapenzi ya jinsia moja usagaji na ushoga wamepamba moto ni wa wazi kila taasisi Shoga yupo huu ni utafiti wa kada za serikali na sekta binafsi hapa nchini.
Mashoga wameaza kuwa na sauti maeneo ya nyumba za ibada kadhalika kwenye semina mbalimbali zinazoendeshwa na mashirika mbalimbali hapo kabla mashoga walikuwa wanatumia siri kubwa wasijulikane ingali sasa wanatetea kwa sauti kubwa kwa kile kinachoitwa "haki za binadamu"
Kuna baadhi ya wabunge nao wako humo. katika mazingira kama haya 2025 si ajabu baraza la mawaziri akawepo shoga au mashoga kuwakilisha serikali katika mambo mbalimbali au huenda hata sasa wapo kwenye nafasi za juu za kisiasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanafki tu haoNimesikitika kuona Wabunge wanalilia kupimwa Marinda, wake kwa waume kabla ya kuingia bungeni, nikawaza hawa ndio walichaguliwa na Wananchi wao na wanawategemea wawakilishe shida zao lakini nikapata uchungu zaidi nilipokumbuka kodi zetu ndio zinawapa huo utaahira wa kuongelea ujinga na kuacha mambo ya maana,
Eti Abas Tarimba na yeye anajitia uchungu kuhusu ushoga wakati ametandaza mashine za bettings kila pembe ya Kinondoni, hivi kuna kitu kinaua nguvu kazi kama hizo bettings kweli?
Msukuma anasema wauliwe kimya kimya kama Panya Road au wale majambazi ya Kibiti ukishamuua Shoga huyo Basha wake atauliwa na nani?
Sasa kama Wawakilishi na Watunga Sheria wanafumbia macho wizi wa trilions za Pesa na kujitia kuumizwa na faragha za watu wengine hii Nchi itaendelea kweli au ndio tutakua wasindikiza Maisha ya wenzetu tu.
Wanapinga ushoga kumbe jioni wanakuwa wote kwenye vlinge vyao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona mashoga wapo na wanajulikana,wengine wapo wamejaaTusikwepeshe mawe!! tuache unafiki wa kukemea hadharani ushoga huku tukiwa hatuna uthubutu wa kuwataja mashoga na wasagaji viongozi tunaowajua!! Kama hujui kusoma hata picha huwezi kutazama!
matendo kama haya yakifanywa na watu kama hawa walio maarufu kwenye jamii husababisha kuigwa na watoto hatimaye Taifa kuharibika!
Acha unafikiHili sasa ni janga la kijamii maana kila siku ni aibu tu kwa taifa letu.
Ushoga umetapakaa
Bila kudhibitiwa kwa nguvu haiwezekani
Vipimo vifanyike kwa nguvu na baada ya miezi tutakuwa tumewabaini mashoga na kufungwa.
mnajuaje mambo ya sirini?Hautaki jina lako liwe brand kubwa nchini, tulia usaidiwe na kupewa trips za Dubai.
Anyways, kuhusu baraza la mawaziri mbona tayari yumo ingawa ni Naibu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa si wawape wanawake zao kile wanachopata kwa hao tomboys shida iko wapi, tatizo wanajifanya "oo wanaume tuna mambo mengi ya kufanya hatuwezi kutafuta hela na bado tuwaridhishe wanawake", basi watulie hivo hivo wasaidiwe kazi
HaswaaaahHalafu mjue mnachanganya kati ya tomboy na lesbian, si kila tomboy ni msagaji, na si kila msagaji ni tomboy
Kuna matomboy wanaliwa, na kuna wanawake wana haiba za kike kabisa ila wanasagana, hivyo tomboy anaweza kuliwa ila lesbian haliwi yeye anasagana tu
Kama mwanamke anafanya vyote yani anasagana na analiwa huyo specifically wanamuita bisexual, anaingia kwenye kundi la B kwenye ile LGBT, maana yake anavutiwa na watu wa jinsia zote mbili siyo moja tu
Mie cna neno etii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]cocastic neno moja hapa tafadhali
Kazii ipoo mbna, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanapinga ushoga kumbe jioni wanakuwa wote kwenye vlinge vyao
Ova
Ukweli mtupuuu.Nyuma ya UN
Waombee tu viongozi, si kwamba nao wanapenda uchafu
Shida ni umoja huu unaoitwa "UN" ukijiunga nao tambua unaziweka sheria zako (za nchi) kibindoni. Ni kwamba sheria za kimataifa zipo juu ya sheria za nchi husika. Sharti kila mwanachama ale kiapo cha kulinda haki za binadamu, hali kadhalika elimu ya kimataifa, afya ya kimataifa nk.
Ndio maana viongozi wanapata kigugumizi linapokuja suala la LGBTQ, utaona kana kwamba wanalipinga hivi kwa mdomo huku wakitumia tafsida nyingi. Jua hapo wanafanya siasa lakini wakiwa huko wanapiga kimya na kuonesha ni watii wa sheria za kimataifa. Karibu nchi zote duniani zinasheria kali dhidi ya ushoga, kwa Tanzania ni jinai kabisa lakini kamwe huwezi sikia shoga/msagaji kakamatwa. Tunawaona humu wakijiachia na kujiuza kabisa bila wasiwasi, ni kwasababu wanalindwa na sheria za kimataifa.
Nikukumbushe, miaka kadhaa iliyopita, wakati wa utawala wa Magufuli ambaye si tu kwa kauli alionesha kwa matendo kupinga ushoga, bali kupitia mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam wa wakati huo naam bwana Makonda alitangaza msako wa mashoga. Wengi hasa wananchi walimuunga mkono kwa jitihada hizo nzuri. Lakini matokeo yake, ni UN ikawaka moto kwamba TZ inakanyaga haki za binadamu, hapo hapo Marekani na nchi za magharibi zikatangaza kuwa Tanzania si salama kwa makundi maalum, na zaidi wakaamuru watu wao (mashoga) waondoke Tanzania.
Msukumo (pressure) ukawa mkali kiasi cha wahisani wa uchumi kutishia kujiondoa. Serikali ikafanya jambo la ajabu, ikamtoa kafara Makonda kwa madai ni jambo lake binafsi na si msimamo wa serikali. Kauli hiyo ilitolewa bungeni na waziri wa mambo ya nje bwana Maige, pia waziri wa mambo ya ndani bwana Kangi Lugoe naye akatoa tamko kuwa mashoga wapo salama kabisa na wanalindwa. Mchezo ukabakia kwa Makonda ambaye aliwekewa vikwazo vya kuingia USA na baadhi ya nchi za Ulaya. Na game likawa over hadi leo hivi.
Hivyo basi jaribu kutofautisha siasa na mambo halisi. Marais hasa wa nchi za ulimwengu wa pili na watatu hawana nguvu ya kwenda tofauti na sheria za kimataifa. Kumbuka UN ndio ilitoa kibali cha kuingilia mambo ya ndani ya Libya kwa kivuli cha haki za binadamu. Leo elewa kuwa UN ni zaidi ya umoja ni chombo chenye nguvu kinachoendeshwa na watu wenye nguvu wasiojulikana. Kujiunga ni rahisi lakini kujitoa ni mtihani. Trump alijaribu kujitoa WHO (shirika la afya la UN) alikutwa na mabaya ya kutosha. Ingawa inaonekana kana kwamba UN ni chombo cha west hususani USA lakini kiukweli si chombo rafiki kwa katiba ya Marekani wala kwa Wamarekani. Ni kweli mataifa makubwa kama Marekani, Urusi, China, Uingereza na Ufaransa yanaonekana kama yana msimamo binafsi fulani fulani juu ya mambo yao ya ndani lakini pia yanaathirika kwa namna moja ama nyingine kwa sheria za UN. Maana mataikuni wa UN ni wenye nguvu nyingi (more powerful) wasiofungwa na mipaka, na lengo lao ni kuunda super power ya ulimwengu (global goverment) ikitawaliwa na wao. Na kama hujui basi leo tambua kuwa,
Lengo kuu la UN ni kufikia serikali moja ya dunia. Uchumi mmoja wa dunia. Dini moja ya dunia. Na WEF ndio chombo mkakati cha UN cha kutimiza malengo hayo, na mataifa yote yamekipokea chombo hicho na kutimiza matakwa yake.