zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Wapo wanawake wanazaliwa wakiwa na testosterone nyingi so anakua na tabia za kiume kama besi, ukuaji wa nywele za mwili kama ndevu etc. Same to wanaume wapo wanaozaliwa Wana testosterone chache kuliko average male naye anakua sauti nyembamba, pozi za kike kike so akikosa guidance anajikuta naye anatamani wanaume!!1. Jifunze uandishi
2. Mbona hatuoni hayo madudu kwa wanyama?? Ulishawai ona mbwa shoga??, ng’ombe??, Punda??, Tembo??, mbuzi??, Simba??.
Mtu anazliwa shoga?? Haiwezekan mbona wanyama hatuoni??.
So labda solution iwe kama Iran, mtu akizaliwa na hormone za upande wa pili basi gharama za kubadili jinsia sio kubwa. Au kama mwanaume kazaliwa na hormone za kike basi apewe vidonge au sindano za kuboost testosterone Ili awe mwanaume kamili. Ila hizi hoja za kusema hakuna waliozaliaa hivyo sijui mnazitoa wapi.
Kingine kuhusu wanyama cases mbona zipo tatizo mtu hujawahi fuatilia alafu unatoa tu conclusions za jumla.