Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

1. Jifunze uandishi
2. Mbona hatuoni hayo madudu kwa wanyama?? Ulishawai ona mbwa shoga??, ng’ombe??, Punda??, Tembo??, mbuzi??, Simba??.

Mtu anazliwa shoga?? Haiwezekan mbona wanyama hatuoni??.
Wapo wanawake wanazaliwa wakiwa na testosterone nyingi so anakua na tabia za kiume kama besi, ukuaji wa nywele za mwili kama ndevu etc. Same to wanaume wapo wanaozaliwa Wana testosterone chache kuliko average male naye anakua sauti nyembamba, pozi za kike kike so akikosa guidance anajikuta naye anatamani wanaume!!

So labda solution iwe kama Iran, mtu akizaliwa na hormone za upande wa pili basi gharama za kubadili jinsia sio kubwa. Au kama mwanaume kazaliwa na hormone za kike basi apewe vidonge au sindano za kuboost testosterone Ili awe mwanaume kamili. Ila hizi hoja za kusema hakuna waliozaliaa hivyo sijui mnazitoa wapi.

Kingine kuhusu wanyama cases mbona zipo tatizo mtu hujawahi fuatilia alafu unatoa tu conclusions za jumla.
 
Atheist na Wapagani huwezi kuwaburuza kwenye Imani zako.
Hao ni vichaa,

Kuwa MPUMBAVU na kutoamini juu ya uwepo wa Mungu, hakuondoi UKWELI kuwa Dunia Ina mwenyewe aliyeumba.

Mungu aliyeumba Mbingu na Nchi ndiye aliyemkabidhi mwanadamu TIMAMU aitawale.

Hata SHERIA na Katiba za Dunia zinacopy AMRI za Mungu, na AMRI hizo zinatumika Kwa wote, timamu na vichaa hao Atheist.
 
Wazungu wamejua hilo ni tatizo lakini wamelipenda ndo maana wanapromote, sisi tumejua pia ni tatizo kubwa lakini hatulipendi na hatutaki hata kusilikia. Yaani mtu azaliwe na tabia za kiwizi wizi ndo tumchekee tu kwamba ndo tabia yake binafsi???
 
Wapo wanawake wanazaliwa wakiwa na testosterone nyingi so anakua na tabia za kiume kama besi, ukuaji wa nywele za mwili kama ndevu etc. Same to wanaume wapo wanaozaliwa Wana testosterone chache kuliko average male naye anakua sauti nyembamba, pozi za kike kike so akikosa guidance anajikuta naye anatamani wanaume!!

So labda solution iwe kama Iran, mtu akizaliwa na hormone za upande wa pili basi gharama za kubadili jinsia sio kubwa. Au kama mwanaume kazaliwa na hormone za kike basi apewe vidonge au sindano za kuboost testosterone Ili awe mwanaume kamili. Ila hizi hoja za kusema hakuna waliozaliaa hivyo sijui mnazitoa wapi.

Kingine kuhusu wanyama cases mbona zipo tatizo mtu hujawahi fuatilia alafu unatoa tu conclusions za jumla.
Ni haramu kubadili JINSIA.

Narudia, hao asili Yao, haitoki Juu, ni WA chini hao.

Kama hawawezi kuishi walivyo,

Warudi kuzimu iliko asili Yao.
 
Kwakuwa Dunia hii iliumbwa na Mungu, shetani akaivamia baada ya kutokubali kukaa kuzimu iliko enzi yake,

Mungu hatokubali mapenzi ya shetani kutimiza Duniani.

Hivyo, juhudi zozote za Kuhalalisha na kutambua UKAHABA, USHOGA ,ufiraji, usagaji juu ya nchi, lazima tuwe na hakika kuwa Mungu hatoruhusu.

Lazima majanga yake juu ya nchi tusipokemea haramu hii kuenea.

As long as Wana wa Mungu tunaishi juu ya uso wa Dunia, vitendo hivyo vitaendelea kuwa haramu.
Punguza utoto, Mungu hayupo hivo in fact wenye dhambi wakizidi ndio anaongeza Neema waokoke au unadhani ushoga ndio dhambi pekee? Kwa uchawi tu na usengenyaji wa sisi waafrika ilitosha tupigwe na gharika zisizoisha!!

Kama hujui biblia ya King James ilitafsiriwa kwa udhamini wa James V ambaye alikua mfalme shoga huko Uingereza!! Same to hii bible ya NIV imetafsiriwa kwa ufadhili wa Zondervan na Wana support and kuprint vitabu kibao tu kuhusu ushoga.

So tupunguze sana mahaba ya kidini utaishia kuumia tu.
 
Sexual healing
Hakuna hiyo taaluma humu duniani ungekuwa umesoma human behaviour usingekuwa unahukumu watu wenye tabia usizopenda! Watu wengi wapo walivyo kutokana na social orientation zao na siyo kupenda ( social learning theory) mfano watoto wa wachungaji mara nyingi sio wote huwa wachungaji!
Wengi wakisikia una msimamo tofauti juu ya jambo hili huku hukumu hata wewe muandishi you can do it but I'm professional social so natetea taaluma tu
Thanks
 
Mapenzi Yako Mungu yatimizwe hapa duniani, kama huko Mbinguni.

Umewahi kujiuliza Mbinguni Kuna Wezi? Wauaji nk nk?

Neno limeweka wazi, wazinzi,wezi ,wafiraji, nk nk, hawataurithi ufalme wa Mungu.

USHOGA ni mfumo ulioanzia kuzimu kuletwa Duniani. USHOGA ni uvamizi Kwa mankind.

Mfumo huo ukiingia ndani ya Mume, ataanza kumwingilia mke kinyume, BAADAYE majirani na BAADAYE watazaliwa mahanithi ktk ukoo na BAADAYE kuwa mashoga.

Wachawi huingiliana kinyume na maumbile na ni kawaida wao kushare.

Kama una mke na ni mchawi, jua unashare, sababu mchawi mama na mtoto wanazini, kuingiliana kinyume ni sifa kwao.

Mchawi na shoga, na wafiraji na makahaba ni wamoja.

So NDOA ya Mume mmoja na mke mmoja imetoka Mbinguni.

Bt kuzimu hakuna such a thing.

Kama ilivyo Mbinguni, hakuna vilema, vipofu, viziwi, wenye KIFAFA, magonjwa Sugu nk nk,

Jua fika, ukiona umezaa, mtoto hanithi, au mwenye JINSIA mbili, jua Kuzimu imehusika kuingiza matatizo hayo kwenye uzao wako.

Tangu zamani walizaliwa mahanithi, hawakuingiliwa kinyume, waliachwa wawe matowashi. JAMII zingine ziliwaua watoto wa aina hiyo walipogundukika Ili kuwapunguza.

Kuwa na watu wa aina hiyo katika JAMII ni jambo moja na Kuhalalisha au kuhamasisha waenee na kuongezeka ni jambo jingine.
Nakubali kwa 100%.
Ni watu hawa hawa ukiwa mlevi wanasema Ana roho ya ulevi.
Ukiwa mzinzi watakusema una roho ya uzinzi... ila uchoko iwe kilema.... Hii nayo ni roho pia kama ilivyo roho za kimasikini na zinginezo.
 
Ni haramu kubadili JINSIA.

Narudia, hao asili Yao, haitoki Juu, ni WA chini hao.

Kama hawawezi kuishi walivyo,

Warudi kuzimu iliko asili Yao.
Sasa kwa mtu aliyezaliwa na hormone za kike au kiume kama nilivyoeleza wafanyeje kama kubadili jinsia au kupewa vidonge vya hormones hautaki?

Kwanini Mungu aliwaumba na hormone za jinsia nyingine? Alafu useme ni kuzimu? Kwani shetani ndio anaumba?
 
Hata SHERIA na Katiba za Dunia zinacopy AMRI za Mungu, na AMRI hizo zinatumika Kwa wote, timamu na vichaa hao Atheist.
Science ime debunk mambo mengi ya Dini kuwa Dunia iliumbwa kwa miaka 4000.

Kwahiyo ninyi wenye Imani fulani mnataka kulazimisha wengine wafuate upuuzi wenu usiokuwa na ushahidi.

So Relax, tafuta Shoga upumzike nalo maisha menyewe mafupi haya.
 
Nakubali kwa 100%.
Ni watu hawa hawa ukiwa mlevi wanasema Ana roho ya ulevi.
Ukiwa mzinzi watakusema una roho ya uzinzi... ila uchoko iwe kilema.... Hii nayo ni roho pia kama ilivyo roho za kimasikini na zinginezo.
USHOGA ni 100% Roho ya Kutoka Kuzimu.

Kuihalalisha Duniani ni kumwambia Mungu kuwa Dunia alotupa kuitawala imetushinda.

Ataichoma yote, tukiyanyamazia haya.

Ameen
 
Mtoa mada hajaongelea mtu anayeingiliwa kinyume anaongelewa waliozaliwa na tabia za kike kike? Mjadala ndio uanzie hapo hao wanakua treated vipi je Mungu aliyewaumba hivyo alikosea??
 
Nasoma comments tyuuh mie, nataka nione fikra, mitazamo na uelewa wa watu kuhusu jambo hili.

Nipo na popcorn zangu hapa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
USHOGA ni 100% Roho ya Kutoka Kuzimu.

Kuihalalisha Duniani ni kumwambia Mungu kuwa Dunia alotupa kuitawala imetushinda.

Ataichoma yote, tukiyanyamazia haya.

Ameen
Kwanini achome sababu ya ushoga na sio ulevi, uchawi, na mauaji yaliyokithiri?
 
Science ime debunk mambo mengi ya Dini kuwa Dunia iliumbwa kwa miaka 4000.

Kwahiyo ninyi wenye Imani fulani mnataka kulazimisha wengine wafuate upuuzi wenu usiokuwa na ushahidi.

So Relax, tafuta Shoga upumzike nalo maisha menyewe mafupi haya.
Nilishakwambia,

Your days are numbered usipotubu.

Unaetembea bila kujua kivuli chako kilishaondoshwa.
 
Back
Top Bottom