Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Mungu ana REHEMA Kwa wanaotubu na kukubali kuacha USHOGA.

Mungu Hana REHEMA na mtu hanithi anayeamua atambulike na kuolewa na Mwanaume mwenzie.

Mungu asingeichoma Sodoma na gomora kama unadai ni WA REHEMA.

Dhambi lazima ihukumiwe kama HAPANA TOBA.
 
Hebu tuambie na wewe kwanini ulizaliwa dume harafu unataka kuwa demu acha uchoko
 
Mungu hakumwumba shetani.

Shetani ni LAANA baada ya kuasi.

Hakuna mahala Mungu ameumba shetani, kama ambayo Mungu amemuumba Mwizi, ni uamuzi wako kuwa mwovu au mwema.
Kwahiyo kuna Miungu miwili yenye majina tofauti?

Huu uongo wenu usiokuwa na ushahidi mnaoufanya uwe sheria za Nchi sio poa hata kidogo

Science inamajibu kuhusu Mwanadamu kuzaliwa na jinsia mbili na sio kama ninyi mnaosema ni kwasababu ya Shetani.
 
Yaani mashoga wanakuja live kutetea USHOGA Ili uenee, Bahati Yao wamejificha nyuma ya keyboard,

Wajaribu kufanya hivyo hadharani waone impact yake.
 
90% ya wasio na hormone imbalance walikua abused udogoni hii nimeikuta sana Zanzibar. Hakuna mtu kajizoeza ila wengi ni kuwa abused na wajomba sijui binamu n.k. So basically hakuna namna utaondoa lawama kwa mzazi au jamii kabla ya huyo shoga. So tusiwe biased kwenye maoni
 
Soma Bible kama Mkristu utajua kwann UZAO wa Tumbo la Maria ulibarikiwa kabla hajabeba mimba.
Na Bible inakuambia alikujua kabla hujazaliwa na upo kwa Mfano wake.
Uhalibifu upo katikati hapo kipindi cha mimba.
Rabbon mueleweshe Bw. Kabwe.
 
Kwahiyo kuna Miungu miwili yenye majina tofauti?

Huu uongo wenu usiokuwa na ushahidi mnaoufanya uwe sheria za Nchi sio poa hata kidogo

Science inamajibu kuhusu Mwanadamu kuzaliwa na jinsia mbili na sio kama ninyi mnaosema ni kwasababu ya Shetani.
Narudia upo uzao wa shetani duniani,

Na upo uzao wa Wanavwa Mungu duniani.

Kamwe shetani hatotawala ikiwa Bado tunaishi hapa.
 
Narudia upo uzao wa shetani duniani,

Na upo uzao wa Wanavwa Mungu duniani.

Kamwe shetani hatotawala ikiwa Bado tunaishi hapa.
Huo ni upuuzi na uvivu wa kukaririshwa Babu zetu walichukuliwa Utumwa kwa kukaririshwa ujinga.
 
Yaani mashoga wanakuja live kutetea USHOGA Ili uenee, Bahati Yao wamejificha nyuma ya keyboard,

Wajaribu kufanya hivyo hadharani waone impact yake.
Ni njema wao wakija kwa mgongo wa keyboard nasi tuwazukie kweupeee!

TUWAPE UKWELI NA KUUKATA MPANGO WAO WAZI WAZI
 
Kama alikuwa abused atibiwe na kurudi ktk Hali yake.

Kumruhusu aamue kuwa shoga ni BATILI na HARAMU.

Tunapambana kuanzia kwenye family, wazazi waache kuwaingilia wake zao, watoto nk nk.

HARAMU kamwe haitahalalishwa kuwa HALALI ktk Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA.

Amen
 
Mm siyo shoga ila waweza niita utakavyo haibadilishi kitu mm ni social professional nimesomea jamii nimefundishwa kutohukumu watu haswa tabia zao

Mimi nimekuuliza wala sijakuita.
"...nimefundishwa kutohukumu watu haswa tabia zao..." hapa unakiri ushoga si kilema ni tabia.
 

Je Mungu kafanya makosa? naombeni majibu sitaki stories za Shetani.
 
sio kilema tu ndugu yangu,ushoga ni CURSE{LAANA} ndo manake MUNGU aliilipua sodoma na gomora
 
View attachment 2594004
Je Mungu kafanya makosa? naombeni majibu sitaki stories za Shetani.
Si Mungu huyo,

Kama mwanadamu anaweza kusoma Dua na akanuiza likatokea Jini, iweje shetani ashindwe kufanya jambo Hilo dogo?

Mungu anaumba ORIGINAL bt shetani huumba FAKE.

Narudia, Asili ya USHOGA ni KUZIMU. Na baba yenu ndiye SHETANI.
 
Haijalishi, na hayo mambo yapo kila sehemu BUT kuzaliwa familia masikini hakukuforce wewe uwe masikini pia ilhali unauwezo wa kujitajirisha. Ilimradi umekua na umepata akili... zuri na baya unalijua then baya achana nalo.
 
Padre privates ka
Mimi nimekuuliza wala sijakuita.
"...nimefundishwa kutohukumu watu haswa tabia zao..." hapa unakiri ushoga si kilema ni tabia.
Yote yanawezekana. Mm siyo shoga na wala spendi ushoga. Mtaani kwangu yupo kijana mmoja babake alikuwa mtu mkubwa tu. Kijana ni shoga huwa hazungumzii kabisa wanawake zaidi ya kuwatoa kasoro! Huyu kijana alisoma shule za seminar tangu primary huko aliingiliwa hata akawa alivyo. Tuseme mtu huyu alifanywa ajifunze tabia baadae akawa kilema kwamuwa kilema ni tabia ya kudumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…